Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera na kumuhusisha na TEC. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista...
GTs,
Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.
Kwa akili zangu za...
Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea.
Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata watanzania wa kawaida wataanza rasmi kuandamana.
Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa sababu hawataki kuwekwa ndan tena
Hivyo wanaharakati angalieni siasa mnazofanya saaahv msije...
Baada ya D9 kuanza kwa kusuasua kutokana na vigingi vizito toka kwa watawala , kumeibuka kebehii za wazi wazi toka kwa machawa wa mfumo kuelekea kwa Gen z.!
Ila wasichokijua machawa fukara ambao wengi ni manyumbu katika sekta za umma. " nikwamba , athari za haya mambo hazitoangalia itikadi za...
Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.
Swali: Ni kwanini?
Je, wanaona aibu?
ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
INTRODUCTION : Huyo Mange angekuwa anawapenda na ana nia njema na Vijana wa Tanzania angewatafutia fursa za kazi na Elimu USA.
Mashujaa uchwara kila walipolala walitoa treni za kisasa zilizogharimu matrilioni zimekuwa majivu, waliota mwendokasi umekuwa chuma chakavu, waliota nyumba za wananchi...
Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036)
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
adhabu
george simbachawene
halisi
hii
huruma
kiongozi
maana
msamaha kwa wafungwa
rais
rais samia
samia
samia suluhu hassan
upendo
upendo kwa watu
wafungwa
wote
Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool.
Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool.
Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi...
Mambo ni mengi muda hautoshi. Twende kwenye orodha moja kwa moja bila kupoteza muda.
1. FILBERT BAYI
Mzee wetu kaongelewa kwenye makala mengi mno duniani kiasi kwamba shirikisho la ridha duniani limehifadhi kumbukumbu zake kwenye makumbusho ya shirikisho huko Ufaransa. Mzee Filbert Bayi...
Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha.
Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
Sijasema hapa udini nasemea walipotokea maana tuangalie walipotokea hata kama wamezaliwa mikoa mingine ila asili zao.
Hakuna mkoa hatari kama Kigoma wenye watu wengi wenye roho za chuki na kwanini.
Sio wote ila ule mkoa kiukweli kama kila mikoa ina sifa yake kwa mkoa ule naelewa vizuri maana...
Tangu tupate uhuru, Tanzania imeongozwa na viongozi sita toka dini kuu mbili za kikoloni yaani Ukristo na Uislam. Watatu walikuwa Wakristo yaani JK Nyerere, Ben Mkapa na JP Magufuli ilhali waislamu ni Ally Hassan Mwinyi, Jakaya Kikwete, na sasa Samia Suluhu Hassan.
Sikumbuki kuhisi udini katika...
Mzuka wana Jamvi ?
Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu.
Aidha tunataka watanzania duniani kote kuandamana pamoja kusimamisha dunia.
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.
Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.