wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Upole, utulivu, usiri na utiifu uliniwezesha kuwa na mabinti wengi katika mahusiano ya kimapenzi

    Ni kabla sijaenda sumbawanga na baada ya kurudi kabla sijaenda kusoma elimu ya juu. Nilikiwa mpole sana,mtulivu kupita kiasi,msiri na mtiifu sana Kaka yangu alikuwa na mchepuko wake mmoja,ambae alimpenda sana,sasa mie ndiye nilikuwa natumwa kila kitu na kaka kwa huyo demu,na pesa nilikuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi

    Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi Mahusiano ni mfumo wa kihisia hivyo ili uwe ndani ya mfumo lazima uwe na hisia ila ni hatari kubwa sana kulazimisha hizo hisia kiasi cha kujipa sifa usizokuwa nazo ili tu upendwe. Kama haupo kwenye hadhi yake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania MWANASHERIA HUYU VIPI?

    Wakati Kenya wanasheria vijana wanapigania haki za vijana wenzao wanaotekwa, wanasheria wa Tanzania wenye mtizamo wa wanaharakati wanakesha ktk mitandao kuandika mipasho. Mfano huyu team Lissu
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampeni ya 'Mchukue Mtoto Mrejeshe kwa Wazazi Wake' imefeli Mwanza? Bado wapo wengi mitaani

    Nikiwa mmoja wa Wakazi wa hapa Mwanza naishauri Serikali Serikali hasa kuanzia ngazi ya Mkoa kulitazama kwa kina hili suala la Watoto wanaoonekana Mitaani. Kumekuwa na kusitasita jinsi ya kushughulikia changamoto ya watoto wa mitaani ambao asilimia kubwa wamekuwa wakifanya kazi ya kuombaomba...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Unapopokea sifa, omba Mungu wako akupe busara na unyenyekevu, wengi wamepotea kwa kulewa sifa

    Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa" Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani. Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa sasa kuoa mabinti waliofika University ni hatari kubwa, wengi hawana bikra zote.

    Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao. Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa kupenda mserereko wa maisha mazuri bila kupitia clean process.
  7. JamiiForums Tanzania Nilichogondua ni muhimu mzazi kuwa na Elimu ya sikolojia na malezi, watoto wengi wanaharibikia katika shule .

    Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja. Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawajishughulishi sana na mambo yanayoumiza akili?

    Hivi ni kwanini jinsia hii ya kike inajiweka mbali sana na mambo yanayoumiza akili ? Mfano hata fani mbalimbali zenye matumizi makubwa ya akili kuna asilimia ndogo sana ya wanawake katika maeneo hayo ukilinganisha na jinsia ya kiume. Masuala ya kisiasa kama uchambuzi,ufuatiliaji...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanawaogopa wake zao

    Huo ndo ukweli. Alaf ukiwakuta huko nje vijiweni na umu jf wanavotunisha vifua waonekane wake zao wanawasujudia kumbe wao ndo wanawasujudia wake zao 😂 wanawaogopa wake zao mpaka wanatia huruma wengine wamegeuka mazoba wanapokua majumbani 😂😂 mbaya zaidi baadhi ya wanawake hawajui kama waume zao...
  10. JamiiForums Tanzania Nahisi panaelekea kukucha, inshu ya Ben Saanane huenda watu wengi wakahusika zaidi

    Nimenukuu kutoka kwa mdau mmoja kutoka kwenye chombo kimojawapo cha habari. Kwa mtazamo wangu na uchunguzi wangu kwa kuunganisha Dot. Pamoja na inshu ya Sasa ndani ya CDM Kuna mambo mengi nahisi kuyaona. Na chelea kusema kwa namna moja ama nyine Mh FAM anahusika na uwenda yupo pale kwa msaada...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wakishajenga nyumba ya kuishi wanaona wamemaliza ndoto

    Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano. Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

    Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea. Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
  13. JamiiForums Tanzania Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya shughuli za maonyesho ya mazingaombwe mashuleni na mitaani, sasa wamefungua makanisa

    Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua. Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
  14. JamiiForums Tanzania Manabii wamekuwa wengi mpaka sasa inakera

    Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD. Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu Kuna mmoja uko youtube...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ni experience gani? umepitia kwenye nyumba za wapangaji wengi unakumbuka nini?

    👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama 👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni 👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima 👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo 👉Kuazima Pasi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu ambaye anahubiri kwamba mambo ya umma yawe wazi, alikataa kukutana na Abdul hotelini penye watu wengi akachagua nyumbani kwake sirini?

    Haya mambo yanahitaji akili ya ziada ya kuishinda laghai, kwa nini Lissu aliogopa kukutana na Abdul hotelini, sehemu ya wazi ya watu wengi akachagua mafichoni? Alikuwa anaficha nini? Je, viongozi wake wakuu wa chama walikuwa na taarifa? Inawezekana Lissu, baada ya kukutana na Abdul, aligundua...
  18. JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  19. JamiiForums Tanzania Kutoka Kilimanjaro Wapare ndo Kabila ambalo lina Waislamu wengi kwa Mkoa huo

    Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu. Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo ya roho mbaya na ukatili ni ya kufikirika tu. Ni myths. Maana watu wamekuwa wakipakaza sana juu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wazee wetu wenye miaka 50s 60s 70s wengi hawakujitambua kuhusu maisha.

    Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba. Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi . Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…