world

The world is the planet Earth and all life on it, including human civilization. In a philosophical context, the "world" is the whole of the physical Universe, or an ontological world (the "world" of an individual). In a theological context, the world is the material or the profane sphere, as opposed to the celestial, spiritual, transcendent or sacred spheres. "End of the world" scenarios refer to the end of human history, often in religious contexts.
The history of the world is commonly understood as spanning the major geopolitical developments of about five millennia, from the first civilizations to the present. In terms such as world religion, world language, world government, and world war, the term world suggests an international or intercontinental scope without necessarily implying participation of every part of the world.
The world population is the sum of all human populations at any time; similarly, the world economy is the sum of the economies of all societies or countries, especially in the context of globalization. Terms such as "world championship", "gross world product", and "world flags" imply the sum or combination of all sovereign states.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni Messi vs Mbappé fainali ya FIFA World Cup leo, Unampa nani kete yako?

    #FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64. Leo katika Dimba la Lusail Stadium, Al Daayen watakutana Mabingwa mara 2 wa #KombelaDunia Timu za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nasema na najiamini Argentina anaenda kuwa Bingwa wa 2022 QATAR FIFA WORLD CUP tarehe 18/12/2022?

    1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC 2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC 3. Wana Golikipa Bora sana 4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine 5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa 6. Argentina ni Timu ya Mungu 7. Lionel Messi hakabiki na Kabarikiwa Nami MINOCYCLINE namalizia kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nusu Fainali: Argentina 3-0 Croatia, FIFA World Cup, 13/12/2022

    69' Julian Alvarez anafunga goli la tatu akimalizia kazi nzuri ya Messi 60' Timu zinashambuliana kwa zamu 58' Messi anakosa nafasi nzuri, shuti lake linapanguliwa na kipa 55' Argentina wanaamka na kufanya mashambulizi ya kushtukiza 50' Croatia wanamiliki mpira na kupiga pasi nyingi Kipindi cha...
  4. JamiiForums Tanzania World Soccer Photo Album

    Ronaldinho Gaucho. Aliletwa duniani kuiburudisha dunia kupitia miguu yake iliyosheheni ujuzi wa kipekee.
  5. JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Michuano ya Kombe la Dunia inatarajiwa kufanyika kuanzia November 20 mpaka December 18 mwaka huu. Michuano ya mwaka huu ni mara ya kwanza kwa Kombe la Dunia kufanyika katika nchi ya Kiarabu lakini ni mara ya pili kwa michuano hiyo kufanyika katika bara la Asia mara baada ya Korea Kusini na Japan...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika haijawahi kushinda World Cup

    Hii article nimeitoa online BBC; ni majibu ya mwandishi mmoja ikijaribu kujibu kwanini Afrika haijawahi kuchukua hili Kombe... In November, Cameroon football federation president Samuel Eto'o Fils declared that he was expecting Cameroon to beat Morocco in an all-African final. He was...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November. Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
  8. JamiiForums Tanzania Dani Alves kuweka rekodi ya nahodha mkubwa zaidi wa Brazil katika Kombe la Dunia

    Beki huyo anatarajiwa kuiongozi timu yake ya taifa katika mchezo wa kukamilisha Hatua ya Makundi dhidi ya Cameroon, leo Desemba 2, 2022. Alves (39), beki wa kulia ambaye anaichezea UNAM Pumas ya Mexico atapewa nafasi hiyo kwa kuwa tayari timu yake imeshakata tiketi ya kucheza Hatua ya 16 Bora...
  9. J

    JamiiForums Tanzania France kauza mechi yake dhidi ya Tunisia..! Hata World Cup mechi zinauzwa

    Kwa mnaofuatilia kombe la dunia hasa mechi za France, France ni timu kali sana Cheki mechi dhidi ya Australia, Denmark kisha angalia mechi ya leo dhidi ya Tunisia Hawa jamaa japo walikuwa wameshavuka na kuchezesha kikosi cha pili, lakini wamecheza wakiwa wamelegea mnoo, yaani kiwango chao...
  10. JamiiForums Tanzania Utapeli wa SBF - FTX lilikuwa jukwaa la kutakatisha fedha haramu na utapeli kuptia mgongo wa cryptos

    1. Wakati FTX wanafanya fundraising, Sam Bankman Fried (SBF) alichukua yeye binafsi kiasi cha dollar za kimarekani milioni 300 kati ya 420.69 zilizokusanywa kutoka kwa wawekezaji. 2. Mwezi wa tatu mwaka huu, SBF alikutana na kufanya kikao cha siri na mwenyekiti wa Federal Reserve, Jerome Powell...
  11. JamiiForums Tanzania Kijana Mkenya anayevutia mashabiki Qatar FIFA World Cup

    Abubakr Abbass, a 23-year-old from Kenya, has emerged as a firm fan favourite – and accidental social media sensation – during the football World Cup in Qatar. Sat on a tennis-umpire chair and wearing a large foam finger, he guides the hundreds of fans visiting the historic market – called Souq...
  12. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia 2022, Qatar nilisema siishangilii timu yoyote ya Afrika je, nilikuwa sahihi?

    Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali kitu au anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na tunu (shani ) nyingi alizobarikiwa naye na Mwenyezi Mungu tayari ameshapima kimaono na kugundua madhaifu/mapungufu ya kimsingi. Na bado...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya Kombe la Dunia 2022 kwanini vilabu vyetu visiununue Stadium 974?

    Stadium 974 ni uwanja ambao baada ya Kombe ya Dunia utabomolewa, kwa nini vilabu vyetu visishawishi dili ya kuununua? Unapendeza kweli na umejengwa kwa makontena tu!
  14. JamiiForums Tanzania Mshindi World Cup 2022

    Sina mengi karata yanagu natupa 1. Brazil 2. England 3. France Huu ni mtazamo wangu tusizungume sana tuupe muda wakati wa kuamua 😂😂😂😂😂😂
  15. JamiiForums Tanzania Mara nyingine tena timu zetu za Afrika zinaenda kutuangusha Kombe la Dunia

    Sisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje. Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa alizaliwa kule utamuona jinsi anavyojituma. Halafu tunakaa hapa kusema Mabeberu hivi Mabeberu vile!
  16. JamiiForums Tanzania New WHO pandemic treaty would overrule Constitutions of World Governments and unleash medical dictatorship around the World.

    New WHO pandemic treaty which is in final stages, would overrule Constitutions of World Governments and unleash medical dictatorship around the World, warns Dr. Francis Boyle Tuesday, November 22, 2022 Natural News Today we bring you a truly bombshell interview and critical story about the...
  17. JamiiForums Tanzania So Much Trouble in the World....

    Dedication kwa Walamba Asali !!!! So much trouble in the world So much trouble in the world Bless my eyes this morning Jah sun is on the rise once again The way earthly thin's are goin' Anything can happen You see men sailing on their ego trip Blast off on their spaceship Million miles from...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF lini mtaipeleka taifa stars fainali za world cup?

    Nashangaa kuona TFF haina wivu wa maendeleo, Kama nchi masikini kama senegal, togo na Cameroon zinaweza kwenda world cup finals vipi Taifa stars ishindwe?hii inaonesha kwa jinsi gani viongozi wa TFF hawsivyo na mikakati ya maendeleo vichwani waingiapo madarakani. Iweje walipwe mishahala minono...
  19. JamiiForums Tanzania Taifa Stars ingecheza Kombe la Dunia tungefungwa hata goli 10 kwa mchezo mmoja, mpira wanaoupiga Wazungu ni hatari

    Naangalia mpira wa Australia dhidi ya Ufaransa, kwa hakika huu mpira 'formula' yake hapa Afrika hakuna. Yaani jamaa kama wanapigana vita. Sisi tubaki kushangilia Simba na Yanga tu. Mpira bado sana.
  20. JamiiForums Tanzania Japo ni Mwafrika mweusi siwezi kuwa zuzu wa kushangilia timu za Afrika huko Qatarl katika Kombe la Dunia

    Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya mashabiki wa timu nisiyoipenda na ninayoichukia Tanzania ya Avic Town Magodoro Kunguni Tigo Pesa FC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…