Naiona kabisa Brazil Au Argentina wakichukua Kombe la Dunia kwasababu moja tu, timu nyingi za Ulaya huwa hazina bahati sana zinapocheza Kombe la Dunia nje ya Ulaya.
Ukindoa hiyo hoja mwaka huu, Brazil wana kikosi kinachokaribia kile cha mwaka 2002 ingawa siyo kwa asilimia kubwa. Pia Argentina...