wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

    Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024. Kawawekea matozo ya kila...
  2. JamiiForums Tanzania Kama maendeleo ya kiteknorojia kwa nchi zilizoendelea yamechagizwa na Wayahudi, Tanzania tunakwama wapi kuwakaribisha na kuoana nao?

    Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo! Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k Sehemu hakuna...
  3. JamiiForums Tanzania Hawa ndo watu wenye stress za hatari. Tuwaombee

    Kimsingi wamevurugwa. 1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu. 2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali. 3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi. 4. Mtu...
  4. JamiiForums Tanzania kwa wale wenye "My Only" zaidi ya 10 mnawezaje kuhandle situation ya kuazimana simu mkiwa pamoja.

    Ughonile.. Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo. Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu yako mara naomba nicheze Game, mara naomba nijisnap mara nisaidie simu yako nicheki movie mara naomba...
  5. JamiiForums Tanzania Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

    Niaje waungwana Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa. Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu waislam wenye majina ya kiarabu, Haya ndiyo majina yenu original yenye asili ya kiyahudi

    Majina haya ya kiarabu asili yake original ni ya wayahudi yenye lugha ya kihebrania, Kama una majina haya basi tambua kwamba asili ya jina lako ni kwa wayahudi Shlomoh - Suleyman (Sulemani) Mosheh - Musa Amram - Imran Chanokh - Idris Dawid - Dawud Yishmaʿel - Yahya (Yahaya) HaSatan - Shaytan...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Binti mzuri kwa ajili ya urafiki na uhusiano wenye Malengo

    Wapendwa nawasalim. Katika hali ya u serious natafuta binti makini kwa ajili ya urafiki na ikipendeza kua nae kwenye mahusiano yenye future. Itapendeza sana muhusika akiwa na miaka 24 - 29. Na awe anajishughulisha na kazi halali. Binafsi niko serious 30yrs nimeajiriwa na ninajitegemea...
  8. JamiiForums Tanzania Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

    Wakuu, Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana. Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia, Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wenye kujua machimbo ya Kahawa na Korosho tunaomba mtujuze

    Nawasalimu popote mlipo, Kama ilivyokawaida kukosa pesa Kwa watu wengi na kuwa na idea nyingi za biashara, ndivyo ilivyo kuwa kawaida pia kuwa na pesa nyingi afu huna cha kufanya Siku ya Jana nimeona Kwa vyombo vya habari zao la korosho kuuzwa mara mbili zaidi ya bei ya msimu uliopita Pia...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tupe experience yako wakati wa kubayolojiana na wanawake wenye big nyash!

    Habari wana MMU, Husika na mada tajwa hapo juu, wanawakw wenye big nyash laini wana pepo yao VVIP mbinguni ! Naomba kuwasilisha.
  11. JamiiForums Tanzania Ugomvi barabarani ni ushahidi Dar es Salaam watu wengi wenye magari wanastress au levo ya mapepo iko juu barabarani msimu huu

    Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi. Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza. Hapa jamaa kaguswa kidogo tu kifaa chenye thamani ya sh 3000, anapewa 4,000 hataki anataka ngumi tu...
  12. JamiiForums Tanzania Wale wenye familia kubwa gorofa 5 bedrooms affordable design yenu hii hapa

    CHINI 3BEDROOMS JUU 2BEDROOMS SEBULE 2 ,JIKO DINING,STORE AND LAUNDRY PLOT SIZE 30X30M ESTIMATED COST MPAKA ROOFING (120M) CALL/WHATSAP +255624004650
  13. JamiiForums Tanzania Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwamba Peter Msigwa anataka tuamini yeye ni CCM kuliko wenye CCM yao?

    Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa. Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti? Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wivu kupitiliza twaundiwa kifaa! Heko SIDO!

    Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan! Huduma inabak ya mmoja tu!. Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho. Unapata watoto wa nyonga yako tu. Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz. Unatunza kwa roho nyeupe, mana ni chako tu. CHANGAMOTO: 1. wenye master key 2. Muundaji kuacha...
  16. JamiiForums Tanzania Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

    Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17. Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku...
  17. JamiiForums Tanzania Wale Mnaooa Wanawake Wenye Watoto, Mshauri Wenu Huyu Hapa!.

  18. JamiiForums Tanzania Wababa wenye magari, kwanini mnasimama kwa dakika kadhaa kabla ya kuingia majumbani mwenu?

    Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa. Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo? Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wenye utimamu wa akili tu

    Katika maisha ukishafikia umri wa kuoevuka kibiolojia ni lazima utalazimika kutimiza matakwa ya kibiolojia. Kuna umri fulani ukifikia hujaoa ama hujaolewa ni lazima utaanza kujiona ni mwenye hatia hivyo kuwa na Shauku ya kutaka kuoa ama kuolewa,hii huwatokea watu wanaoishi kwa mantiki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…