waziri wa tamisemi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  2. L

    DOKEZO Waziri wa TAMISEMI ingilia kati 'upigaji' wa fedha za kujikimu unaoendelea kwa Ajira Mpya

    Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya. Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi wamelipwa Tsh. 150,000. Asilimia kubwa tangu January na February ajira mpya bado hawajalipwa...
  3. M

    PreGE2025 Mbunge Dkt. Charles Kimei azomewa Vunjo, Waziri Mchengerwa amtetea

    Kwa kile kinachoonekana mbunge wa Vunjo Dk Charles Kimei kuchokwa na wapiga kura wake baada ya kujikuta akipata wakati mgumu mbele ya waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa pale alipoanza kuzomewa na wananchi wake, hali iliyopelekea waziri Mchengerwa kuingilia kati na kuwasihi wananchi waache...
  4. Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira awasili kwenye msiba wa baba yake Mohamed Mchengerwa

    Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa. Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu...
  5. L

    TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

    Ndugu zangu watanzania, Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka. Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa...
  6. B

    LGE2024 Tamisemi iko chini ya rais, CCM ndio chama Tawala ni sahihi mwenyekiti kumuomba waziri aliye chini yake kupuuza makosa madogo madogo ya wagombea?

    Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake wamekuwa na utaratibu wa kutengeneza tatizo na kulitatua wao wenyewe ili waonekane wema kwa Wananchi na tasisi za ndani na nje ya nchi Pia soma CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi...
  7. J

    LGE2024 Tamisemi iko ofisi ya Rais. Kikatiba Rais ndiye Waziri wa Tamisemi. Mchengerwa hastahili lawama

    Wachambuzi wa Kisiasa ni lazima waelewe suala hili. Tamisemi iko chini ya Ofisi ya Raisi. Kwa msingi huo Raisi ndiye Waziri wa Tamisemi. Waziri wa Nchi ofisi ya Raisi / Makamu wa Raisi / Waziri Mkuu sio full Cabinet Minister. Kwa hiyo kama kuna lawama kwamba Uchaguzi serikali za mitaa...
  8. ACT: Wagombea wetu hawajateuliwa kwa sababu zisizo na mashiko, tunamtaka Waziri wa TAMISEMI awarejeshe

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kupokea taarifa zinazoonesha wagombea wetu mbalimbali Nchini hawajateuliwa kwa sababu zisizo na mashiko kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi. Mchakato huu wa kuwatengua wagombea unakwenda kinyume na misingi ya haki, uwazi na usawa wa kidemokrasia...
  9. Mchengerwa: Rais ameridhia kuipandisha hadhi Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji. Soko kubwa na Stendi kuanza kujengwa

    Kwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa amenukuliwa akisema kuwa Rais Samia Ameridhia Iliyokuwa Halmashauri ya Rufiji kupewa Hadhi ya Mji ambapo Jengo kubwa la Makao Makuu la zaidi ya Bilioni 10 litajengwa Ikwiriri. Kana kwamba haitoshi,ikumbukwe kwamba Mkuranga imeomba kuwa...
  10. Waziri wa TAMISEMI ndio aliyetoa amri ndugu zetu wa NGORONGORO wahamishwe bila ya utaratibu Maluku, waziri awajibishwe

    Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake. hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo Mkwe anakuaje waziri wako...
  11. Shaibu ametoa Wito kwa Waziri wa TAMISEMI kumuwajibisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya

    ACT WAZALENDO YACHARUKA HUJUMA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KYANG'OMBE, RORYA Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ametoa Wito kwa Waziri wa TAMISEMI kumuwajibisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kuruhusu Mradi wa Kituo cha Afya Kata ya Kyang'ombe kujengwa chini ya...
  12. Nani wa kumwambia ukweli ndugu Mchengerwa kwamba anapuyanga? Hizi hapa ni sababu tano za kwa nini asitenguliwe?

    TAMISEMI ndio imebeba mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi kuanzia ngazi ya nyumba kumi mpaka ofisini kwa Rais. Madudu yanayoibuliwa na viongozi mbali mbali katika ziara mfano za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda nyingi kati ya hizo ni zinahusu wafanyakazi kunyanyaswa kazini...
  13. L

    Naomba kufahamishwa kuhusu mfumo wa ESS Transfer Exchange

    Wadau wana jamiiforum kwa mwenye ufahamu wa huu mfumo wa uhamisho wa ess, Kuna mwalimu nabadilishana nae kutoka wilaya x ila kwangu mimi status inasoma tayari iko Tamisemi ila mwenzangu bado inasoma kwa supervisor na mkuu wak akiangalia halioni hilo ombi. Sasa tunafanyaje hapo ili mkuu wake...
  14. A

    Kwako Rais Samia kuhusu uhamisho wa mtoto kutoka shule binafsi kwenda ya umma

    Kwa Heshma na Taadhima Nakuandikia ili Ufahamu kero inayowakumba baadhi ya watu katika Mada tajwa hapo juu Ninaye mdogo wangu kutokana na mazingira aliyokuwa nayo Alipelekwa shule binafsi mpaka alipomaliza KIDATO cha pili na kufanya mtihani wazazi wakayumba kimaisha na kupelekea kutokuweza tena...
  15. Kutokana na kuendelea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwa mvua, Waziri wa TAMISEMI aagiza marekebisho kwa fedha za dharura

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha...
  16. Waziri wa TAMISEMI Tunaomba usitishe mafunzo haya, huu ni upigaji wa fedha na mafunzo yatolewe online

    Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma. 1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka 2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya 3. Fedha Za mafunzo Haya...
  17. Z

    Waziri TAMISEMI fuatilia posho za mafunzo ya maafisa tarafa na watendaji kata mkoa wa Lindi

    Tunaandika haya kwa uchungu, na masononeko baada ya kufanyiwa ukatili wa kutudhulumu stahiki zetu za posho kwa maafisa tarafa na watendaji wa kata. Mh. Waziri Manispaa ya Lindi inaundwa na majimbo mawili ya Lindi mjini na Jimbo la Mchinga ambayo zamani ilikua ipo Halmashauri ya Lindi vijijini...
  18. Waziri Mchengerwa wasaidie watumishi umma, wanahamishwa vituo vya kazi bila kulipwa, wakihoji wanatengenezewa zengwe!

    Najua wewe ni mchapa kazi sana, kuna watumishi wa mamlaka ya serikali za mitaa na halmashauri ambao wanahamishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine na wanastahili kulipwa kwa mujibu wa taratibu za kiserikali. Sasa cha ajabu watumishi hao wanahamishwa bila kulipwa kinyume kabisa na Sheria ya...
  19. M

    SoC03 Asilimia hamsini (50%) huduma za maji na umeme

    Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu mmojammoja anapohitaji kufungiwa inakuwa ni kikwazo. CHANGAMOTO Gharama za mwanzo za ufungaji wa maji na...
  20. K

    Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Mhe.Rais wa JMT, Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini. Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…