waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

    Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia wewe mwenyewe na ukamuombea shibe ukanufaika. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpinzani...
  2. JamiiForums Tanzania kwa nini ishu ya watu kutekwa lawama haziendi kwa waziri husika bali ni Raisi moja kwa moja ? Mbona umeme na bando walikuwa wakilaumiwa Makamba& Nape

    Wasalaam wanaJf , Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape. Swali langu ni hilo !
  3. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI ndio aliyetoa amri ndugu zetu wa NGORONGORO wahamishwe bila ya utaratibu Maluku, waziri awajibishwe

    Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake. hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo Mkwe anakuaje waziri wako...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Ageuka Mbogo; Ataka Mradi wa Dhahabu Magambazi Uanze Uzalishaji Mkubwa

    WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA -Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*, -Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja za matakwa ya kisheria -Mgodi una wastani wa Wakia 700,000 -Wananchi wa Handeni-Tanga waishukuru...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kumbe tunalishwa matango pori kuhusu mahakama kufuta amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro

    https://x.com/Advocate_Jebra/status/1826832748960530808?t=Ns0xeXSyf8gz8naajp4k6Q&s=09
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Tanzania bado tuna fursa nyingi za Utalii

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema bado kuna fursa nyingi hapa nchini ambazo zikitumika vizuri zinaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje. Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumatano, Agosti 21, 2024) wakati akizungumza na mamia ya wadau na washiriki waliohudhuria tukio la USIKU WA UTALII...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania Kuwavuta Wawekezaji Duniani Kote

    MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini 📍Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji utaleta fursa mpya za uwekezaji na uhamishaji wa Teknolojia

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024. Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
  10. JamiiForums Tanzania Rais, hata kama unampenda lakini Masauni si Mtu sahihi Kwa nafasi ya Waziri wa Mambo ya ndani.

    Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya utendaji wa vyombo vilivyo chini ya wizara ya Masauni. Umebadilisha watendaji Wakuu wa idara zilizo...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima ndiye waziri anayekubalika kwasasa nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanza kabisa nipende kukiri hadharani ya kwamba,Binafsi huyu ndiye waziri ninaye mkubali Kwa Sasa nchi Tanzania. Huyu waziri anazosifa kadhaa ambazo zinamfanya aendelee kukubalika Kwa Watanzania kibwena. SIFA ZINAZOMFANYA KUPENDWA NA WATANZANIA WALIO...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashtushwa na taarifa ya Madereva wa Serikali kulogana ili wapate kazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo...
  13. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mhe. Waziri wa nchi ofisi ya raisi (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa

    YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa sana juu ya stahiki mbalimbali za watumishi katika Halmashauri ya Ngara...
  14. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Waziri hana Mamlaka ya kufuta Kijiji na asili ya Watu wa Ngorongoro

    Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema Waziri hana Mamlaka ya Kufuta Vijiji vya Ngorongoro Ameyasema hayo leo 20/08/2024 Mkoani Dar Es Salaam alipokuwa anaongea na Waandishi wa habari. Amesema kama TLS wanaaangalia cha kufanya. "Wale wananchi wa Ngorongoro hawapaswi...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Mhe. Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wa Afya, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Sisi, wadau wa sekta ya afya nchini Tanzania, tunakuandikia barua hii kwa nia ya kuwasilisha...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi chana awasili ofisini, awataka watumishi kutekeleza 4R za rais samia kwa vitendo

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa mara nyingine Wizara ya Maliasili na Utalii. Ameyasema hayo leo Agosti 19,2024 aliporipoti katika...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kapinga asema Tsh. Bilioni 4.6 zitapeleka umeme migodini Mkoani Ruvuma

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma. Kapinga ameyasema hayo Agosti 18, 2024 wakati akizindua Kituo cha Mauzo ya Makaa ya Mawe ya kampuni ya Market Insight Limited (MILCOAL)...
  18. JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mavunde Yaleta Faraja kwa Wachimbaji Wadogo wa Lemishuko, Simanjiro - Manyara

    ZIARA WAZIRI MAVUNDE YALETA FARAJA KWA WACHIMBAJI WADOGO WA LEMISHUKO, SIMANJIRO-MANYARA - Eneo la Lemishuko kurushwa ndege nyuki ya Utafiti - Serikali kutatua changamoto ya Maji,Umeme,Barabara na Zahanati - Aongoza Harambee ya ujenzi wa Zahanati Lemishuku - Jengo la Kituo cha ununuzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Tanzania imejipanga vema kuhakikisha inatumia fursa ya uwepo wa soko la pamoja la EAPP la mauziano ya umeme

    TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO 📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP 📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme 📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la...
  20. JamiiForums Tanzania Dhaka inawaka moto wafuasi wa waziri mkuu aliyejiuzulu na kukimbia nchi wameibuka kumtaka arudi

    Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka. Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala . Hili ni somo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…