wenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Marekani yatoa donge nono kwa Gaidi Mojtaba Khamenei na wenzake!!

    Marekani inatoa zawadi ya dola milioni 10 kwa taarifa kuhusu uongozi uliobaki wa Iran, hasa viongozi wa IRGC. Na Wahuni wengine kama Majitaka Khamenei zitto junior gallow bird
  2. M

    Mmejazana kwenye kijiwe cha kahawa hapo stendi ya Zamani Chato mkifurahia Manunga ,Mbunge wenu na wenzake kupandishwa mahakamani

    Mna mambo ya ajabu sana hapo Chato. Ndio mmepata story ya kufurahia? Kwa hiyo kwa hii CCM mnadhania watafungwa?
  3. Nyani Ngabu

    Kumbe ilikuwa ni CIA waliofanya ujasusi dhidi ya Ayatollah na wenzake!

    https://youtu.be/OGPcWKBWiz0?si=LN83QgAZlt2Zufl6 Kama nilivyokuwa nahisi, kazi ya ujasusi dhidi ya Ayatollah ilifanywa na CIA ya USA. CIA kumbe walikuwa wanamfuatilia kwa kipindi kirefu tu ili kuijua mienendo yake. Na ni CIA hao hao ndo waliowapenyezea IDF taarifa za kwamba Bw. Ayatollah...
  4. Parabolic

    Msajili amtaka Profesa Lipumba na wenzake warudie uchaguzi CUF

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja. Kwa mujibu wa Jambo TV, barua ya Februari 13...
  5. bwawani90

    Wenzake na Mwanangu wanamtania "Huyu ni Babu yako"

    Leo katika pitapita zangu, nikaona nipite nimchukue binti angu. Basi bana watoto wakaniona nimepaki nikashuka kwenye Vogue, nikazunguka nyuma yao. Wakaanza kumtania mwanagu, Neema(code) huyo ni babu ako? Binti nikamuina alijisikia vibaya sana. Ndani ya sekunde wanashangaa mwenzao anaingia...
  6. Lord Denning

    Ni kesi ya ICC na nyinginezo tu dhidi ya Samia na wenzake zitakazolibadilisha kiukweli Taifa letu na mifumo yake yote

    Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa kwenye Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa pale ndipo Serikali ya Tanzania itaanza kuongozwa kwa akili na sio ujinga na upumbavu wa ki ccm. Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na...
  7. Genius Man

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  8. Kimbesa11

    Hivi hakuna Kiongozi wa maaskofu ili awaonye wenzake waache siasa nipo church katoliki nimeamua niingie tu JamiiForums

    Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa. Kama yupo Askofu wa katoliki humu jukwani Tunaomba utufikishie ujumbe waache kuhuburi siasa wanakela, imagine mpaka...
  9. Msanii

    Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

    Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Bunge la Khabil na Kabil na wenzake ndilo lilipoteza mwelekeo wa vuguvugu la maandamano yote yaliyobakia

    Hamjambo Wore. 1. Kama nitaulizwa Maswali nini kilifanya maandamano ya D9 yafeli na vuguvugu la maandamano yanayofuata kupoteza momentum ni pamoja na sababu nilizowahi kuzieleza. 2. Lakini sababu hizi Sikuzitaja katika posts zangu. Nazo ni; a) Kudhibitiwa kwa Mange Kimambi. Mpare huyu...
  11. DuaZaMama

    PostGE2025 Polisi: Tulimkamata Geofrey Mwambe Desemba 7,2025 kwa tuhuma za jinai

    TAARIFA KWA UMMA Hali ya Usalama jijini Dar es Salaam ni nzuri na wananchi wanaendelea na kazi halali mbalimbali. Hata hivyo tarehe 07 Desemba, 2025 usiku eneo la Tegeta Kinondoni alikamatwa Geofrey Mwambe kwa tuhuma za jinai ambazo zinachunguzwa. Hatua zaidi za kisheria zinakamilishwa...
  12. M

    PostGE2025 Kiukweli ninakerwa na utawala huu unavyoendesha mambo yake ila sikubaliani na hoja kuwa USA na wenzake ndio wakombozi wetu

    Binafsi ninakerwa na serikali hii inavyofanya mambo yake. Kuna mambo yanahitaji diplomacy kidogo tu ila cha kushangaza serikali inatumia nguvu kupitiliza hadi inaamsha hasira za wananchi. Kuna ishu zinahitaji tu maneno sio lazima kutumia bunduki. Msemaji wa serikali na katibu mwenezi wa CCM ni...
  13. The Father of All

    Nashauri CCM na Samia na wenzake wajifunze toka kwa wafuatao

    Muammar Gaddafi, dikteta wa zamani wa Libya, alipoambiwa kuwa karibu serikali ya nchi jirani ya Misri ingeangushwa na waandamanaji, ajibu "kumbuka hii ni Libya." Omar Bashir dhalimu wa zamani wa Sudan naye alipokaribia kuanguka, aliamuru wanajeshi kupiga risasi yoyote wakafanya hivyo kwa baadhi...
  14. Its Tesha

    PostGE2025 Niffer, Mika Chavala na wenzake wafikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalowakabili. Ikumbukwe tarehe 25, Novemba 2025 washtakiwa 20 kati ya 22...
  15. M

    PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake. Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
  16. M

    Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  17. M

    Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  18. The Father of All

    Hivi kama Christopher Mtikila angekuwa hai Samia na wenzake wangeyafanya haya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Mtikila alijulikana alivyowatikisa watawala akiwamo Nyerere mwenyewe. Je, ahgekuwa hai, kweli haya mambo yangefanyika au kuishia hivi?
  19. The Father of All

    Wako wapi akina Peter Msigwa na wasaliti wenzake walioramba matapishi wakatapikwa na machawa?

    Ni muda mrefu sijamsikia Peter Msigwa aliyetimkia CCM kuramba matapishi yake akaishia kutapikwa kwa aibu na bila huruma? Najua wapo wengi. Kwanini tusiwaorodheshe hapa lao wajione au waambiwe tunavyoachukulia chawa hawa wachafu waramba makalio ya muuaji.
  20. K

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha. Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani! Kesho nani atakuwa salama
Back
Top Bottom