wiki

A wiki ( (listen) WIK-ee) is a hypertext publication collaboratively edited and managed by its own audience directly using a web browser. A typical wiki contains multiple pages for the subjects or scope of the project and could be either open to the public or limited to use within an organization for maintaining its internal knowledge base.
Wikis are enabled by wiki software, otherwise known as wiki engines. A wiki engine, being a form of a content management system, differs from other web-based systems such as blog software, in that the content is created without any defined owner or leader, and wikis have little inherent structure, allowing structure to emerge according to the needs of the users. Wiki engines usually allow content to be written using a simplified markup language and sometimes edited with the help of a rich-text editor. There are dozens of different wiki engines in use, both standalone and part of other software, such as bug tracking systems. Some wiki engines are open source, whereas others are proprietary. Some permit control over different functions (levels of access); for example, editing rights may permit changing, adding, or removing material. Others may permit access without enforcing access control. Other rules may be imposed to organize content.
The online encyclopedia project, Wikipedia, is the most popular wiki-based website, and is one of the most widely viewed sites in the world, having been ranked in the top twenty since 2007. Wikipedia is not a single wiki but rather a collection of hundreds of wikis, with each one pertaining to a specific language. In addition to Wikipedia, there are hundreds of thousands of other wikis in use, both public and private, including wikis functioning as knowledge management resources, notetaking tools, community websites, and intranets. The English-language Wikipedia has the largest collection of articles: as of February 2020, it has over 6 million articles. Ward Cunningham, the developer of the first wiki software, WikiWikiWeb, originally described wiki as "the simplest online database that could possibly work." "Wiki" (pronounced [wiki]) is a Hawaiian word meaning "quick."

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CHAUMMA Bado Wanaendelea na Ziara au Wamesitisha. Maana sijawasikia Kabisa kwa Karibu Wiki nzima

    Wasichokijua wafadhili wa mizengwe ya kisiasa mbalimbali ni kwamba wale wanaofadhiliwa lengo ni kupata pesa na siyo kufanikisha lengo la wafadhili. Kwa hiyo,akina Kigaila na Mrema hawajali kama lengo la kuifunika Chadema linatimia au hapana.
  2. JamiiForums Tanzania Wiki ya Famasi kwenye kipindi cha Meza Huru, ITV, Juni 16, 2025

    Wiki ya Famasi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kusomwa kwa Bajeti leo, Morogoro na Bagamoyo Gesti zote zimejaa tangu wiki iliyopita watumishi wa Serikali wanamalizia mafungua

    Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
  4. JamiiForums Tanzania Wiki ya Famasi Tanzania yaadhimishwa, Kaulimbiu yasisitiza Ubunifu na Afya Jumuishi kwa wote

    Maadhimisho ya Wiki ya Famasi Tanzania yameanza rasmi kuanzia tarehe 10 hadi 16 Juni, 2025, yakiwa na kaulimbiu isemayo: "Mfamasia kiini cha afya kwa wote, ubunifu, uwekezaji na afya jumuishi kwa wote chini ya uongozi wa mabadiliko."
  5. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Wiki ya Famasi Kitaifa Tarehe 10 - 16 Juni, 2025

    Kauli Mbiu: “Famasia, Kiini cha Afya kwa Wote: Ubunifu, Uwekezaji, na Afya Jumuishi kwa Wote Chini ya Uongozi wa Mabadiliko”
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mutoto moja swafi, kienyeji msafi tukakule maisha mwishoni mwa wiki hii

    Eh bana eh muhindi amekubali kutoa pesa jana, no risk no story. Japo si pesa mingi lakini inatosha kutumbua maisha na musichana moja ya kienyeji. Burudani tutalianza ijumaa jioni mpaka jumapili alfajiri. Vigezo: uwe dar es salaam, uwe mtoto wa kienyeji sitaki slay queen. Amount to be spent in...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ilivyokuwa wiki ya kwanza boarding school kidato cha kwanza

    Ilikuwa jumatatu tarehe 14/02/2000 mida ya mchana nilishuka kituo cha basi Moshi Technical Sec School nikiwa na mama yangu. Tukavuka barabara na kuingia shuleni ili kujiunga kidato cha kwanza. Nakumbuka nilikuwa nimechelewa wiki moja. Baada ya taratibu za usajili wakaitwa mwanafunzi wenzangu na...
  8. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sekta ya AI wiki hii: Udanganyifu, Maendeleo na Changamoto

    Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari hii ni kashfa ya Builder AI, ambapo kampuni ilifanikiwa kukusanya mamia ya mamilioni ya dola kutoka...
  9. B

    JamiiForums Tanzania UDSM yawaita Wadau wa Elimu kushiriki maadhimisho Wiki ya Utafiti na Ubunifu

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyepotea wiki moja akutwa ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini Tanga, Sarai Kagoro (30), ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani, baada ya kupotea kwa takribani wiki moja. Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku wengine watatu...
  11. JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

    Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
  12. JamiiForums Tanzania Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi, niliibiwa

    Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa kuchanganya na zako, as long as hakitakuwa na shida upande wako, maana kila mtu ana andika jambo...
  13. JamiiForums Tanzania MOI yanadi huduma zake za Kibobezi katika Wiki ya Afya Zanzibar

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10, 2025 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Akizungumza katika maonesho hayo leo Mei 5, 2025 Meneja Uhusiano wa MOI, Bw. Patrick Mvungi amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ubunifu kwa Maendeleo: Tanzania Yajipanga kwa ajili ya Mkutano wa Future Ready na Wiki ya Ubunifu Tanzania 2025

    Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Shigeki Komatsubara (katikati) akizungumza kwenye mdahalo uliofanyika wakati wa kutangaza msimu mpya wa Wiki ya Ubunifu sambamba na mkutano wa Future Ready Summit mwaka 2025. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Philip Besiimire na muongozaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mi ningekuwa shabiki wa arsenal hata nisingehangaika kuangalia maana hakuna mahala wanakwenda

    ,🤣 Active nipigwe ban ya mwezi kama asenyo akienda fainali
  17. JamiiForums Tanzania Kwa kipato cha changu cha elf 50 kwa wiki unashauri ninunue gari gani

    Habari nipeni ushauri wakuu
  18. JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Simba akifuzu nipigwe ban ya wiki

    Kiukweli kwa simba hii ikifuzu mimi nipigwe ban ya wiki moja .mimi shuka chini nikotayari. Kwa ban hiyo
  20. JamiiForums Tanzania Kitambulisho changu cha NIDA Kinafutika Kila siku. Je wanaweza kuniprintia kipya.

    Hapa nakitambulisho cha mpiga kura tangu 2015 hakina hitilafua hata nukta. Miezi kadhaa iliyopita nimepokea kitambulisho changu cha NIDA. Tena nawashukuru maana aliniletea mjumbe wangu wa Nyumba KUMI wa Chama cha Mapinduzi. NIDA Tanzania Jambo ambapo sijapenda haijapita hata mwaka herufi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…