Huyu ni Cristian Ronaldo anakipaji ana ujuzi na uzoefu wa kupiga penalty. Ila linapokuja suala la kupiga penalty ya mwisho itakayo amua ushindi wa timu yake ya Taifa huonekana kujawa na hofu plus wasi wasi
Huirudisha hali ya utulivu wa mwili na akili kabla hajaupiga mpira kwa kufanya hivi...
Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
Kwa utafiti wangu mdogo kutoka vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa karibia asilimia 75 ya waamuzi ligi kuu ya NBC ni ngumbaru hvo hicho wanachokitoa ndo uwezo halisi ukiacha mambo ya maelekezo kwenye baadhi ya mechi.
Ukienda EPL la Liga Bundesliga na french Ligue 1 Kuna waamuzi Wana Hadi PhD, lkn...
Tajiri hasalimii.
Poleni na mihangaikoni ya mchana kutwa wakuu.
KISA hiki hakihusiani na mapigano ya mitutu, lakini nimeyapitisha majina kadhaa kwenye ubongo wangu wakati nikifanya uchaguzi wa jina la kulioanisha na kisa hiki mwisho nikaishia kuchagua hili 'RISASI YANGU YA MWISHO'
Kuna huu...
Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 (Sura ya 44), taasisi au mtu yeyote anayeshughulika na ukusanyaji au uchakataji wa taarifa binafsi nchini Tanzania anatakiwa kujisajili na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC). Kushindwa kufanya hivyo ni ukiukwaji wa sheria...
Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc
Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima...
MY LAST RIDE; SAFARI YANGU YA MWISHO.
Mtunzi; Robert Heriel
+255693322300
Episode 01.
Sikumaanisha kuua! Wala sikuwahi kuwaza kuwa kuna siku nitakuja kuua mtu. Kwa kweli ningefanya dhambi zote, zote! Lakini sio dhambi ya kumwaga damu ya Mtu. Haya sasa nini...
Champion popote ulipo Amani iwe nawe.
Level ya mwisho ya Maumivu kwa mwanadamu ni pale unapo achilia kicheko ili kuziba mwanya wa maumivu(demage) na si kuhuzunika.
Kupitia maumivu nimeyatambua haya:
1: Ukiwa hapa Duniani, Ukiwa umepigika jua hiyo ndo jehanamu yako, achana na story za kuna...
Je, kwenye mashindano yanayosimamiwa na TFF na CAF zipo timu ambazo ziliwahi kucheza mechi bila timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi?.
Je, Kuna timu duniani ambazo zilipewa adhabu kwa kuzuia timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho? Kama zipo, zilipewa adhabu gani? na je...
Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu.
Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi.
Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi nikakata tiketi nikasubiri pamoja na abiria wengine kama nusu saa hivi, mpaka dakiki40.
Ikaja gari...
Mara ya Mwisho 5imba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mambo yalikuwa hivi -;
1.Laizer alikuwa na jiwe la Tanzanite, amelificha mahali anasubiri kuuza
2.Magufuli alikuwa mgombea Urais CCM
3.Zuchu alikuwa hajajiunga Wasafi
4.Mwana FA alikuwa hajaingia kwenye siasa
5.Billnas alikuwa...
Habari zenu wana JF
Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )...
Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni circulation factors Kwa maana ya bank kuinject more $ on circulation, na fact nyinginezo ambazo ni mbali na...
HABARI.
Ili yanga afuzu game la mwisho inatakiwa ashinde 3 goals game ya Mwisho na Mc Alger.
AL hilal mechi 4 point 10
Mc alger mechi 5 point 8
Yanga mechi 4 point 4
Tp mazembe mechi 5 point 2.
Wakuu habari za wakati huu.
Samahani, nimekuja na mjadala tata kidogo ila nitafurahi kama wachangiaji watatoa hoja zenye mantiki tofauti na kuzozana pasipo misingi. Sijasimamia upande wowote, kila upande uwe huru kutoa hoja zao ili nipate kujifunza jambo. Kikubwa tu hoja ijibiwe kwa hoja.
Kwa...
Tunahitimisha mwaka 2024.. Kiuhalisia hakuna kinachobadilika zaidi ya tarakimu.. Maisha yetu yametawaliwa na tarakimu.. Na hizi ndio zinaendesha dunia ya kimwili na ya kiroho pia
Tarakimu hazina kinyume(rivasi).. Muda haurudi nyuma.. Hivyo basi siku hii ya huu mwaka haitakaa irudi tena maishani...