wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Likizo ya Watumishi wa Umma Liwale - Lindi, Idara ya Elimu hayatoki kwa wakati, kuna muda yanachukua hadi miaka miwili

    Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata malipo. Hata wakiomba kiwango fulani cha nauli, wahusika wanaolipa na malipo wanachofanya ni kukadiria...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anusa wizi mwingine Muheza – Tanga, ni wa vifaa vya ujenzi jengo la Halmashauri ya Wilaya

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo. “Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025. Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa. Tunateseka sana, tunaomba mtupaze sauti iwafikie.
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wadai DC wa Kilosa anasababisha maafa na hafuati Sheria, mwenyewe asema si kweli

    Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu. Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Wilaya ya Chamwino hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Ajira Mpya hatujalipwa pesa ya kujikimu katika Wilaya ya Chamwino Dodoma, sisi ni Intake ya Mwezi Machi hadi June 2025.
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Tunduru - Ruvuma tuna uhaba wa Watumishi wa Afya, tuliopo tunaelemewa na kazi

    Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Umeme unakatika sana hadi inakera maeneo ya Matika, Wilaya ya Ludewa (Njombe)

    Kero yangu ni kukatika-katika kwa umeme mara kwa mara katika eneo la MATIKA, Kata ya Lugarawa, Wilaya ya LUDEWA, Mkoa wa Njombe huku wahusika wakikaa kimya bila kufanyia ufumbuzi suala hili, tunaomba TANESCO Wilaya ya LUDEWA watueleze ni lini tatizo hili litakwisha maana imekuwa ni kero kubwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO DED wa Mbinga mkoani Ruvuma ametufanyisha kazi bila malipo

    Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga aliwapa kazi walimu kuandikisha kaya na wanakaya katika makazi bila malipo yoyote kwa visingizio kuwa mikataba yao ya ajira inasema watafanya majukumu yao ya kitaaluma pamoja na majukumu mengine watakayopangiwa na mwajiri. Kiuhalisia, majukumu hayo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Makurunge, kata ya Kiluvya, wilaya ya Kisarawe hali tete baada lile sakata la uvamizi wa uporaji

    Ni baada ya polisi kuanza doria usiku imesababisha raia hasa wale wanaochelewa kurudi majumbani kwa sababi kadhaa wakikutana na polisi wanachezea kichapo kwanza ndo kisha kuhojiwa. Hii imepeleka raia wengi kuwa na hofu asa kuwahi makazini kwao au kutokurudi kabisa kukwepa kurukishwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri za Wilaya za Kilimanjaro hazijatulipa posho ya kujikimu sisi Ajira mpya

    Nimeogopa kutaja directly kituo cha kazi huwenda nikajulikana Lakini, Muda mrefu umepita Baada ya kuripoti ila ni kama wanapotezea posho ya kujikimu wakati ipo kwa mujibu wa Sheria. Tumewasiliana na wenzetu wa Halmashauri zingine tukagundua hili ni tatizo la Halmashauri zote za mkoa wa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi rudisheni gulio Bugandika, Wananchi wanakosa huduma za msingi

    Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa vijijini. Hiyo ni kutokana na kitendo chao cha kuondoa gulio lao la kila Jumatano na kulipeleka kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya ardhi ya wilaya ni ubatili mtupu, yafutwe

    Naomba niende kwenye mada husika kwa kuwaelekeza kwenye mifano halisi. Nachukulia mfano Baraza la ardhi wilaya la Arusha ambapo migogoro ya ardhi imetamalaki na haiwezi kwisha kwa sababu migogoro mingi inachagizwa na wenyeviti wa mabaraza.. Majuzi kwenye pita pita zangu, nikitokea zilipo ofisi...
  15. JamiiForums Tanzania Responded ‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma yatoa ufafanuzi kuhusu video ya uchakavu wa vyoo Shule ya Msingi Muhamani

    ‎‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetoa ufafanuzi rasmi kufuatia video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forums ikionyesha madai ya uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi Muhamani iliyopo Kata ya Simbo. ‎ ‎Akizungumza kuhusu suala hilo Kaimu Afisa Elimu Awali na Msingi...
  16. JamiiForums Tanzania Mikoa / Wilaya za Dar es Salaam na Makabila

    ♤ Ilala Maeneo: Kariakoo, Buguruni, Ukonga, Kinyerezi, Tabata Makabila yanayopatikana: Zaramo Ndengereko Matumbi Makonde Nyamwezi Sukuma Chaga Hehe ☆ Kinondoni Maeneo: Sinza, Mwananyamala, Mikocheni, Msasani, Kimara, Kawe Makabila: Zaramo (wenyeji wakuu) Luguru Chaga Haya Hehe...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Kakoko, Kigoma: Hatujalipwa pesa za kujikimu

    Mimi ni mwalimu wa Ajira mpya wa kada ya Ualimu (Sekondari), halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoa wa kigoma. Nimeajiriwa yangu tarehe 24 April 2025 nilitakiwa kulipa kiasi cha Tshs 1,095,000/= kama malipo ya pesa ya kujikimu lakini mpaka hivi leo nimelipa kiasi cha Tshs 186,000/= kama punguzo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Rushwa inanuka na udhaifu wa wakuu wa Wilaya

    Migogoro ya wakulima na wafugaji ipo kwa miaka mingi sana, ilishamiri mno kipindi cha awamu ya nne, pale nchi ilipopata changamoto ya uakame miaka ya 2006 mpaka 2007 wafugaji walihama hama sana kutoka mwanza geita kahama simiyu arusha manyara kuelekea kusini , bonde la usangu, wami , kilombero...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Maswa aagiza waliogoma kurejesha mkopo wa asilimia 10% kukamatwa

    Tunaye rais mwenye huruma kwa watanzania na hapendi fedha za dhuluma (alisema Mwigulu), awasamehe tu hawa watanzania jamani :BBRUHH: ========== Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya Serikali ya asilimia 10 kupitia...
  20. JamiiForums Tanzania Baraza la usuluhishi wa migogoro ya watumishi wilaya ya Nyamagana - Mwanza

    Habari zenu wana JF...!! Nahitaji msaada wa kupata Mawasiliano ya mtu anae husika na Baraza hilo tajwa hapo juu, kama nitampata Muhusika moja kwa Moja kutokea hapa nitashukuru pia. Mawasiliano yangu: 0653717447 Ahsante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…