wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  2. S

    Taifa ambalo raia wengi ni masikini na hawana vipato, ni rahisi kukodiwa kwa lengo la kulipiza visasi

    Taifa ambalo raia wengi hasa vijana hawana ajira, umaskini ni wa kiwango cha juu huku baadhi wakiwa wamepita mafunzo ya kijeshi na kubaki mitaani, ni Taifa delicate sana. Kwa msingi huo, kuna hatari kubwa ya vijana wa aina hiyo kukodiwa na kufanya vitendo vya kulipiza kisasi tena kwa malipo ya...
  3. Ina maana JF majobless/wenye maisha magumu ni wa kiume tu?

    Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni...
  4. PreGE2025 WanaCHADEMA wengi hawana kadi za kupigia kura au hawapigi kura kabisa

    To the point. Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa CHADEMA. Hapo nyuma nilijaribu kufanya research ndogo kwa vijana wanaoshinda vijiwe tofaut tofaut pale...
  5. Askari Polisi ni wengi leo Mitaa ya Dar es Salaam, wanaimarisha ulinzi na wanaonekana wapo tayari kwa “kazi”

    Naona ulinzi umeimarishwa mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maeneo mengi kuna askari ambao wanaonekana wapo tayari kwa kazi wakiwa na silaha, magari ya maji ya kuwasha, virungu na vingine vingi.
  6. R

    Kwa nini Mwafrika kiasili hana akili nyingi kama races nyingine ?

    Sisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa...
  7. Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  8. O

    Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa humu sio wanandoa, sababu ya upendeleo

    Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa huku JF si wanandoa. Unaona kabisa huyu hajaoa wala kuolewa. Neno kuoa ni kuwa na mke unayempata kihalali—iwe kidini, kimila au kiserikali—na unatambuliwa rasmi kama mume wa mtu. Neno kuolewa ni kuwa chini ya mamlaka ya aliyekuoa, yaani unakuwa mke halali wa...
  9. Watu Wengi Hawato piga kura

    Kwa mtazamo wangu, Watu Wengi Hawato piga kura, Watakao jitokeza Wengi ni wapiga kura wapya. Kama Mimi Binafsi Sina Nia ya kupiga kura maana Mgombea wangu atashinda alisikika mzeee Mmoja akiongea. Hii ni Hadithi ya mwaka 20468483.
  10. PreGE2025 John Mrema: CHADEMA imeua ndoto za waliotaka kugombea, mpaka 2030 sina uhakika kama tutakuwepo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi kufikia mwaka 2030 "Jambo la pili ni chama chetu kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi na...
  11. Wanawake wengi hawana huruma kwa Wanaume. True story

    Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason. Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn. Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta...
  12. Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  13. R

    Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

    Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti. Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela. System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
  14. C

    Kwa uzoefu wangu ni majina ya AMOSI wengi wana uelewa mdogo kiasili ,huwa hawako vizuri kwenye reasoning,ni wazito kiakili, na ni wakurupukaji sana

    Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
  15. D

    Wanasiasa waliohama CHADEMA ni wengi sana; kwanini ni Zitto tu anayefuatwa kishari zaidi na wana CHADEMA

    Aseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema? Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema? Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine. 2015 Hadi 2020 ikitia fora katika uhamaji. Kati yao wengi wameenda ccm na kuwa viongozi kabisa huko...........mashinji...
  16. Kosa kubwa watu wengi wanalolifanya maishani

    Habari Wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, kosa lenyewe ni kuishi bila mpango naam kuishi bila plans. Leo hii ukiona kijana kamaliza chuo halafu mwaka unaisha yupo nyumbani bila mishe yeyote ujue halikuwa hana mpango wa maisha yake baada ya kuhitimu. Na vijana wengi wa sasa wana hili...
  17. Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanaogopa kusema

    HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI WANAOGOPA KUSEMA. Leo Ijumaa Kuu kwetu wakristo tunaiita ni siku ya kumbukizi ya Mateso kwa mwana wa Mungu. Nami nimeona sio vibaya niseme maneno ambayo baadhi ya watu wanaogopa hata kuyasikia. Lengo langu sio kuhimiza uasi wala ubaya ila napenda kusema...
  18. Pombe, Viduku, Milegezo Vimini Chanzo cha Wengi kushindwa Usaili Serikalini

    Habarini wakuu Nimeona hii habari ikieleza sababu za wengi kushindwa Usaili wa ajira mbalimbali zinazotangazwa serikali Sababu hizo zilizotajwa ni pombe, uvaaji usiofaa na mitindo ya nywele kwa wale wanaoitwa hasa kwa usaili wa mahojiano Nukuu kutoka kwa Waziri Simbachawene "Mwalimu anakuja...
  19. Hapa ndipo wanawake wengi tunapofeli

    Mwanamke Kama mwanamke uliyeolewa na mwanaume wako akakuheshimisha tulia visasi havisaidii badala yake vinabomoa Angalia hapa: Mwanamke unaamua kulipa kisasi kwa mumeo kwa kucheat kwa sababu na yeye alikucheat Unaamua kumnyima mumeo unyumba kwa hasira zako unazozijua kwa bahati mbaya unapata...
  20. Nimegundua Wanaume wengi huku JF ni Wapweke Mno na Wamekosa Utulivu

    Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke. Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa. Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…