ya mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 98% ya wanawake wanaweza kuwa makahaba kama option ya mwisho kujipatia kipato. Kwahiyo hakuna mwanamke aliyetulia. Dhiki hazijampata huyo

    2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato na kutatua shida zao . Mwanaume jitahidi umpe mke wako mahitaji yake muhimu na tuhela kidogo ili...
  2. JamiiForums Tanzania Tabiri mechi ya Simba Vs Yanga itaishaje baada ya filimbi ya mwisho

    Kama uzi unavyojieleza; Simba 2-1 Yanga Twende kazi,tuone utabiri wako…
  3. JamiiForums Tanzania Siku ya mwisho CCM nisipowakuta Jehanamu, nitaweka pingamizi huko kwa Mungu

    Nitakuwa na maswali haya kwenye pingamizi langu huko akhera Mwizi wa kura hastahili jehanamu? Je mwizi wa kodi za wanachi, hasitahili Jehanamu? Mdanganyaifu wa wananchi kuwa ataletea maendeleo badala yake anawaletea shubiri, hasitahili jehanam? Mwizi wa rasilimali za Tanzania kupitia...
  4. JamiiForums Tanzania Maneno gani mazito ya mwisho ungependa yasomwe kwenye msiba wako watu wayasikie

    Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa kutuachia sisi tunaobaki. je yupo mtu ambaye ulimpenda na yeye hakukupenda ungependa ajue au yupo...
  5. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  6. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maneno mazito ya hotuba ya mwisho ya Gaddafi

    HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI QADAFFI ANAANZA HIVI: "Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mungu mpaji, na mwenye rehema... Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule. Na kila walipohisi njaa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kete ya mwisho ya medali kwa Tanzania Olimpiki 2024

    Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu. Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo kubwa la medali kwa timu ya Tanzania ambayo kesho Jumamosi itakuwa barabarani ikichuana na magwiji...
  8. JamiiForums Tanzania Kibu Denis mamilion ya Simba yamemchanganya anahiyaji msaada wavushauri nasaha mapema yasimkute ya Mwisho Mwampamba au Idrisa Sultan

    Huwezi kumwekea milion 200 kijana aliyekulia kambi ya wakimbizi bila kumuongoza. Kibu anahitaji washauri kabla ya kuwekewa mzigo kama ilivyo kwa Aziz ki au kijana yoyote kama Feitoto. Wote mnamuita Mama au Baba mnamshauri nini afanye. Madhara ya starehe na kilakitu ndio mnaweka mzigo...
  9. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

    Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
  10. JamiiForums Tanzania Dua ya Kura Tatu Mnyanyani Dua ya Mwisho Iliyoleta Uhuru wa Tanganyika

    Jumla ya dua ambazo TANU ilisoma kuomba msaada wa Allah ni tano. Kila dua ilikuwa na sababu na chanzo chake. Dua nne zilikuwa kuwaombea watu makhsusi wasiangamizwe na njama na hila za Waingereza: Dua ya Ali Rashid Meli, Dua ya Abdulwahid Kleist Sykes na Dua mbili za kumuombea Julius Kambarage...
  11. JamiiForums Tanzania Farhan: Siku ya mwisho career ya Fei itakua judged kwa vikombe na Tuzo Binafsi

    Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz Watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi wapige pesa tu. Farhan kasema nilichosema kwenye uzi wangu niliondika hapa leo Pia soma - Mchezaji...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

    Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu. Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Watumishi walitakiwa kupanda madaraja yao mwenzi huu Mei, mara ya mwisho walipanda mei 2021. Rais Samia Kulikoni?

    Baada ya kuingia Mama Samia kwenye usukani mengi yamefanyika likiwemo la kuwajali watumishi hasa upande wa madaraja,. Sasa leo badhi ya watumishi walioenda kwenye ATM kutoa chochote ikawa ndivyo sivyo. Nikasikia malalamiko mbona nilikuwa napanda mwezi huu lakini sijaona mabadiliko kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Lete Milioni 1.2 upate kiwanja Mwanza

    Lete hela ujishindie kiwanja cha ofa! Umeme upo. maji yapo. Eneo Wilaya ya Nyamagana (Jiji) Kata Fumagira Ikumbukwe hamna bei kama hii maeneo haya.
  15. JamiiForums Tanzania Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

    Hizi ni miongoni mwa kauli zilizotolewa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika hotuba kabambe ya Utambulisho aliyoitoa Mjini humo alipokuwa anakabidhiwa ofisi . Hapa akikuwa akiwapa makavu waliokuwa wanamsengenya kwamba hajajifunza pamoja na kuwekwa benchi muda mrefu. --- Makonda: Hamna...
  16. JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka gani? Kwanini?

    Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki. Wengine wakidai wanajichosha...
  17. JamiiForums Tanzania Mara yako ya Mwisho kumaliza dozi ulipougua ni lini?

    Je, unazingatia 'dozi' unapoandikiwa na Daktari? 'Kuzingatia dozi' hujumuisha.... Kutumia dawa kwa Kipimo sahihi Kumeza/Kunywa Dawa kwa wakati Kumaliza dozi kamili Kutotumia dawa nyingine kujitibu Kuzingatia dozi ya dawa kunajumuisha kufuata maelekezo ya daktari au maelekezo yaliyomo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kipi kigumu kwenye kufuta mchezo kwa maamuzi mabovu ya Refa? Madhara yake ni yapi kiasi cha mtu mmoja kuwa na maamuzi ya mwisho yasiyoweza kubadilika?

    Hili ndio swali ninalijiuliza huku nikizingatia uwekezaji wa gharama kubwa unaofanywa na vilabu plus wachezaji kuvuja jasho halafu kunakuwa na sheria/kanuni inayompa mtu mmoja anaeitwa mwamuzi kuwa na maamuzi ya mwisho na kibaya zaidi hayabadiliki hata ikithibika alitoa maamuzi yasiyo sahihi...
  19. JamiiForums Tanzania Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani. MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE...
  20. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…