Baada ya Kombe la Dunia 2022 kwanini vilabu vyetu visiununue Stadium 974?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,611
20,935
Stadium 974 ni uwanja ambao baada ya Kombe ya Dunia utabomolewa, kwa nini vilabu vyetu visishawishi dili ya kuununua?

Unapendeza kweli na umejengwa kwa makontena tu!

1669307620313.png
 
Uwanja ule ni temporary tu. Na haujatengenezwa kwa mfumo wa muda mrefu. Ni uchafu ule.
Na dunia ndio umeita ule ni unique. Nothing unique.
Hata wewe umependa tu macontena.
Kumaintain ule uwanja utahitaji pesa nyingi sana. Ni bora kubomolewa baada ya siku hizi 28 za michuano.
 
Eti uchafu, hapo hata formula ya kutengeneza kiberiti hujui.
Samahani mjua formula tajiri kabisa, huna baya.
Nisamehe mimi nisie na ujuzi.
Ila huo uwanja ni uchafu. They used recyclable materials just to prove something na hawana nia nao kuendelea nao. Sasa tuliza mshono tajiri.
 
Acha ujuaji toa pongezi fikiria ile nchi jinsi ilivyo size yake na vitu vingine walichokifanya ni sahihi sana au wenzetu hamfuatilii mambo ya nchi nyingine ?
 
Acha ujuaji toa pongezi fikiria ile nchi jinsi ilivyo size yake na vitu vingine walichokifanya ni sahihi sana au wenzetu hamfuatilii mambo ya nchi nyingine ?
Walichokifanya ni kweli sahihi. Tunafatilia sana nchi hizo. Mtoa thread anataka watu waige huo mfano. Huo uwanja. Luck of space imewafanya jamaa kubuni kutengeneza temporally structure. Hivo ajue hatuwezi sema timu zetu zitengeneze kitu kama hiko. Udogo wa Qatar, ukubwa wa michuano. Kumefanya wabunifu waje na very small affordable technology. Watu ndio mnakuza stry. Kwao qatar hiyo ni taka taka tu.
 
Samahani mjua formula tajiri kabisa, huna baya.
Nisamehe mimi nisie na ujuzi.
Ila huo uwanja ni uchafu. They used recyclable materials just to prove something na hawana nia nao kuendelea nao. Sasa tuliza mshono tajiri.
Kwa hiyo recyclable materials ni uchafu? Dunia ya tatu kila kitu hovyo halafu ujuaji mwingi.
 
Kwa hiyo recyclable materials ni uchafu? Dunia ya tatu kila kitu hovyo halafu ujuaji mwingi.
Ni uchafu kwasbabu. Zinatumika na kuzungushwa tena kutumika baada ya matumizi. Kwa udogo wa nchi. Mambo muhimu ya maendeleo. Hawawezi baki ma uchafu huo. Elewa, walitengeneza huo uwanja kwa hitaji tu la kutumika kwa kombe la dunia si uwanja permanent. Sasa lazma utoke na eneo hilo lirudi kwenye matumizi yake ya kawaida. Alafu acha utoto wako wa shule sijui dunia ya tatu ukiwa mtandaoni.
 
Back
Top Bottom