Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa watu wenye akili, vipaji, na uzalendo. Lakini cha kushangaza ni kuwa mara nyingi watu hawa hawathaminiwi, badala yake wanabaguliwa, kudhulumiwa, au hata kupotezwa. Je, kosa lao ni kupenda haki, kusema ukweli, au kutotaka kujipendekeza?
Tunawaona waandishi...