william rutto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI William Rutto, ahudhulia mazishi ya kifo cha Rigath Gachagua

  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju

    Rais Samia akiongea katika Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Kenya, tarehe 04 Mei, 2026, JNICC Dar es Salaam, amesema Gen Z wanaojifanya wa East Africa tusiwavumilie kuharibu demokrasia yetu
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Wage Hike: Relief kwa Mwanaanchi ama New Pressure kwa Uchumi?

    President William Ruto ametangaza kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa 12% na 15% kwa wale wa agriculture wakati wa Labour Day celebrations kule Vihiga County. Serikali inasema hii move itasaidia kuinua maisha ya common mwananchi ambaye amekuwa akistruggle na high cost of living. Kwa ground...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto atia saini sheria mpya ya Makosa Mtandaoni inayodaiwa itaipa nguvu Serikali kufunga mitandao

    Rais William Ruto ametia saini Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni wa mwaka 2024, unaoiruhusu serikali kuondoa au kufunga maudhui ya mtandaoni yanayoonekana kuwa haramu. Sheria hiyo inahusu masuala kama unyonyaji wa kingono wa watoto, ugaidi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani Kenya watishia kuishitaki serikali ya Ruto ICC

    Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Kenya wamelaani vikali ghasia zilizozuka katika Eneo Bunge la Kilgoris, Kaunti ya Narok, kati ya wananchi na maafisa wa polisi kuhusu mgogoro wa ardhi ya ekari 6,800 – ambapo watu watano waliuawa. Katika taarifa ya pamoja iliyosainiwa na Kiongozi wa Chama...
  6. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kenya Kwanza wapinga agizo la William Ruto la kukataza wanasiasa kuchangia pesa kwenye nyumba za ibada

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kukataza kupiga marufuku michango ya wanasiasa kwenye nyumba za ibada viongozi wa chama cha Kenya Kwanza wakiongozwa na Farouk Kibet wamefanya harambee iliyoleta pamoja makanisa 25 ambapo jumla ya Ksh.11 milioni ilikusanywa Wakizungumza katika Kaunti ya...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zote za Afrika Mashariki, William Rutto anamaliza mwaka 2024 akiwa Rais dhaifu kisiasa kuliko wote.

    Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir. Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka. Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
  8. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu Kenya yaripoti kutokea kwa jumla ya matukio 82 ya Utekaji nchini humo tangu mwezi Juni

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya imetoa ripoti mpya ambayo inaonesha kuongezeka kwa idadi ya matukio ya utekaji nchini humo dhidi ya wakosoaji wa serikali Kwenye ripoti yao ya hivi karibuni imeonesha kuwa kumekuwa na matukio ya utekaji takrbani 82 tangu maandamano dhidi ya...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Katiba ya Kenya Inaruhusu, William Rutto Ajiuzulu Tu

    Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika. Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto kumbe naye ni wa ovyo ovyo tu

    Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen! Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta. Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe...
Back
Top Bottom