wizi na vibaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya na Polisi wilaya ya Ukerewe wameshindwa kukomesha wizi na vibaka

    Moja kwa moja kwenye mada. Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku. Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na kuingia kuiba pesa. Wezi hao wanapitia kwenye paa, wanakata nyaya za cctv kamera na kuiba pesa. Pia...
  2. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki kama ndani ya jamii yenu kuna Panya Road mkanyeni

    Tunajua vile ilivyo kazi kumwambia Panya Road aache Upanya Road wake kwa sababu hawa watu huwa hawana ego kabisa. Niwaase wazazi au walezi mpeni neno moja tu ili yakimpata yakumpata awe anakumbuka maana hawa ni vichwa ngumu Dunia ya Sasa si yakuhatarisha maisha ya watu na ukabaki salama. Si ya...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vibaka wanaotumia boda wanakata watu mapanga Mchana kweupe maeneo ya Kimara

    Matukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya. Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuepuka kuibiwa kwa njia ya wizi wa mfukon sehemu zenye misongamano

    Wizi wa mfukoni umeliza sana watu mjini kwenye msongamo, daladala n.k Watu wameibiwa hela, simu n. K Zingatia yafuatayo 1. Jiadhari na mtu anayekufatilia Labda uko mjini unamuona mtu mpya anakufata bila sababu, umeingia dukani kaingia, umeenda kuchukua gazeti unashangaa yupo, Huyo usione aibu...
Back
Top Bottom