whatsapp

  1. WhatsApp kusitisha huduma kwa mamilioni ya simu (Smartphones)

    Hivi karibuni WhatsApp itasitisha programu yake kwa mamilioni ya simu baada ya kutangaza kwamba programu hiyo itaacha kufanya kazi katika simu za zamani. Kampuni hiyo inayomilikiwa na Facebook iliweka wazi katika ukurasa wake wa msaada, simu za mikononi ambazo hazitaweza kupata programu hiyo...
  2. Ni kwanini watumiaji wa WhatsApp India wameagizwa kupakua programu mpya?

    Shirika kuu la usalama wa mtandao nchini India, Cert, imewaomba watumiaji wa mtandao wa WhatsApp kupakua programu mpya ( ya hivi punde) katika simu zao baada ya kugundua kuwa kulikuwa na programu mpya ya udukuzi katika programu ya awali ya ujumbe wa programu hiyo. Programu hiyo ya software...
  3. B

    Naturals Butters and Oils

    Raw Shea Butter, African Black Soap, Cocoa butter, Mango butter etc ( jumla na rejareja) karibuni. WhatsApp 0752555223
  4. WhatsApp na iPhone 4

    Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa. Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2 Wataalamu Nielezeni jinsi ya kuinstall
  5. Msaada jinsi ya kurudisha account ya WhatsApp

    Habarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa. Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa...
  6. Naomba msaada wa Kurudisha WhatAapp kwenye simu yangu

    Naombeni msaada wa kurudisha whatsapp app kwenye simu yangu. Nilibadili number ya account kwa makosa na nilipojaribu kuirudisha tena ikakataa, option niliyoifanya ni ku-uninstall whatsapp ili ni re-install, lakini nilipo download inakataa ku-install. Msaada wataalamu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…