waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: TANROADS mnatakiwa kufanya kazi Usiku na Mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yenu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini...
  2. JamiiForums Tanzania Kwako waziri wa kilimo, Hussein Bashe naomba msaada wako

    Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako. Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa kufanikisha mambo kupitia fani na taaluma nilizonazo. Kwa sasa, nimeamua kuanza upya maisha yangu na...
  3. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

    Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi. ==================== "Sasa niliona ile...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Tutazungumza na NSSF kuhusu hatma ya mafao ya uzeeni ya Waandishi wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palagamba Kabudi amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia suala la mafao ya Uzeeni ya Wanahabari kutokana na baadhi yao kupitia changamoto ya kiuchumi wanapozeeka. Amesema hayo katika Mkutano wake na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji...
  5. JamiiForums Tanzania Hatimaye TLS yamjibu Waziri Ndumbaro juu ya kauli ya "Kukurupuka" vita ni vita Muraaa.

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama katika masuala anayohusu sheria, kukosoa kwa maslahi ya umma bila woga, hofu wala upendeleo, Aidha...
  6. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waziri, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji, Desemba 18, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=-yZfMNUBE8U Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji jijini Dar es Salaam. Gerson Msigwa: Kuna Vyombo vya Habari 1,023 vilivyosajiliwa Nchini Katibu Mkuu Wizara ya Habari...
  7. JamiiForums Tanzania Jengo la Wizara ya Ujenzi Lafikia Asilimia 80, Waziri Ulega Aagiza Likamilike kwa Wakati

    JENGO LA WIZARA YA UJENZI LAFIKIA ASILIMIA 80, WAZIRI ULEGA AAGIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), Mhandisi, Mwanahamisi Kitogo na Mtendaji Mkuu wa Vikosi vya Ujenzi, Mhandisi, Simeon Machibya kuhakikisha jengo la...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri TAMISEMI apongeza watumishi wa TAMISEMI kwa kuendesha Uchaguzi kwa haki. Asema malalamiko ni kawaida

    Wakuu, Wiki chache baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Naibu Waziri Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI )Dkt. Festo Dugange amewapongeza watumishi wa TAMISEMI kwa kusimamia Uchaguzi vizuri Dugange amesema kuwa pamoja na malalamiko yaliyokuwepo...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Silaa aitaka Bodi ya TTCL kuandaa Mpango Kazi wa Kujiendesha Kibiashara

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara. Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Serikali haipendi kabisa matamko ya kukurupuka ya TLS

    Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu. =============== Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameonesha kutofurahishwa na mwenendo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kutoa matamko ya...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega akabidhiwa ofisi na Waziri Bashungwa, Wizara ya Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi, Disemba 08, 2024...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Rufiji Imepata Mafanikio Makubwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sekta ya Elimu,Afya na miundombinu ya Barabara za Mijini na...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Akabidhiwa Ofisi na Waziri Bashungwa, Wizara ya Ujenzi

    WAZIRI ULEGA AKABIDHIWA OFISI NA WAZIRI BASHUNGWA, WIZARA YA UJENZI. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa ametangaza Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025. Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim

    Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewatunuku vyeti wahitimu 893 wa ngazi mbalimbali za masomo katika Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  17. A

    JamiiForums Tanzania Ama watendaji dawasa wanamdharau waziri weso au waziri Aweso anafanya usanii kwa wananchi!

    AMA WATENDAJI DAWASA WANAMDHARAU WAZIRI AWESO AU WAZIRI AWESO ANAFANYA USANII KWA WANANCHI! WADAU poleni na majukumu ya mchana kutwa. Nataka kuzungumzia tatizo la maji maeneo ya Tabata, Kinyerezi, Bonyokwa na Kifuru. Hivi karibuni, Waziri wa Maji, Juma Aweso alitembelea baadhi ya maeneo ya...
  18. JamiiForums Tanzania RC Chongolo: Malipo ya Wakulima kutoka NRFA yamechelewa kidogo, Waziri amenihakikishia watalipwa

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo akiongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo amesema malipo ya Wakulima wanaoidai Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) watalipwa malipo yao hivi karibuni na kukiri malipo yalichelewa kidogo. Chongolo ameyasema hayo Desemba...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega akutana na Wakuu wa Taasisi Wizara ya Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi ndogo za Wakala ya Barabara (TANROADS), leo tarehe 11 Disemba, 2024 Dar es Salaam. Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanza: Naibu Waziri wa fedha kuzindua boti ya doria

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…