waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

    Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa Vijana...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia akamatwa kutokana na tuhuma za ufisadi

    Wachambuzi wa masuala ya kisiasa Nchini Malaysia wamesema kwamba kukamatwa kwa waziri mkuu wa zamani Muhyiddin Yassin, Alhamisi hakushangazi , lakini ni jukumu la serikali kuonyesha kwamba kesi dhidi yake ambaye pia ni mpinzani mkubwa siyo wa kisiasa. Muhyiddin alikamatwa kwenye makao makuu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Rais Salva Kiir amfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje

    Mayiik Ayii Deng amefutwa kazi kupitia tangazo lilitolewa kupitia Runinga ya Taifa bila kuwepo kwa taarifa zaidi za sababu ya kuondolewa kwake. Waziri huyo ni mtu wa karibu wa Rais Kiir na amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais. Kiir amechukua uamuzi huo ikiwa ni Wiki moja tangu amfute kazi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Angela Kairuki hili la Kilwa litakuondoa madarakani Rais Samia akijua

    Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa ni msikivu kwa watu anaowaongoza. Samia amerejesha uongozi shirikishi. Kwamba unapotaka kuwaletea maendeleo wananchi basi uwashirikishe Ili kujua nini kipaumbele chao. Usilazimishe kuwajengea daraja kumbe shida yao ni kisima cha maji nakadhalika. Sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu ambaye hajajishughulisha kuhakikisha Serikali inakuwa na taasisi imara, ilibaki na hali ilivyo (status quo)

    Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu, ndio maana Rais Samia anasuka mifumo ya haki jinai. Sasa mifumo ya haki jinai itapunguza nguvu ya wale...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi. Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi. Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa...
  7. JamiiForums Tanzania Barua kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019. Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini...
  8. JamiiForums Tanzania Barua maalum kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019. Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Masanja aongoza kikao cha taasisi za wizara ya maliasili na utalii

    NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya taarifa mbalimbali za utendaji kazi za Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa lengo...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji atoa wiki 2 kwa mkurugenzi, Rais Samia apigilia msumari ''hi kero nisiikute''

    ENG. MARYPRISCA MAHUNDI - NAIBU WAZIRI WA MAJI ATOA WIKI 2 KWA MKURUGENZI, RAIS SAMIA APIGILIA MSUMARI ''HI KERO NISIIKUTE'' Mhe. Eng. Mahundi akiwa Usa River Ausha amesema kuwa Wizara ya Maji imepeleka neema ya miradi ya Maji ili kutimiza dhamira njema ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima. Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Urusi atembelea mstari wa mbele wa vita

    Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu, amefanya hii leo ukaguzi wa vikosi kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine, wakati mapigano yakiendelea viungani mwa mji wa mashariki wa Bakhmut. Wizara ya ulinzi imesema leo kuwa Shoigu alikagua kituo cha uratibu katika mkoa wa kusini wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania DC aliyetumbuliwa atoa waraka mzito kwa Naibu Waziri mpya wa TAMISEMI

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi ameandika waraka mzito kuhusu utendaji dhaifu wa watumishi wa Halmashauri ambao wanahujumu miradi huku wakiendelea kukingiwa kifua na mamlaka husika. Na basillamwanukuzi Hongera sana @dndejembi kwa kuamniniwa na Rais kua Naibu Waziri...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana umeamua rasmi sasa kuwa 'Chawa Gegedu' wa Rais Samia?

    Haiwezekani leo katika Hafla fupi ya Kumkaribisha Naibu Waziri wako Mwana FA Wizarani umetumia dakika 17 zote Kumsifia (tena Kinafiki) Rais Samia huku ukitumia tu dakika 2 Kuelezea Malengo ya Wizara yako ambayo wenye Akili tunajua kuwa huiwezi na hutoiweza sema tu Mama ( Rais ) anaona Aibu...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

    Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania. Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

    Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana? hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge Education...
  17. JamiiForums Tanzania Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

    Huyu amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani. Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo. Huyu i mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa anabaniwa publicity na mfumo wa dola (TBC1 hairushi matukio yake mubashara lakini ya Waziri Mbarawa yanarushwa live)

    Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity. Wiki iliyopita alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Songwe na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo lakini matukio...
  19. JamiiForums Tanzania David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

    David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora. Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma. Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU. Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti...
  20. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Masanja atatua mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Buger na hifadhi ya taifa ziwa Manyara

    NAIBU WAZIRI MASANJA ATATUA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KIJIJI CHA BUGER NA HIFADHI YA TAIFA ZIWA MANYARA Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametatua mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ziwa Manyara Mkoani Arusha na wananchi wa kijiji cha Buger katika Jimbo la Karatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…