wingi

Primnoa wingi is a species of soft coral in the family Primnoidae.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wana simba wenzangu kuleni kwa wingi karanga mbichi, mihogo na kupaka mkongo ili tukampe kichwa Ally Kamwe

    Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makosa ya kiuongozi aliyoyafanya Rais Samia na kujikuta anapoteza uungwaji mkono wa wananchi kwa wingi na kasi ya kutisha

    Rais Samia alipoingia madarakani kwa kiwango kikubwa alipokelewa vizuri sana na watanzania. Wengi walimuona kama hewa mpya, walimuona tumaini jipya baada ya maisha ya mbilingebilinge ya utawala wa awamu ya tano. Samia alitetewa, kukingiwa kifua dhidi ya critics mbalimbali, akapewa jina la mama...
  4. Farolito

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie wingi wa Maneno haya

    Wakuu, Naomba wingi wa maneno haya; 1.Ulimwengu 2.Uchumi Ahsante
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ni wanawake au wanaume wa kabila gani ambao umewahi kukutana nao kimwili kwa wingi?

    Bila kuwapotezea muda na mambo ya salamu. Nitaanza mimi. Wanawake na makabila yao niliyowahi kuwala ni kama ifuatavyo Wakinga 15 Wapare 12 Wanyakyusa 10 Wachaga 09 Wahaya 06 Wasukuma 05 Wahehe 04 Wabena 04 Wanyamwezi 02 Wameru 01 Wagogo 01 Wangoni 01 Mkenya 01 Mzungu 01 Mwarabu 01 Mzambia 01
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe walikaa kikao rasmi kumfungia Gwajima; Wana ufufuo wenzagu jumapili ijayo tukutane kwa wingi kwa maombi

    Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu! Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu. Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila wilaya tukutane kwa maombi ya mkakati na nguvu zaidi kama majeshi ya bwana!! Wanakaribia kutema bungo!
  7. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kesho tujitokeze kwa wingi kutazama mazoezi ya club yetu

    Ndugu wanaSimba, Kesho hakutakuwa na mabaunsa, tujitokeze kutazama mazoezi ya timu yetu kujiandaa na mchezo tarehe 15 June 2025. Dj sinyorita atakuwepo.
  8. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye Biashara kama utapata haya material Kwa wingi

    Habari wakuu.. niko na shida ya Box flan ivi. Ni box ambazo zinatumika kufungia apple.. zinakuwa na layer 2 ndani na nje pia zinakuwa na matundu matundu flan. Wale wasambazaji wa Ma apple watakuwa wanajua aina hii ya Box kwa yoyote ambae anaweza kupata Box hizi kwa wingi hasa wale wanaofanya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wingi huu wa matapeli kutokea Mbeya, Je Mbeya kuna chuo cha utapeli ?

    Kwa upande moja Mbeya imekuwa mkoa wa kujivunia kwa kutoa wasomi na viongozi mahiri lakini kuna upande mwengine unaitia doa 1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50 2. Fake pastors wanaoishi maisha ya kifahari, kufanya miujiza yenye...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA: Suala Siyo wingi wa watu bali wana hoja gani?

    Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo. Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria...
  11. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Pesa Taslimu hasa wingi wa Noti kubwa (10,000) kuna Changamoto za Kiuchumi?

    Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu wingi wa damu je damu ya 16.5 kwa mwanamme ni nyingi au kawaida?

    Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa doctor akanambia nina damu nyingi ambayo ni 16.5 akaniomba niende kuchangia ili kuondoa hali hii...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama umekuta umejaliwa wingi wa mali then kuwa makini na ushauri dhidi ya uendeshaji wa familia yako haswa kutoka kwa ndugu.

    Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,. Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania WITO WA KWENDA KISUTU KWA WINGI KESHO KUSIKILIZA KESI YA LISSU

    Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi. Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa...
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Walanguzi wa Kariakoo wanasumbua sana Shati la Tsh 5,000 unauza 30,000?

    Wachina wanakaribishwa kwa wingi Kariakoo ikibidi wafungue malls za kutosha pale Mnazi Mmoja na Jangwani ili wauze vitu nafuu tofauti na Walanguzi wa sasa. Shati la Tsh 5,000 Mkinga/Mangi anauza 30,000 Kariakoo?
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Wazungu,Wahindi,Wachina,nk hawasali makanisani/misikitini kwa wingi na wamefanikiwa lakini Waafrika wanaosali kwa wingi ni masikini?

    Kwanini Afrika wazungu,wahindi,wachina,nk hawasali makanisani/misikitini kwa wingi na wamefanikiwa lakini Waafrika wanaosali kwa wingi ni MASIKINI? Umewahi kujiuliza hili swali na je umepata jibu gani na umechukua hatua gani kujikomboa?
  19. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Pumba za Mahindi na Mashudu ya Alizeti kwa Wingi

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi. Kuna tenda mezani. Zinahitajika: Pumba za Mahindi (Tani 74) Mashudu ya Alizeti (Tani 22) Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaziuza Nissan Xtrail kwa wingi sana?

    Ni jambo la ajabu sana ila tokea mwaka jana 2024 mwezi wa Disemba nimekuwa nikikutana na matangazo mengi ya watu wakiuza magari yao ila katika matangazo 10 basi kuna matangazo 8 ya mauzo ya gari aina ya Nissan Xtrail. Wapo wanaouza kwa sababu mbalimbali kama uhitaji wa pesa za matibabu, au...
Back
Top Bottom