waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

    Nawasalimu Wakuu, Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu? Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi? Kazi kwenu! ======== Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Mrema naye alikuwa anapokea 80% ya mshahara wa waziri mkuu?

    Habari, Nasikia marehemu Mrema amewahi kuwa Makamu Waziri Mkuu. Cheo ambacho leo hakipo. Waziri mkuu akistaafu hupata 80% ya mshahara. Vipi kuhusu Mrema alikuwa anapokea hiyo? Na vipi wajane wa watu kama Waziri Mkuu na Rais, huwa wana stahiki gani? NB: Cheo cha waziri mkuu kifutwe.
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba, Wamemaliza gesi uliyowagawia. Wafanyeje?

    Waziri Makamba, huku mkoani (mkoa kapuni kwa Sasa) wememaliza gesi ulio waletea. Sasa wanataka wajue wanaenda kujaza wapi? Wengenine hawana hela ya kujaza geti. Mnawasaidiaje?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya huu mkubwa wa Waziri wa Madini Dotto Biteko unanipa sana Mashaka!

    Viongozi wa dini husema ukijua umefanya dhambi moja kubwa sana hapa duniani basi jitahidi utubu na usali mno kabla Mwenyezi Mungu hajakuita mazima.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

    Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi. Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue. Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa yupo mjini Tunis kwa mkutano wa TACID

    26 August 2022 Tunis, Tunisia MKUTANO WA TICAD Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati William Kusila, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa zamani aliyekimbia furushi la fedha ofisini

    Mbunge wa Bahi (CCM), Keneth Nollo ametoboa siri ya uzalendo wa Hayati William Kusila kwamba aliwahi kukimbia furushi la fedha zilizopelekwa ofisini kwake ili apokee hongo na kutoa upendeleo. Nollo ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 25, 2022 wakati akitoa salamu za rambirambi mbele ya mwili...
  8. JamiiForums Tanzania Thailand: Mahakama yamsimamisha kazi Waziri Mkuu

    Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne Inaelezwa kuwa pingamizi hilo la kisheria linaweza kumuondoa kazini Kiongozi huyo ikiwa ni miezi michache imesalia...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha ameudanganya umma, si kweli kwamba hawezi kutengua tozo

    Jamani eeh, hivi hawa viongozi siku hizi wanatuonaje wananchi? Wanadhani kwamba tuko mambumbumbu kiasi hiko? Iko hivi, siku zote muswada wa sheria hutungiwa nje ya bunge, kisha Bunge hutunga SHERIA MAMA, na baada ya hapo zinatungwa KANUNI na wizara husika. Hivyo kwenye suala la tozo, Bunge...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Website ya JATU naona picha kubwa ya Mzee Pinda na Waziri Mhagama

    Ilikuja Q-NET tukaona Waziri Kigwangala akihusika ufunguzi wa ofisi Ukienda Website ya JATU unakutana na picha kubwa ya Mzee Pinda na Waziri Mhagama. Lakini mwisho wa siku ni wananchi kulia kutapeliwa pesa zao. Hawa viongozi wametumika kujenga imani za wananchi kutoa pesa zao. Bado najiuliza...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima atoa onyo kwa Wafanyabiashara wakubwa wanawatumia Wamachinga ili kukwepa kodi

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia Wamachinga wadogo kuuza bidhaa zao ili kukwepa kodi. Waziri amebainisha kuwa katika baadhi ya maeneo rafiki yaliyotengwa kwa ajili ya wamachinga...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Doroth Gwajima: Unyanyasaji wa Watoto, 60% unatokea nyumbani

    Hali ya unyanyasaji wa Watoto Nchini imetajwa kuchangiwa na mmomonyoko wa maadili katika jamii, wengine wakisingizia hali ngumu ya kiuchumi inawafanya kutokuwa na muda wa kulinda na kutoa malezi chanya, ambapo asilimia 60 ya unyanyasaji wa Watoto unatokea nyumbani. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  13. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Waziri Simbachawene kuburuzwa mahakamani

    Siku moja baada ya kusambaa video inayomuonyesha mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene akitoa lugha chafu mbele ya askari wa usalama barabarani, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria itafuata...
  14. JamiiForums Tanzania Mali yamteua Msemaji wa Serikali kuwa Kaimu Waziri Mkuu

    Kanali Abdoulaye Maiga ambaye ni Msemaji wa Serikali na Waziri wa Utawala, ameteuliwa kuwa Kaimu Waziri Mkuu wa nchi hiyo akichukua nafasi ya Choguel Maiga, aliyeshauriwa kupumzika kutokana na masuala ya Kiafya. Mapema mwezi huu, jarida la Jeune Afrique la nchini Ufaransa liliripoti kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi. Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Guinea afariki akiwa gerezani

    Waziri wa zamani wa Guinea, Lounceny Camara (62) ambaye alifungwa jela akishutumiwa kwa ubadhirifu wa pesa za umma na utawala amefariki Dunia. Utawala wa kijeshi uliomuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Alpha Conde, mwaka 2021 ulishutumu viongozi kadhaa akiwemo Camara ambaye alipata...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Masanja akagua mradi wa Kitalu cha Miche ya Miti Wilayani Magu

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb) amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya shilingi milioni 43 unaosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Akizungumza leo Agosti 21, 2022 katika ziara, Masanja amewataka...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki Dunia leo Agosti 21, 2022

    Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki dunia leo Jumapili Agosti 21, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam. Chanzo: Tanzania Editors Forum (TEF)
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan akutwa na COVID-19

    Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Fumio Kishida imethibitisha kuwa Kiongozi huyo amepima na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, ikiwa ni wiki moja kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika (TICAD) nchini Tunisia. Licha ya kupata maambukizi, imeelezwa kuwa Kiongozi huyo...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Ummy Mwalimu jibu swali hili kabla ya kesho mimi kuhamia Burundi

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…