wiki

A wiki ( (listen) WIK-ee) is a hypertext publication collaboratively edited and managed by its own audience directly using a web browser. A typical wiki contains multiple pages for the subjects or scope of the project and could be either open to the public or limited to use within an organization for maintaining its internal knowledge base.
Wikis are enabled by wiki software, otherwise known as wiki engines. A wiki engine, being a form of a content management system, differs from other web-based systems such as blog software, in that the content is created without any defined owner or leader, and wikis have little inherent structure, allowing structure to emerge according to the needs of the users. Wiki engines usually allow content to be written using a simplified markup language and sometimes edited with the help of a rich-text editor. There are dozens of different wiki engines in use, both standalone and part of other software, such as bug tracking systems. Some wiki engines are open source, whereas others are proprietary. Some permit control over different functions (levels of access); for example, editing rights may permit changing, adding, or removing material. Others may permit access without enforcing access control. Other rules may be imposed to organize content.
The online encyclopedia project, Wikipedia, is the most popular wiki-based website, and is one of the most widely viewed sites in the world, having been ranked in the top twenty since 2007. Wikipedia is not a single wiki but rather a collection of hundreds of wikis, with each one pertaining to a specific language. In addition to Wikipedia, there are hundreds of thousands of other wikis in use, both public and private, including wikis functioning as knowledge management resources, notetaking tools, community websites, and intranets. The English-language Wikipedia has the largest collection of articles: as of February 2020, it has over 6 million articles. Ward Cunningham, the developer of the first wiki software, WikiWikiWeb, originally described wiki as "the simplest online database that could possibly work." "Wiki" (pronounced [wiki]) is a Hawaiian word meaning "quick."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
  2. JamiiForums Tanzania Trump, Putin kukutana Alaska kwa mazungumzo ya vita vya Ukraine wiki ijayo

    Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine. Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Trump na Putin kukutana wiki ijayo

    Naibu balozi wa urusi katika umoja wa mataifa Dmitry Polyanskiy amesema Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na Rais wa Marekani Donald Trump Hatua hiyo inaleta matumaini makubwa katika kumaliza mgogoro unaendelea kati ya Urusi na Ukraine, licha ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi za...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna chama kimeahidiwa serikali ya umoja wa kitaifa hapo oktoba 2025 na mgombea wao wa urais wiki ijayo atahamia chama hicho

    Baada ya maji kuzidi kulowana. Kuna chama kimeahidiwa kupewa mawaziri kadhaa na kuundwa Kwa serikali ya UMOJA WA KITAIFA Ili kuonyesha demokrasia ipo na kuizika Rasmi CHADEMA. Baada ya leo mtoto wake kuhamia Chama hicho next week kama SIO Tarehe 10 ya wiki Hii kutakuwa na kung'atuka Kwa mgombea...
  5. JamiiForums Tanzania Hatimaye pikipiki yangu niliyonunua wiki mbili zilizopita imenikanda.

    Asante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha pikipiki pia kujiandaa kwa majanga yasiyotabirika. I don't blame anyone kwani kabla ya kununua...
  6. JamiiForums Tanzania Wiki hii ndio nimejua maana halisi ya neno "WAHUNI"

    Polepole alianza kutamka neno hili "wahuni" kitambo sana, ila watu tulikuwa hatujamwelewa. sasa, naelewa, wahuni ni nani na ameanza kupambana nao lini.
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua miradi minne ndani ya wiki moja, adhihirisha kwamba Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Ndani ya wiki moja, Rais Samia Suluhu amezindua miradi minne ya uwekezaji yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla. 1. Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited 2. Uzinduzi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR 3. Uzinduzi wa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania JUMA AWESO, wakazi wa goba hatuna maji wiki ya tatu sasa

    Habari za jioni bw Aweso Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo. Kikawaida tunapata maji kwa wiki mara moja kila siku ya jumatano, lakini imepita wiki tatu sasa hatujapata maji...
  9. JamiiForums Tanzania Chuo cha NDC chahitimisha mafunzo ya muda wa wiki 47, ujumbe watolewa "Tumieni maarifa kuimarisha ulinzi na maendeleo"

    Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College - NDC) kimehitimisha rasmi mafunzo ya muda wa wiki 47 (kuanzia Septemba 2024 hadi Julai 2025), kwa viongozi waandamizi wa Jeshi, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wa Serikali, kutoka Tanzania na mataifa mengine. Mafunzo hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Wafahamu Wa-Druze ambao tangia wiki iliopita wamefanyiwa ukatili huko Syria

    Ni Waarabu wenye dini ya kipekee ya Ki-brahamu ambayo hapo awali ilikuwa chipukizi la mbali la Uislamu wa Shia. Waamini Mungu Mmoja kama walivyo wakristo na Waislam, nabii wao ni Yethro / Yitro, kuhani wa Midiani, baba wa Sipora; Yethro ni baba mkwe wa Musa. Wafuasi wasiopungua milioni 1...
  11. JamiiForums Tanzania Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  12. JamiiForums Tanzania Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
  13. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

    Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya Lissu inahairishwa kwa wiki mbili mbili tu?

    Kwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
  15. JamiiForums Tanzania Makamanda 9 wa Hamas waangamizwa katika kipindi cha Wiki mbili tu

    Makamanda hawa wa Hamas kwa sasa ha tuko nao baada ya kuangamizwa na majeshi hodari ya Israel
  16. JamiiForums Tanzania Ni wiki moja tangu nimalize chuo, ila nimeanza kupauka ni Nini hii😔

    Naona nguo zimeanza kupauka Sina mishe Sina harakati Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
  17. JamiiForums Tanzania Badala ya kutoa stress na pombe kila wiki, hio hela katembelee mbuga za wanyama

    kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
  18. P

    JamiiForums Tanzania Akinisamehe nitalala five stars hotel kwa wiki kujipooza

    Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo nimekula za uso. Aisee huyu mrembo akisema turudiane, lazima niende sehemu sijawahi kwenda ili tuanze...
  19. JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  20. JamiiForums Tanzania Wakati ligi yetu ikiwa haijaisha, EPL watoa ratiba ya msimu mpya, Man Utd Vs Arsenal wiki ya kwanza

    Sisi tunaishi katika dunia yetu. Mpaka leo ligi haijaisha😂 Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao. EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza. Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana. Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…