wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TCRA ina 'task force' ya kuwashughulikia wenye televisheni za online ambazo hazijasajiliwa

    Engineer Kisaka ameyasema hayo leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo Waziri wa Habari na Mawasiliano. "…lazima tumsikilize kila mmoja anasemaje. Muafaka uliofikiwa ni kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tuwaalike JF hawa Watu wenye Changamoto za Mapenzi kabla Hawajaua au Kujiua

    Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo. Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo. Hata...
  3. JamiiForums Tanzania Mtwara: Wazazi wanawaficha watoto wenye VVU

    Afisa Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Mangaka Wilaya ya Nanyumbu, Janeth Chikawe ameeleza kuwa Mkoa huo umekuwa na idadi kubwa ya wazazi ambao hawawapeleki watoto kupata dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa kuwafungia ndani. Amesema watoto wengi wanaokosa huduma hiyo ni wenye...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu yetu na hatima ya vibarua nafuu wenye vyeti

    Siku Moja nilipokuwa nimetega sikio nikipata habari kutoka idhaa ya taifa nilivutiwa sana na Moja ya marudio ya usemi wa Baba wa taifa hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere ninanukuu, "Kama unadhani elimu ni gharama, basi jaribu ujinga". Miaka mingi baada ya uneni huu lakini bado hakuna hatua za...
  5. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi wafuatao ndiyo Marais wa Afrika waliokuwa na wenye uwezo wa kuhutubia bila kusoma mahala popote

    1. Hayati Baba wa Taifa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 2. Hayati Baba wa Taifa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela 3. Hayati Mkombozi na Baba wa Taifa wa Congo DR (zamani Zaire) Patrice Emelly Lumumba 4. Hayati Baba wa Taifa Ghana Kwame Nkurumah 5. Hayati Rais Benjamin Mkapa 6...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

    => Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said => Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye tatizo la usikuvu hafifu kama langu tukutane hapa kupeana faraja

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 kwa sasa naishi iringa mjini, nimeondoka dar february baada ya kula sana msoto nikaamua ngoja niende sehemu ambayo hakuna anaenijua nipate utulivu wa akili, hapa iringa nimepewa hifadhi ya kulala tu na ndugu. Twende kwenye main topic sasa, nina tatizo la...
  8. JamiiForums Tanzania TFF; Makocha wenye CAF Diploma A hawa hapa

  9. JamiiForums Tanzania Wenye matatizo ya kukoroma tukutane hapa, tupeane ushauri

    Nina miez takriban tisa kwenye ndoa yangu lakin changamoto kubwa inayonikabil ni tatzo la kukoroma usiku, hali inayomtesa sana mke wangu kipenzi. Tafadhali kama kuna mwenye dawa yoyote au njia yoyote ya kuzuia tatzo hli anijuze.
  10. JamiiForums Tanzania Mtandao gani wenye kifurushi cha usiku?

    kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

    Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa? Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  13. JamiiForums Tanzania Mnisahihishe kwa uhalisia lakini hadi sasa sijaona jamii yenye watu wenye mafanikio kuwazidi wazanzibari, wapo mbali sana na huu ni mwanzo tu

    Waznzibar wapo milioni na nusu hivi lakini mziki wao haukamatiki kwa % ya waliofanikiwa. Percentagewise ukiwaweka wazanzibari waliofanikiwa kwenye idadi ya wazanzibari wote, unapata asilimia kubwa kuzidi kabila au jamii yoyote hapa Tanzania bara. - Kibiashara wapo juu, pesa wanazichapisha...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni kali, polisi wenye daladala wanaiibia serikali

    Hii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi. Mama Samia kafanya kweli katika kulitumbua jipu hilo maana limeota mizizi. Hao maafisa wahusika ni lazima wapelekwe mahakamani kwa uhujumu uchumi.
  15. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanafunzi wa kike wa miaka (15-18)wanaopata ujauzito kutoka kwa wanafunzi wenzao wa kiume wenye miaka inayoendana wapewe adhabu pia

    Wanafunzi wa kike au mabinti wenye umri kati ya miaka kumi na tano mpaka miaka kumi na nane wanaopewa ujauzito au kufanya ngono na wanafunzi wenzao au vijana wenye umri unaoendana na wao wapewe adhabu ya muda mfupi kisha warudishwe masomoni chini ya uangalizi wa wazazi. Imezoeleka kwamba watoto...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wenye kutaka kutuaminisha kuwa tu waoga

    Uzalendo ni pamoja na kuyaweka wazi yanayotukera katika nchi bila kujali yanafanywa na nani. Ndugu zetu pale kijitonyama, wasiojulikana, waziri Masauni hadi mama Samia tuvumiliane tu. Uzalendo kwanza. Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa Kuna maswali ya msingi kwa awaye yote...
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kama ningekuwa mimi ningefanya haya kuhusu mikopo ya vijana, akina mama na watu wenye ulemavu

    KAMA NINGEKUWA MIMI. Leo nazungumzia vijana na ajira kupitia Mikopo inayotolewa na serikali kwa vikundi vya vijana, akina mama na watu wenye Ulemavu. Utaratibu wa sasa ili kupata mkopo watu husika lazima wawe na kikundi kilichosajiliwa, baada ya hapo mchakato wa maombi ya mkopo tajwa huanza...
  18. JamiiForums Tanzania Nasisitiza wenye mamlaka makinikeni na Karia wa TFF

    Karia kwa kauli na matendo hakika ni mtu wa kuchungwa mno kisiasa kama kimelea kinachokaribia kuleta sintofahamu kubwa baina ya wananchi wa Tanzania. Pamoja na kuongoza TFF bado Karia anawajibika kutokusababisha manung'uniko na kuwagawa Watanzania kwa sababu ya chuki zake binafsi kwa adui...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Njooni wataalamu wetu wenye bahasha tusaidiane

    KAZI ni mojawapo kati ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya kazi. Unapokatiza mitaani, katika mitandao ya kijamii, majarida na wavuti mbalimbali, maombi na matangazo ya kazi vinapewa kipaumbele kikubwa. Wengi hudamka asubuhi...
  20. JamiiForums Tanzania Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija

    Rais wetu Mama Samia ametoa udhamini wa wanafunzi 600 katika elimu ya juu waliofanya vizuri masomo ya sayansi, sina hakika kama watanzania wengi wanalifahamu jambo hili jema kiasi hiki, maana elimu ni mti wenye mizizi mirefu sana, majani mengi na matunda yenye mbegu nyingi zisizohesabika idadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…