wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazee wetu wenye miaka 50s 60s 70s wengi hawakujitambua kuhusu maisha.

    Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba. Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi . Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Majengo ya Kariakoo yanavyo jaza watu yanatia wasiwasi kuhusu uimara wake endapo litatokea tetemeko maeneo hayo watu wengi watakufa

    Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
  3. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Chadema mmebeba hatima ya watu wengi kuweni makini

    Uchaguzi ni jambo la kawaida katika nchi inayofata Karina na misingi sheria na Demokrasia. Lakini kinachoonekana kwa chadema sasa siyo uchaguzi ni Vita. Vitisho kuumbuana na mwisho ni kusambaratisha chama Naomba ni wakumbushe chadema kuwa wamebeba matumaini ya watu wengi. Wa Tanzania...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

    Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini CHADEMA ni chama cha Wachagga ndio maana wanamuunga Lisu kuondoa mzizi wa fitna

    Mpo salama! Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo. Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Wasomi wengi na wanaopenda elimu wanamuunga Tundu Lisu kugombea uenyekiti. Upande ule wengi wao elimu yao ni tiamaji tiamaji

    Habari Wakuu! Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti. Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
  8. JamiiForums Tanzania KWANINI MBILIKIMO WENGI WANAFANANA?

    Habari wakuu naomb kujuzwa kuhusu hili jambo kwa wenye ujuzi wa masuala haya ya genetics ....(lengo kujuzwa sio ubaguzi kama Kuna jina lingine sahihi zaidi nilipaswa nitumie mtanisamehe) Kwanini hawa jamaa wanafanana sana hasa wa kiume ? Nishapishana nao kama Sita hivi maeneo tofauti ajabu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zidumu fikra za Mwenyekiti(FAM)

    1. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo mwenyewe akili kuliko wote ndani ya chama? 2. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba bila FAM chama kimekufa? 3. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo Mwamba na hakuna mwingine zaidi yake ndani ya chama? 4. Inawezekanaje CHADEMA wamwamini...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

    Habarini, Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike. Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe)...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini wanaomshabikia Mbowe wengi wao ni wana CCM?

    Wakuu habari zenu. Nimefuatilia majukwaa ya kijamii kadhaa wa kadhaa na kuona kua,wengi wanaompigia chapuo Mbowe na kumpamba ni wale ambao tulikua tukisuguana wakati tunaipinga CCM. Kwa wale wataalamu wa mambo ya siasa za Tanzania, naomba wanisaidie kujua kwa nini Mbowe amependwa ghafla hivi na...
  12. JamiiForums Tanzania Ubunge uwe na ukomo kama ambavyo raia wengi wanapendelea, watu wanazeekea katika nafasi za ubunge

    Wakati wanafanya mabadiliko ya katiba na kuweka ukomo wa miaka 10 kwa vipindi vya mihula miwili vya Urais ni wazi walisahau kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge, sasa tuna wabunge wengi waliokaa miaka zaidi 15 bungeni. Ni Wakati sasa wa kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge katika katiba yetu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania CCM Itavuna na kupokea Viongozi wengi Sana waandamizi na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika kwa uchaguzi wake Mapema Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Jiandaeni kisaikolojia,jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha na wengine machozi ya huzuni na Majuto hapo Mapema Mwakani. pale ambapo chama cha Mapinduzi kitakapo vuna na kupokea viongozi mbalimbali waandamizi pamoja na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika...
  14. JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wembamba

    WANAWAKE WEMBAMBA WALIO WENGI ASILIMIA kubwa ya wanawake wembamba wakiwa kwenye HASIRA ni wababe balaa😀 Wanawake wembamba wengi ni O na lishawahi kusema kuhusu watu hawa kuwa ni wababe😀 MISIMAMO NA MASHARTI, wanawake wengi wembamba wana misimamo sana na masharti anakupenda ila anakuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona polo wengi? Wajuzi wa mambo nielewesheni

    Aisee hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona popo wengi sana? Aisee leo nimejikuta nimepigwa na mshangao kiukweli wakuu maana kuna sehemu nimekaa chini ya mti nikawaona popo wengi sana Wanaruka ruka then wakaishia juu ya mti ambapo mimi nipo wametulia aisee! Sasa nauliza kuna ishara yoyote...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Ndoa za Wa Afrika Wengi hazidumu?

    Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅 Yes! Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye Ndoa. !? Acheni acheni..nasema tena achenii
  17. JamiiForums Tanzania Bagonza: Chadema ina mashabiki wengi kuliko wanachama. CCM ina wanachama wengi kuliko mashabiki.

    Askofu Dkt. Bagonza HONGERA CHADEMA, lakini.…… Mkutano wenu umeonyesha haya: - Chadema ina mashabiki wengi kuliko wanachama. CCM ina wanachama wengi kuliko mashabiki. - Kazi ya Chadema ni kubadili mashabiki kuwa wanachama, na ya CCM ni ya kuongeza mashabiki bila kupoteza wanachama...
  18. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu tano za wanachama wengi kumhitaji Tundu Lissu kuliko Mbowe

    Hamjambo Watanzania! Ni dhahiri joto la uchaguzi ndani ya chama cha upinzani cha CHADEMA limepamba moto na katika ufuatiliaji wangu kwenye mitandao ya kijamii hususani Youtube,X na Instagram nimeona maoni ya wananchi na wanachama wengi wa kawaida wanamhitaji Lissu kuliko Mbowe. Kwa usanisi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA imetajirisha wengi huku Lisu akizidi kuwa maskini akipigania misingi ya chama

    Wakuu.... Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama. Kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba mdomo watu kama kina Lisu lakini Lisu yeye pesa hizo hazitaki na hazijawahi kuingia mfukoni kwake, mwisho wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…