waziri wa tamisemi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lil bees

    Kwako Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki

    Ndugu mheshimiwa hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa TAMISEMI. Umepata cheo hiki wakati ambao vijana walioajiriwa mwezi wa saba mwaka huu wa 2022 wakiwa wanalalamika kila upande wa hili taifa kuwa wamedhulumiwa hela zao za kujikimu. Zipo wilaya zimewapunja waajiriwa kiasi Kikubwa kweli...
  2. M

    DOKEZO Walimu Sekondari ya Hassanal Damji Bagamoyo hoi bin taaban. Wanakaa chini ya miti, hawana vyoo

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hassanal Damji iliyoko Bagamoyo tunayo masikitiko makubwa juu ya mazingira mabovu ya walimu wetu wanaofundisha kwenye shule hiyo ya Serikali. Mazingira ya...
  3. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Walimu wanataka Katiba mpya kama sheria mama ili iisimamie maslahi yao na sio blah blah za Waziri wa TAMISEMI

    Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru. Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio imewanyonga sana na kuifanya jamii iwatukane na kuwaaibisha hadi imefikia hatua hakuna mtoto anaetamani...
  4. K

    SoC02 Kufanya kazi na vijana wa kitanzania walio feli kidato cha nne na wapo nyumnani bila kazi yeyote ili wakue kiuchumi na kuajiri vijana wengine

    MOTTO: Kijana na mabadiliko ya uchumi. LENGO: Kusaidia kukua kiuchumi vijana walio hitimu kidato cha nne na kufeli mitihani yao wakiwemo pia vijana wa makundi maalum na wapo nyumbani hawana vyanzo vya kujiingizia vipato na kuwabadilisha kiuchumi wale wasio na elimu kabisa. DIRA: Kuhakikisha...
  5. T

    Ombi: Rais Samia, mteue Dkt. Bashiru Kakurwa kuwa Waziri wa TAMISEMI au Nishati

    Kwako mkuu wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Hassan kijana wako nina ombi mahususi si kwa ajili yangu ila kwa maslahi mapana ya taifa letu, kwa heshima na taadhima naomba nichukue muda wako kulifikisha mbele yako. Ombi langu ni moja tu nalo ni kumteua Dkt.Bashiru kuwa waziri wako wa TAMISEMI au...
  6. Maze runner

    TAMISEMI: Sheria ya serikali za mtaa, the urban planning act 2007 zimepitwa na wakati

    Kumekuwa na claim nyingi juu ya kupandishwa hadhi kwa vijijj, mitaa, na halmashauri kadhaa kutokana na kutimiza vigezo vya kupanda kadhi vilivoekwa na Sheria na kanuni zetu. Suala hili limechangiwa na kupitwa na wakati kwa Sheria mbalimbali zinazoongoza sekta hiyo. Hivyo Kuna uhitaji was wizara...
  7. I

    Maslahi duni ya Walimu: Waziri wa Elimu na wa TAMISEMI wanafanya nini ofisini?

    Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession? Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary. Kwenye...
  8. S

    Hata songwe Hela Uviko zimepigwa, mkurugenzi wake yupo kimya

    Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa rasmi za wilaya zote ikiwa pamoja wilaya ya Songwe. Kwani kuna ubadhirifu mkubwa ulifanywa na...
  9. Miss Zomboko

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameongeza siku 15 kwa Halmashauri zote nchini kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa

Back
Top Bottom