wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Mahausiboi' wakitembea na Wake za Watu huwa ni Wasiri, ila kwa 'Mahausigeli' hugundulika mapema na wenye Waume?

    Inakuwaje 'Houseboi' hata akiwa 'anakukanyagia' Mkeo bado atakuwa 'Msiri' Kwako mwenye Mke na tena kazi ataendelea Kuzifanya ila kwa 'Hausigeli' akishaanza tu 'Kutinduliwa' na Mume hawawezi Kujificha na atajulikana tu upesi na Mke wa Mhusika? Nasubiri tu uzoefu wenu nijifunze zaidi.
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania Wenye draft la dalmax wekeni hapa file lake naona Google play wameshalifuta

    Wakuu msaada tafadhari nataka Tena niumize kichwa na hili gemu.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Uraia na Haki inahitajika sana Tanzania!

    Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata...
  4. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kadiri ninavyokutana na watu wenye tabia kama zangu, ndio nazidi kuwasamehe niliodhani wananichukia

    nilikua ni mtu wa matani mengi, hata jambo la serious mimi nilikua naleta utani, nilikua na tabia ya sura mbili, nikiwa nyumbani ni mwema nikiwa mtaani wanavunjia adabu watu, nilikua na vitabia ambavyo vinakera ingawa mimi sikuona hili, nilidhani naonewa. 1. Tukio la kwanza Siku moja nikiwa...
Back
Top Bottom