waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

    Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
  2. Naibu Waziri wa Nishati, Kapinga akutana na Kampuni za ETDCO na TCPM

    Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Kapinga akutana na Kampuni za ETDCO na TCPM #Awaasa kusimamia majukumu yao kwa weledi na kutekeleza miradi iliyokusudiwa kwa maslahi mapana ya nchi Dar es salaam Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameziagiza Kampuni za kutengeneza Nguzo za Zege Tanzania...
  3. Kupanda kwa nauli mara mbili 2023 ilipaswa kumng'oa waziri anayehusika

    1. 2023 nauli zilipanda mara mbili hii ilitakiwa kung'oka na waziri wa uchukuzi. Nauli zilisetiwa na LATRA kuwanufaisha wenye daladala na Mabus. Kwanini mafuta yakishuka Bei nauli hazishuki Bei? 2. 2023 Ajira za walimu zilitangazwa Tanzania mkoa wa Dar hakuajiriwa mwalimu hâta 1 tamisemi...
  4. Balozi wa India Nchini Tanzania amuaga rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax

    Balozi wa India Nchini Tanzania Amuaga Rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Stergomena Tax Tarehe 03 Januari, 2024 Balozi wa India nchini Tanzania, Mheshimiwa Binaya Srikanta pradhan amemtembelea Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Dkt.Stergomena Lawrence Tax (Mb), ofisi kwake Upanga...
  5. Waziri Aweso aagiza timu ya Wataalamu kuchunguza madai ya maji yenye uchafu Sombetini Arusha

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com ambaye ni Mkazi wa Sombetini kusema kuwa kuna changamoto ya maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hali ambayo ilikuwepo kwa miezi kadhaa nyuma na sasa imejirudia na kuwasababishia Magonjwa ya Tumbo...
  6. Waziri Kairuki Akagua Ujenzi wa Mradi wa Nyumba Msomera

    WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni kwa ajili ya...
  7. PreGE2025 Wana Ruangwa tunajua kushukuru, wanawake wagalagala mbele ya Majaliwa kama shukrani kwa utendaji wake!

    Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao. Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao. Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  8. K

    Waziri Masauni Atuhumiwa Kukwamisha Maslahi Ya Askari Wizara Ya Mambo Ya Ndani Kwa Maslahi Yake

    Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
  9. J

    Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400

    Waziiri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila Utaratibu ndio umebadilika sasa Watoto Watasaniliwa Shuleni kwa gharama ile ile ya tsh 50,400. --- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila kilichobadilika ni utaratibu wa kuwasajili ambapo utaratibu...
  10. Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu? Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho. Japo naona na napata...
  11. A

    DOKEZO Waziri Ummy sisi Watumishi tuliohudumia Wagonjwa wa UVIKO-19 Amana Hospital hatujalipwa posho mpaka leo

    Nadhani mnakumbuka Hospitali ya Amana ilishiriki kuhudumia Wagonjwa wa COVID-19 hiyo ilikuwa kuanzia Mwaka 2020, sasa katika ile kazi kulikuwa kuna posho ambayo Watumishi na Vibarua ilitakiwa tupewe. Makubaliano ya awali yalikuwa kulipwa Shilingi 50,000 kwa siku japo baadaye walishusha hadi...
  12. Waziri January Makamba anajua kulea na kufundisha uongozi, namuona Balozi Humphrey Polepole ameiva kiuongozi tofauti na zamani

    Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma. Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa...
  13. January Makamba ni waziri mbovu kuliko mawaziri wote akifuatiwa na Mwigulu Nchemba

    January Makamba ameliharibu shirika la Tanesco amekuwa Waziri kwa muda mfupi na kulirudisha shirika hili miaka 40 nyuma yaani enzi za giza huyu ni mharibifu Sana itachukua muda mrefu Sana kulirekebisha ni mhujumu uchumi anatakuwa kufukuzwa Mara moja kazi ya uwaziri na afunguliwe kesi ya uhujumu...
  14. N

    Mke - Waziri Mkuu anahitajika kuisimamia serikali vema

    Wanawake wa JF, Husika na mada tajwa hapo juu. Waziri Mkuu anahitajika kwa minajili ya kuisimamia serikali ili kuleta amani, upendo, furaha na maendeleo ndani ya familia ambayo Mungu atatujalia kuanzisha pamoja. Naomba ifahamike kuwa nchi yeyote Ile duniaini ili ifanikiwe inahitaji serikali...
  15. Waziri Jenista Mhagama Awashukuru PPRA kwa Misaada ya Washiriki wa Maafa Hanang'

    WAZIRI Jenista Mhagama AWASHUKURU PPRA KWA MISAADA YA WASHIRIKI WA MAAFA HANANG' Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ameupongeza Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Ununuzi na Udhubuti wa Umma (PPRA) kwa kutambua na kuungana na Serikali...
  16. Kwanini Tanzania Masikini? Masaa mawili tunamsubiri Naibu Waziri Mkuu Biteko apite

    Salaam Wakuu, Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni. Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite. Ng'ombe wangu watafika mnadani saa ngapi? Hasara tayari. Mikopo ya Vikoba itanitoa roho. Viongizi wa Tanzania jitafakarini
  17. Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi

    Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewasihi wananchi na wakulima wa miwa wa Kata ya Magugu Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kuongeza kilimo cha miwa kwa wingi ili kuweza kulisha kiwanda cha Sukari cha Manyara . Dkt...
  18. Waziri Kairuki: Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival Kukuza Utalii Mkoani Kilimanjaro

    WAZIRI KAIRUKI: TAMASHA LA KILIMANJARO CULTURAL FESTIVAL KUKUZA UTALII MKOANI KILIMANJARO Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha za asili za jamii ya Wachaga, Wapare na...
  19. Lela Mussa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar: Rais Samia anastahili kupewa Uprofesa

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Mohammed Mussa amesema kwa kazi kubwa ambayo Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akiifanya tangu ashike hatamu ya Urais, anastahili kupewa Uprofesa. Lela ameongea hayo mbele ya Rais Samia leo December 28,2023 wakati wa Hafla ya...
  20. Waziri Zambia ajiuzulu baada ya video inayomuonesha akipokea rushwa kusambaa. Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya Taifa!

    Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha. https://streamable.com/m1vwpu Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…