Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini.
Akizungumza jijini Dodoma...
Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka.
Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi.
Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi.
Yote tisa, kumi ni hii...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji wa vibali vya usafirishaji wa mizigo maalumu (Special Load Permits) katika Mfumo wa ePermit , Wizara ya Ujenzi imetoa ufafanuzi kuhusu suala hilo.
Hoja ya Mdau ~ Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) amewasili Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed leo tarehe 20 Disemba, 2025.
Katika ziara hiyo, Waziri Ulega atatembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya Kitai - Amani...
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde kwa nyakati tofauti wamefika katika Yadi ya Songoro Ilemela Mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vitano vinavyoendelea kujengwa.
Katika ziara hiyo...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imezindua rasmi mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda, sehemu ya Likuyufusi–Mkayukayu yenye urefu wa kilomita 60, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma.
Akizungumza...
Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026
Ujenzi ni Bajeti ya Kazi na Utu
Waziri Ulega aahidi ujenzi zaidi
Dkt. Samia kuzindua Daraja la JPM
Makandarasi wazawa kicheko
Miji 200 kumulikwa taa
Usumbufu kwenye mizani wapata dawa
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
Waziri wa Ujenzi, Mh. Abdallah Ulega, amesema serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza, mkoani Pwani, ambao walikuwa kwenye zamu kwa kosa la kadhia iliyojitokeza hivi karibuni ikihusisha gari ya mizigo pamoja na mama mmoja aliyejitambulisha kwa...
Niaje waungwana
Mheshimiwa waziri Abdallah Ulega juzi kati alituacha na mshangao mkubwa watanzania, kwa kujifanya anawapiga mkwara mzito wachina wanaojenga barabara zetu za mabasi ya BRT.
Kwa mtu ambae ndio kwanza anafuatilia mambo hayo ya ujenzi wa barabara za BRT, anaweza kumuona waziri...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema katika utendaji wake asitarajiwe kuonekana zaidi ofisini bali atajikita kwenye ziara kukagua miradi mbalimbali ikiwemo barabara, ili kuona uhalisia wa utekelezaji wake.
Amesema Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya uboreshaji na ujenzi wa miundombinu...
Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana.
Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
Anonymous
Thread
changamoto
chuo
course
diploma
electrical
habari
hapo
kina
kubwa
mechanical
mjini
morogoro
ndugu
ndugu zangu
sana
ujenziwizarawizarayaujenzi
JENGO LA WIZARA YA UJENZI LAFIKIA ASILIMIA 80, WAZIRI ULEGA AAGIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), Mhandisi, Mwanahamisi Kitogo na Mtendaji Mkuu wa Vikosi vya Ujenzi, Mhandisi, Simeon Machibya kuhakikisha jengo la...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi, Disemba 08, 2024...
WAZIRI ULEGA AKABIDHIWA OFISI NA WAZIRI BASHUNGWA, WIZARA YA UJENZI.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi ndogo za Wakala ya Barabara (TANROADS), leo tarehe 11 Disemba, 2024 Dar es Salaam.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha...
WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI WIZARA YA UJENZI.
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi ndogo za Wakala ya Barabara (TANROADS), leo tarehe 11 Disemba, 2024 Dar es Salaam.
Kikao hicho...
Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakati mungine inabidi tu tuambiane ukweli bila kupepesa macho ili kupata njia ya kulisongesha mbele taifa letu, na kutuepusha na aibu ambayo huwa tunaipata pindi tunapotembelewa na wageni mbali mbali kutoka Ulaya, Asia, Marekani, East Afrika, Africa yenyewe na...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Maafisa wa Wizara hizo Septemba 07, 2024 wamewasili jiji la Seoul nchini Korea Kusini na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Mhe. Togolani Mavura kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.