wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msishangae tumeona Watanzania wengi wanataka Haki

    Watanzania wengi hawajali vyama vya siasa wanajali Haki. CCM wanatumia pesa za serikali lakini kwasababu ya rushwa kubwa iliyopo serikalini na wananchi kukosa haki zao za msingi kuanzia mahakamani, chaguzi, polisi na mambo mengine tusishangae Watanzania wengi kufuatilia mkutano wa Chadema kuliko...
  3. JamiiForums Tanzania Wa Bongo Wengi hawana Elimu kuhusiana na " YAHOO BOYZ" wa Naija

    Wafahamu Yahoo Boyz vijana wa Nigeria ni wakina nani? Wapo tayari kupata pesa kwa gharama yyte ile. Pitia thread hio ya X kuwafahamu https://twitter.com/yrnskypper/status/1858751626460193176?t=AJcYLdCwbIY70Va7NChcrw&s=19 https://www.instagram.com/reel/DEjhYFMqAku/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
  4. JamiiForums Tanzania Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

    Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani? Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi maskini wanafia ndani kwa kukosa matibabu

    Jana nilitoka nje ya wilaya niliyopo kwa ajili ya jambo flan flan, sasa wakati nikiwa huko ugenini mwenyeji wangu alichelewa kunifuata baada ya kumsubiri kwa muda alikuja. Basi akasema amechelewa kuna jirani yake anaumwa sana yupo nyumbani basi wakati tunaongea kumbe alisahau simu huko...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini matajiri wengi wa kihindi[ Kiasili na kiutaifa ] wanatokea Gujarat ?

    Kwa nini matajiri wengi wa kihindi iwe kiasili au kitaifa wanatokea Gujarat ? Mfano Familia ya Dewji Ambani Adani Tata Patel Na wengine wengi wengi Hii Gujarat ina siri gani ?
  7. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

    Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa. Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawana Home Curriculum ( Mtaala wa Nyumbani)

    1. Wazazi wengi hawana home Curriculum. Wazazi wanapaswa kuwa na mtaala wa Nyumbani maalumu Kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao stadi za maisha . 2. Kwa sababu ya kukosa mtaala wa Nyumbani wazazi huwaona watoto Kero Wawapo nyumbani jambo ambalo ni upumbavu WA Hali ya juu sana... Ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Watumiaji wengi wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa

    Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji Watumiaji hao wamedai hawako tayari kutumia bidhaa za META na wengi wamefuta Application zake katika simu zao...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wengi sana waitwa Dodoma mkutano wa CCM

    Hakika CCM ni chama kubwa sana. Lakini ninawaza tu kuwa: 1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika 2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa tu. Gharama za wasanii: 1. Usafiri 2. Malazi 3. Chakula 4. Posho Ninajua hizo...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

    Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020. Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  12. JamiiForums Tanzania Udongo huu ni sababu ya watu wengi kugoma kuhama Dar es salaam.

    Sababu zipo nyingi ila huu udongo una percentage zake kuwafanya wadau wagome kurudi kwao wengine kugoma kabisa kwenda kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa Kuna dada zetu ni heri ndoa ivunjike kuliko kumpeleka kuishi kwenye udongo wa design hiyo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jipya la kijiweni kuhusu ndoa ya wake wengi

    Heshima kwenu Haya ni maneno yako yaliyopangwa vizuri kwa kutumia mtindo ule ule: Dogo, wasikusome! Hii dunia ya sasa usikariri. Manjegeka ni mengi, na mambo mabaya ni kibao. Mwanamke akisha kusoma tabia zako tu, anaanza kujihami mapemaaaaa. Mdogo wangu, dunia ya sasa si kila mwanamke ana...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kuijua biashara mtandaoni ya Gwac, nasikia watu wengi wamejiunga

    Habari za Leo? Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC). Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wengi wa Simba wanaongoza kwa MAJUNGU na WIVU

    Sijui ni kwanini. Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba. Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue tayari kuna Kolo katengeneza jungu. Jamaa huwa hawapendi kuona mwingine akistawi. Na ndio maana...
  16. JamiiForums Tanzania Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mara nyingi maanko na mashangazi wengi hawajanyooka?

    Mara nyingi unakuta maisha ya wengi ya hawa maanko na mashangazi ni full usanii na janjajanja za mjini. Wanatafuta fursa ya kujineemesha kwa fursa yoyote itakayotokea hata kama ni kifo cha mwana familia aliye na wategemezi (mke na watoto) wao bado watatafuta namna almradi wafaidike na msiba huo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini watu walioajiriwa serikalini wengi wana uwezo mdogo wa akili?

    Serikali Ina useless people wengi Sana . Hakuna kitu wanaweza hawa watu wa serikalini . Huduma zao 90% ni ovyo Sana .
  19. JamiiForums Tanzania Wazungu wamewezaje kuwa wazalendo kwa nchi zao kuliko ilivyo kwa Waafrika wengi kwa mataifa yao!

    Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka! Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla! Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati...
  20. JamiiForums Tanzania Bomoabomoa iliyofanyika Stendi ya Jamatini na Uwanja wa Mashujaa Mwaka 2018 iliwaathiri Watu wengi kisha hakuna kilichofanyika

    Mwaka 2018, Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya usimamizi wa Mkurugenzi wake, Masanja Kadogosa lilifanya bomoabomoa kubwa katika maeneo mbalimbali kando ya Reli ya Kati, likiwa na lengo la kuhifadhi na kulinda miundombinu ya reli. Zoezi hilo liliathiri maeneo muhimu ya biashara na makazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…