wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  2. Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

    Je ni elimu mbovu? Je ni malezi mabovu? Hii product ya shule za kata vipi? Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!! Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana...
  3. Iiteni serikali isome Madhara ya kuwa na wasomi wengi wasio na ajira

    Leo mimi kama.mmoja wa wakosa ajira Nimeamua kuja na andiko viongozi sikilizeni hili Namba hazidanganyi Madhara ya Kuwa na Wasomi Wengi Mtaani ambao Hawana Ajira Kuwa na wasomi wengi bila ajira mtaani kunaletia changamoto nyingi za kiuchumi, kijamii, na kisiasa. Haya ni baadhi ya madhara...
  4. Wengi hawajui siri zilizopo ndani ya vitabu hivi vya dini, yaani Biblia, Quran na Tanakh

    Niongee machache kuhusu vitabu vya dini. Tuna dini kubwa tatu maarufu duniani ambazo ni Ukristo (Christianity), Uislamu (Islamic) na Uyahudi (Judaism) Dini hizo zote zina vitabu vyake vitakatifu. Biblia Takatifu kwa Wakristo, Quran Tukufu kwa Waislamu na Tanakh kwa Wayahudi. Tanakh ni Biblia...
  5. Kwa nini watanzania wengi wanasota, huku fursa za mauzo nje zikiwa nyingi?

    Nimekuwa nikiona vitu vingi vinavyouzika nchi za Ulaya na uarabuni. Hasa parachichi, viazi mbatata, matunda mengine yakiwemo machungwa, tikiti maji nk. Bila kusahau maua. Ukiangalia uhitaji wa hivi vitu, utagundua asilimia kubwa ya vyakula vya asili, vinavyouzika, kwa gharama kubwa, vinatoka...
  6. Mbona hawa 'Mabodigadi' wengi wa Wasanii wa Muziki Tanzania ukiwatizama kwa Jicho Kali la 'Ndege Tai' wanaonekana ni 'Pancha' siku nyingi?

    Kwa mfano nikimuangalia huyu wa Ali Kiba hasa alipokuwa Samia Cup Mikocheni anaonekana kabisa ni Pancha zamani.
  7. Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

    Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri. Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa. Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na...
  8. Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia

    Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia. Maneno ya waliwahi kulitumia yanaweza kukuamiza sana Kila utakapopita nalo, utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaelezea namna walivyokuwa...
  9. Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

    Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
  10. Phonebook imejaa namba za watu wengi ambao sio faida kwako.

    Unakuta umepata tatizo la kifedha,afya,sheria hata connection ukiangalia namba za simu hata mjomba wa katibu tarafa tawi la ccm huna. Namba zilizojazana sasa: Phonebook: 1.Athuman mchonga majeneza 2.Aisha mabiliani 3.Mangi jirani wa duka la kukopa. 4.John muuza mali za wizi 5.Aisha chupi kubwa...
  11. X

    Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

    Inapendeza kuona nyumba nyingi za Watanzania zikiwa na jiko na chumba cha kulia, ila cha kushangaza kitchen (jiko) na chumba cha kulia (dining room) ni kama mapambo tu. Kwa familia kadhaa au wengi utakuta wanatumia chumba cha nje kupikia maarufu kama jiko la nje wengine wanapikia nje tu tena...
  12. Hivi kwanini wabongo wengi wana ujinga mwingi?

    Hili suala sijui ni kwanini yani asilimia kubwa ya wabongo ujinga wana upuuzi since enzi za Nyerere mpaka Karne hii ujinga haujaisha!
  13. Wachagga wengi huwa wanafikiri mbege ni noma mpaka siku wanapojaribu togwa

    Asilimia 90 ya wanama huwa wanadhani hamna kinywaji cha asili kinachoifikia mbege kwa hapa Tanzania mpaka siku wanapofanikiwa kuonja togwa. Japokuwa togwa sio kinywaji namba moja kwa umaarufu nchini lakini kinashika namba mbili kikiwa nyuma kidogo ya gongo wakati mbege ikishika namba tatu...
  14. PreGE2025 Olengurumwa: Kuna watu wengi hawajui kama zoezi la kujiandikisha linaendelea Dar es salaam, hakuna hamasa ya kutosha

    Akizungumzia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ameonesha wasiwasi wake, kwamba zoezi hilo limekosa hamasa ya kutosha ya...
  15. Hiki chakula kimeua ndoto za mabinti wengi sana

    katika vyakula vilioondoka na ndoto za mabinti wengi ni hiki. Muunganiko wake labda pamoja na mitinda nyeusi vinatosha kuondoka na ndoto za binti mmoja mmjinga. Tafakari chukua hatua. Fundisha mtoto wako wakike aache ushamba wa tumbo
  16. PreGE2025 Onesmo Olengurumwa: Sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji

    Wakili Onesmo Olengurumwa (Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania - THRDC) anasema: Hamasa ya Undikishaji imekuwa ndogo kwa kuwa utaratibu wa kuhusisha Wadau umekuwa mdogo, sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji, zoezi linaweza kupita na Watu wakakosa...
  17. Trump aifuta wizara ya elimu.Kisa walimu wengi wanakiunga mkono chama cha Democratic.Mfumo anaoutaka ni K-12

    Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo. Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya kitafiti na hivyo kutazidi kudidimiza fikra ya Marekani kuwa taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ya...
  18. Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

    Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu? Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
  19. PreGE2025 Nipo kituo cha kuandikisha wapiga kura, utaratibu mbovu, kasi ndogo ya uandikishaji unawakatisha tamaa watu wengi kujiandikisha

    Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi uhitaji. Utaratibu wa kuingia kuhudumiwa kuna namba zinatolewa, wanaopewa kipaumbele ni wanawake...
  20. U

    Nashauri Salamu ya “Shikamoo” watoe watoto chini ya Miaka 16. Inaonekana wakubwa wengi hawaipendi

    Hili Suala la Hii Salam ya Shikamoo limekuwa na Ukakasi Kidogo, watu wengi katika makundi ya watu wazima, wazee, na vijana wa makamo wamekuwa hawapendi salamu hii zaidi na zaidi , makundi haya ya watu huwa hawapendi kusalimiwa na makundi ya watu wakubwa wenzao mfanyo mzee kusalimiwa na mtu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…