waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Mary Masanja

    Huyu ndio Naibu Waziri wetu wa Maliasili na Utalii, Mh. Mary Francis Masanja! Najua wengi mlikuwa hamumfahamu
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atangaza zabibu kuingizwa kwenye mazao ya kimkakati

    WAZIRI MKUU ATANGAZA ZABIBU KUINGIZWA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini Dodoma. Kutokana na hatua hiyo, zabibu zitajumuishwa katika...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Gwajima anaficha taarifa ya Dkt. Sospeter Bulugu kuzidiwa ghafla wakati akitoa hotuba?

    Kuna video clip inazagaa kwenye social media ikimuonyesha Mwamba mmoja (simfahamu) ila seems ni miongoni mwa watu walikua kwenye list ya watoa speech kwenye lile kongomano LA Covid-19 akishindwa kuongea (huenda aliaanguka)! Kabla ya kupata msaada video clip hio haionyeshi kilichoendelea ila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Chamuriho uliahidi kutangaza tenda ya ujenzi wa Barabara ya Itoni (Njombe) - Lusitu (Ludewa), mbona kimya?

    Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama acha kutudanganya Watanzania, Vifo vya UKIMWI havijawahi kupungua Tanzania

    Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania. Matumizi ya dawa za kufubaza VVU yameongezeka kutoka 95% mwaka 2016 hadi 98%, 2019, vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000, 2020 na maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yameshuka kutoka 18% mwaka 2010 hadi 7% mwaka 2020 -...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo za nje wa Kenya amewasili Mogadishu kwa mazungumzo na jirani

    Hakuna nchi ambayo Kenya imekuwa na mahusiano hasi nayo kushinda Somalia. Nafurahi kuona hatua zikichukuliwa na pande zote mbili kurudi mezani na kufanya mazungumzo. Mazungumzo ni muhimu katika kuleta upatanisho kati ya nchi hizi mbili.
  8. JamiiForums Tanzania Kuna shida kubwa ya maji Chato. Waziri Kalemani hajali kitu, anachojali ni kusambaza taa za mitaani

    Kama kuna waziri anayepwaa katika uongozi basi ni Dk Kalemani. Maana hana maono ya uongozi. Kiongozi mwenye busara utasambaza taa za mitaani huku wananchi hawana uhakika wa kupata maji? Yapata wiki sasa maji hayatoki mambombani, yakitoka yanatoka usiku kidogo tu. Kama mbunge kwa nini hautatui...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani. Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Utendaji wa NACTE ni wa polepole sana, Waziri wa Elimu shughulikia hilo

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE Kwako waziri wa elimu, Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa. Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi. Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

    Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani usikubali Mgao wa Umeme Dar

    Baadhi yetu tunalijua hili shirika vizuri sana from experience, Tangu juzi lilipotokea tatizo la kuungua substation Morogoro maeneo mengi ya jiji la Dar yana changamoto ya umeme kukatwa kwa muda mrefu (zaidi ya masaa 7). TANESCO ni wasumbufu mno. Ni shirika linalopaswa kuendeshwa kwa mkono wa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri agiza watumishi watatu Redio Sengerema kuwekwa ndani kwa ubadhirifu wa Milioni 28

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mathew Kundo ameagiza watumishi watatu wa Redio Sengerema ya wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza kuwekwa ndani kwa muda usiojulikana kutokana na ubadhirifu wa Sh28 milioni Wafanyakazi hao ni ofisa habari Halmashauri ya Sengerema, Silvanus...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, Taarifa yako kuhusu makusanyo haiendani na Kilichomo kwenye website ya TAMISEMI. Je, Watendaji wamekudanganya?

    Salaamu kwa wote. Hivi karibuni mh.Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu alitoa taarifa ya makusanyo kwa kila Halmashauri ikiwa ni utaratibu wao wa kufanya tathmini ya utendaji wa Halmashauri zetu. Taarifa husika ilikuwa na uchambuzi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushindanisha makundi ya Halmashauri...
  16. JamiiForums Tanzania Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

    Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi. KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED 1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration; 2. Securing compliance with the...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
  18. JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu yaahirishwa Mbeya

    Mbeya. Mkuu Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema kuwa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo imesitishwa kufutia kifo cha aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa. Homera amesema leo Jumanne Agosti 3, 2021, akiongeza kuwa Waziri Mkuu Majaliwa ameondoka...
  19. JamiiForums Tanzania Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

    Other name? Siyo ‘Middle name’? Sex? Marital Status? Tribe? Sina hakika kama yeye mwenye hii resume/ CV ndo aliyeiandika. Mwandishi awe yeye au si yeye, ni nani aliyewafundisha watu jinsi ya kuandika resumé . Taarifa za hali yako ya ndoa na kabila lako zinahusu nini hadi uziweke kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, Watumishi wako hawajalipwa pensheni kama mlivyoahidi

    Mhe. Waziri, Watumishi wako wana miezi 3 hawajalipwa nauli za kwenda majumbani kwao baada ya kustaafu. Watumishi wako wana miezi 4 toka wastaafu hawajalipwa Pensheni na mliahidi na Jenister Mhagama kuwa mtarahisisha malipo ya pensheni kuchukua muda mchache sana, pamoja na kujaza fomu zote na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…