wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito. Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wachawi, makinika

    DALILI kuu ya mtu anayeitwa mchawi ni kupata furaha, amani au raja moyoni pindi mtu hasa yule wa karibu naye anapopata matatizo. Kwanini nasema Watanzania wengi ni wachawi? Ni kwasababu Watanzania raha yao ni kuona watu hasa wa karibu yao wanakwama, wanafilisika, wanahangahika kusaka ajira...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa na marafiki wengi ili nipate michongo mingi ya pesa?

    Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi. Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha...
  4. JamiiForums Tanzania Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani

    Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1. Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi. Kigoma ina watu makini sana...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wengi tumekua na kulelewa pamoja ila sasa hatuzungumzi

    Wengi wetu tulikuwa hivi; kulala na kuchanganywa na binamu zetu, lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima, hatuzungumzi tena! Kila mtu sasa ana viwango, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa ndugu maskini na maskini wana tabia ya kujitenga ili kuokoa kiburi vyao. Sasa tunakutana tu na kuishi kama...
  6. JamiiForums Tanzania Nimegundua matajiri wengi hapa Tanzania hawajasoma

    Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa vya Zanzibar. Leo katika harakati zangu za pimbi katika mkoa wa pwani, nikapita katika duka moja la...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Man beaten into comma for stabbing lover downtown Kampala

    Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on April 18, 2024. The woman was the first to be evacuated by a military patrol truck to hospital with a...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Money is not power in Tanzania ndiyo maana wafanyabiashara wengi huamua kuingia kwenye siasa

    Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power. hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Wawekezaji wengi wanawekeza kwenye chakula na sio kwenye dhahabu. Tuwe waangalifu na mikataba ya kujifanya wanakuja kutufundisha

    Don’t miss: Gold has long been considered the ultimate safe-haven asset, but a growing number of investors are now turning to farmland for better returns and greater protection against inflation. See how farmland is becoming easier than ever to invest in. AgroTerra, founded in 2008, is a major...
  11. JamiiForums Tanzania Unadhani ni jambo gani ambalo Watu wengi hawalifahamu kuhusu kupata Mtoto/Watoto?

    Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vinawasumbua na kuwagharimu wengi ambavyo huwa naviona havina nafasi kwangu

    Jamani nahisi mimi nimeshindikana! Kuna vitu ambavyo wengine huwa wanateseka kuvipata lakini mimi wala huwa sina muda navyo japo naweza kuvinunua kirahisi, mfano: 1. Kitanda... Mimi huwa nikiweka godoro chini na shuka kwenye chumba safi naweza kukaa miaka yoyote bila kununua kitanda 2. Simu...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Wapenzi washabiki na Wanachama wengi wa Simba kutoenda kwa Mkapa Jumamosi hii

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake Kwamba wahusika hawatokwenda kwa wingi kama desturi yao kwa kukosa Imani na boti yao Naomba kama yupo mwenzetu ndani ya jukwaa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki. Hii ni tofauti na kundi la east cost team, members wake wengi wanadunda mpaka sasa GK - Lecturer katika...
  15. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Watu wa Arusha wanaweza kwenda popote kupambana, iko mikoa unakuta waganga wengi wa kienyeji. Kutambulisha polisi wa kitalii

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais Samia kumteua mkuu wa mkoa wa Arusha kuongoza wananchi wenye akili nyingi na wapambanaji wasiokata tamaa na wanaojua hatma ya nchi. Ameyasema hayo kwenye kumbukizi ya waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika mjini Arusha. Makonda...
  16. JamiiForums Tanzania Tambua aina Jiolojia ambayo wengi kwa Tanzania inafanana na Congo, Amazon na nk

    Katika jiolojia tanzania ni sehemu moja wapo wenye eneo mozambique belt. Nini maana ya jina ilo kijiolojia "Mozambique Belt" ni jina linalotumiwa kuelezea eneo la bara la Afrika ambalo lina muunganiko wa miamba ya zamani na miamba ya metamorphic. Inapita kupitia nchi za Afrika Mashariki kama...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kuwa na Mawaziri wengi kuliko mikoa mingine?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wengi huwa hawakubali kuwa kuna watu wanafanikiwa kihalali?

    Ni jambo la kushangaza kwa watanzania wengi sio watu kukubali pale mtu anavyofanikiwa kimaisha lazima mtu azushiwe jambo lolote ataitwa mchawi, tapeli, anafanya biashara haramu ukisamehewa kidogo utaambia unasaidiwa na familia ili ionekane uwezo wako ni mdogo kwamba hauna tofauti na wao...
  19. JamiiForums Tanzania Futari ni nini? Kwanini watu wengi wanafuturisha Wasiofunga Ramadhan?

    Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
  20. JamiiForums Tanzania Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

    TFf ilichuku.ie hili Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa. Tunastahili kichezeshwa wengi https://www.jamiiforums.com/threads/wachezaji-12-wageni-kwenye-timu-ni-sumu-kwa-taifa-stars.2179131/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…