wezi

WEZI (102.9 MHz "Easy 102.9") is a commercial FM radio station in Jacksonville, Florida. It airs an adult contemporary radio format and is owned by Atlanta-based Cox Media Group.
The station's studios and offices are located on Belfort Parkway in Jacksonville's Southside district. The transmitter is off Hogan Road in the Arlington neighborhood. WEZI is a Class C FM station, running at an effective radiated power (ERP) of 100,000 watts, from a tower at 1,014 feet (309 m) in height above average terrain (HAAT). Its signal stretches from the Georgia coast to south of St. Augustine, Florida to southwest as far as Gainesville, Florida.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wachina ni wezi wa teknolojia si wabunifu, ndio maana mzozo wao na USA hauwezi kuisha

    Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti. Nchi kama USA wanatumia bajeti kubwa za utafiti ukilinganisha na wachina. Sasa hapa unaweza kusema mchina ni mkali...
  2. JamiiForums Tanzania G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  3. JamiiForums Tanzania CCM Sikio la kufa. Wezi wameanza kuunda baraza la mawaziri

    Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda. Wananchi wameonesha wazi...
  4. JamiiForums Tanzania Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika

    Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika . point ni zile zile, uchaguzi bandia ufutwe, mateka wote waachiliwe, katiba mpya tukutane tarehe 9/12
  5. JamiiForums Tanzania Brr!!!Brr!! sms mpya najua mshahara kumbe TAKUKURU, wazee acheni utani, wezi mnawajua na taarifa tumeleta hapo ofisini

    Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu. Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
  6. JamiiForums Tanzania Message kibao kwa RAIA wakati wezi mnawajua, TAKUKURU acheni maigizo

    Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo. Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuanze mtindo wa Colombia. Tupambane na wanaolinda serikali ya wezi

    Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia. Hali iliyopo Tanzania Mahakama zinatumika vibaya, Polisi wanatumika vibaya, Tume ya uchaguzi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom na CRDB ni wezi?

    Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu. Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100.. Sasa unapojaribu kuitumia huwa wanakata hiyo fedha haijalishi umefanikiwa au haujafanikiwa. mara nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wengi ambao wanawapinga mafasadi ni kwamba hawajapata hiyo nafasi ya kufisadi ila sisi waafrica (Watu weusi) kiasili ni wapigaji na wezi .

    Sisi watu weusi, kiasili ni wezi ni vile mtu hajapata nafasi . Kupitia Asili yetu ya tamaa za Mali ,fedha na ngono . Basi wenzetu weupe wamekuwa waki -take Advantage hiyo kutulewesha , kutupa rushwa n.k Wahindi , waarabu na wazungu , wanaujua udhaifu wa mtu mweusi kuwa anaongozwa na tamaa ya...
  10. JamiiForums Tanzania WOTE WEZI TU!

    WOTE WEZI TU! Kuna wale wanajiita wajamaa ambao adui yao mkuu ni watu kuwa na 'uhuru wa kiuchumi'! ... yaani ukiwapa nchi wao basi kila mtu awe kapuku ili waweze kuabudiwa vizuri! Chini yao huwa kuna wizi wa kutisha, ili wazidi kujiimarisha na kubebana, lakini wizi hufanyika kwa siri kubwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Bila kadi na namba ya NIDA huwezi kuuza wala kununua katika serikali ya CCM

    Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake. Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Wezi wavunja Maduka na kuiba Tegeta

    Watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam. Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka Wezi hao walifumua bati la juu na kufanikiwa kutoboa...
  13. JamiiForums Tanzania WARAIBU WENGI HAWAPENDI HUACHE VILEO

    Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe. Ikitokea unafanya jitihada kama kupunguza kuhudhuria maskani au vilabuni au baa wanakuona snitch, kama ulikuwa mlevi ukaanza kunywa juisi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

    Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu. Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata mara mbili, Upande mmoja alikua anauza vitu vya electronic pale kulikua na mafridge, TV nk, na upande...
  15. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wahasibu wa Hospitali ya Mloganzila wana michezo ya kubambikia wagonjwa gharama ambazo hujazitumia kutokana na michezo ya rushwa

    Hii imenitokea mwenyewe kwenye Hospitali ya 5aifa Muhimbili Tawi la Mloganzila mara mbili. Mara ya kwanza sikuujua mchezo. Mimi najilipia mwenyewe, yaani situmii bima kutibiwa. Nilikuwa na uvimbe mwilini nikafika Mloganzila Daktari akasema ni vyema tukauondoa. Akanishauri niende kwa Wahasibu...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mkae chonjo sana na watu wanaovaa kofia wakija maofisini kwenu, Kuna trend ya wezi wengi kupenda kuvaa kofia

    Sehemu nyingi sikuhizi zina cctv, wezi hupenda kuvaa kofia kama tahadhari, cctv zinafungwa kwa juu, kofia kuna muda zinasaidia kuziba nyuso Huyu jamaa kajifanya ni moja ya wahudumu wa ukumbi Hawa wamepiga tukio kwenye basi., huyo alievaa kofia ya Tanzania kamaliza mchezo
  17. JamiiForums Tanzania Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye maandamano ya GenZ wa kenya kuna matukio ya wizi pia, Duka la Smoothers limeporwa

    Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua wameshaiba vitu vingi Kama ulikua unadhan GenZ wa kenya ni wana mapinduzi basi fikiria tena, huenda...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA wilaya ya Kinondoni wananizungusha malipo yangu

    Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki zake? Ninawadai Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni pesa kwa mradi wao wa Tarura uliopita kiwanjani...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa mtandaoni (wauzaji wezi Instagram)

    Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…