wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haiti: Ndege yaanguka mtaa wenye watu wengi, yaua watu sita

    Ndege ndogo imeanguka katika mtaa wenye watu wengi katika Jiji la Nchini Port-au-Prince Nchini Haiti, jana Aprili 20, 2022 na kuua watu sita akiwemo rubani wa ndege hiyo. Ndege hiyo ilikuwa ikiruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Port-au-Prince saa 9:44 Alasiri kuelekea katika Jiji lingine Nchini...
  2. JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira la TAMISEMI lina mkanganyiko kwa watu wenye ulemavu

    Maombi ya nafasi za kazi kada ya Afya na Elimu yameanza kupokelewa na TAMISEMI lakini kuna mkanganyiko ambao nimeuona kwa watu wenye ulemavu. Kwa namna ya kuomba. 1. Japo maombi yanapashwa kupitia kiunga cha ajira.tamisemi.go.tz maombi kwa watu wenye ulemavu yametakiwa kutumwa kwa 'nakala...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaojali, na wakarimu bado wapo kwenye ulimwengu huu uliojaa wenye chuki, na wabinafsi

    Leo nimekaa nimetafakari sana jambo na kuona bado tunaweza kurudisha tabia njema, ukarimu na ustaarabu ambao ndio ilikuwa sifa kubwa ya sisi watanzania ikitutofautisha na watu wa nchi nyingine Kila uchwao changamoto ya ajali za barabarani imekuwa kubwa sana kila leo tunapoteza ndugu, jamaa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge Kushangilia Bungeni kupewa Futari ya bure na CRDB je, kwa wenye Akili Watanzania wote tunaonekana vipi?

    CRDB mnatoaje Futari ya bure kwa Wabunge ambao tayari wana Posho ya zaidi ya Shilingi 350,000/= kwa Siku badala ya Kusaidia Makundi ya Watu wengi wenye Mahitaji hasa kwa Kipindi hiki na hata katika Maisha yao ya Kiujumla? Kilichonishangaza zaidi ni Kitendo cha Wabunge kutangaziwa na Spika wa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Hivi inawezekana mwanaume akafahamiana na mwanamke ndani ya mwezi mmoja na mwanaume akagundua kwamba amepata mke?
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania imekosa Viongozi wenye kufariji Wananchi

    Bana bha JF bonsoir!? Inasikitisha kuona ya kwamba hakuna kiongozi anajali na kuishi dhana ya uongozi hasa wajibu wa kufariji wananchi nyakati ngumu, kila kiongozi anajiangalia yeye na roho mbaya ikitamalaki. Hii nchi viongozi ni machatu ya kutisha. Bei zinapanda no body cares for a common...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kuifahamu biashara ya uvuvi wa samaki baharini

    Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara Eneo la uvuvi ni Mtwara
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sitasahau majambazi wenye siraha za moto walivyonipokonya mia 3

    Unaweza fikiri labda ni utani lakini hili ni tukio lililonipata miaka zaidi ya kumi wakati nikiwa mfanyabiashara wa samaki Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumanne nikiwa nimeenda kuuza samaki kijiji kimoja cha huko Muleba nikiwa mimi na mjomba wangu Kijiji hicho kilisifika kwa wizi & ujambazi...
  9. JamiiForums Tanzania Nukuu muhimu toka kwa Baba wa Taifa Hayati Mwl. J. K. Nyerere

    WanaBodi Wasalaam, Zifuatazo ni baadhi ya nukuu za Hayati Mwl. J. K. Nyerere unaweza zisoma na kuweka komenti kwenye nukuu moja wapo ukihusianisha na Tanzania ya leo. "Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kuishi kwa ndugu nipeni muongozo

    Binafsi mwezi huu wa tatu hivi karibuni nilisafiri kwenda mkoa X ila ni ndani ndani mpakani na Msumbiji huku. Kwakuwa ni kwa kaka yangu sikua na mashaka kwenda, bro ameshaoa tayari na pia ana watoto wawili sema anaeishi ni mmoja mwingine yupo kwa shangazi (yaani bibi) Haya wiki ya kwanza picha...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ulemavu kuwekewa miundombinu rafiki katika vyumba vya kujifungulia

    Serikali imeendelea kufanya maboresho ya miundombinu ya kutolea huduma za Afya kwa kuhakikisha kuwa Vituo vya kutolea huduma za afya vinawekewa miundombinu rafiki kwa wanawake wenye ulemavu kwa ajili ya kujifungulia. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel Bungeni, Aprili 14...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa matibabu wa China waleta matumaini kwa wenye matatizo ya macho Burundi

    Kikundi cha 20 cha madaktari wa China kilichotumwa nchini Burundi hivi karibuni, sasa kinaendelea kuwafanyia watoto upasuaji wa macho bila malipo katika mpango wa msaada wa matibabu Mkoa wa Giheta katikati mwa Burundi. Katika utekelezaji wa mpango huo ulioanza mapema Aprili, wagonjwa 47 wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa ugonjwa huu wa akili wa Biden Marekani inawakilishwa na rais dhaifu huku media inaendelea kumpamba kwa watu wenye upeo mdogo wa kuuona uhalisia

    sio mara ya kwanza wala ya pili wala ya tatu, ni mwendelezo wa huu ugonjwa wa akili unaoitwa dimentia unaomsumbua Biden. ugonjwa huu umefanya mara kwa mara biden atetewe na media kwamba hakumaanisha alichosema bali alimaanisha kitu flani. seriously, hiki alichokiongea ni nini Tafsiri; "Vuta...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kifanyike ili kuwasaidia watu wenye vibamia?

    Hakuna watu wanaojichukia kama hawa waafrika wenzetu waliozaliwa na vimkuyange vifupi(below 4inches) Wanapata taabu sana kwenye mahusiano na wanakuwa hawajiamini kabisa hata kwenye kula tunda kimasihala Sasa ni kipi tukifanye ili kuwasaidie hawa jamaa zetu ambao hawakupenda wazaliwe hivyo
  15. JamiiForums Tanzania Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

    Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito. Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa. Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa...
  16. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba imefika wakati mbadilike sasa, mtuhurumie sisi wapangaji, kodi zilipwe kwa mwezi na si miezi 3,6 wala mwaka

    Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi? Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinasababisha nchi kuwa na watu wenye akili sana ama kuwa na watu wajinga sana

    Kuna mambo yanashangaza sana hapa chini ya jua Kuna nchi zina watu wenye akili nyingi sana wanaobuni na kufanya vitu ambavyo hakuna aliyewahi fikiri vinaweza fanywa na mwanadamu Kuna nchi zina watu wenye akili ndogo sana wanaobuni na kufanya mambo ambayo hata kondoo hawezi Fanya Je,ni sababu...
  18. JamiiForums Tanzania CCM bado inao researchers wenye weledi wa kutosha?

    Sina uhakika kama hiki chama kinachojinasibu kuwa dola kinajitizama ila simple research yangu mitandaoni na mtaani mnaenda down the hill kwa speed ya mwanga hasa huduma kwenye ofice za umma . Rushwa ,hali ya uchumi wa watu, serikali kurejuvinate kwenye stage ilokwisha kataliwa huko nyuma , in...
  19. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba kupandisha kodi je hii nayo inaenda na kupanda bei za mafuta?

    Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine, sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu, maana jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu chanzo na dalili za ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis)

    UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS) Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…