waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatambua usawa wa kijinsia

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yaliyofanyika Machi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani Lindi. Akizungumza katika kongamano hilo, Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza...
  2. JamiiForums Tanzania waziri mkuu wa Ethiopia asema sasa wanauwezo wa kutengeneza Risasi zao wenyewe na Hata kuuza??

    akikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
  3. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aweka jiwe la msingi ujenzi bwawa la Kidunda Morogoro

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 ambalo linatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 335.8 hadi kukamilika kwake. Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kidunda, Wilayani...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa Mpe Mama Nafasi ya kupumua, ajiteulie Mwingine kuwa Waziri Mkuu baada ya uchaguzi mkuu

    Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho. Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza yaan running mate, ni salamu tosha alarming sign ya kuwa zama za "Mjomba" zinaenda ukingoni...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Paul Christian Makonda ni chaguo lao kwenye nafasi ya Waziri Mkuu

    Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....) Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho. Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wassira akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu staafu Fredrick Sumaye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Bangladesh waliomuondoa Waziri Mkuu madarakani wanatarajia kuzindua chama chao wiki hii

    Wanafunzi wa Bangladesh ambao waliongoza maandamano yaliyomwondoa Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina mwaka jana wanatarajia kuzindua chama kipya cha siasa wiki hii. Kundi hilo, linalojulikana kama Wanafunzi Dhidi ya Ubaguzi (Students Against Discrimination - SAD), lilianza kama harakati ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kero: Leo huku Moshi tumesimamishwa kwa dakika 45 ili msafara wa Naibu Waziri Mkuu upite

    Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. “ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo. Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Miezi mitano mwisho matumizi ya nishati chafu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa, ameongeza miezi mitano ya ukomo wa matumizi ya nishati chafu iliyokuwa ikamilike Desemba mwaka jana, kwa Taasisi zinazohudumia watu zaidi ya mia moja kutumia nishati safi ili kuepukana na changamoto ya ukataji wa miti...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu: Mpango wetu CCM ni kuhakikisha wagombea wetu watakapopita kwenye maeneo yetu wasipate kazi kubwa kueleza miradi ya maendeleo

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Itilima, mkoani Simiyu Februari 15, 2025 amesema mpango wa Chama hicho ni kuhakikisha kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Esther Midimu: Waziri Mkuu nakutuma kwa Rais ikimpendeza Jina la Mbunge Njalu Silanga lipite bila kupingwa

    "Nampongeza mbunge wangu Njalu Silanga anafanya kzi nzuri sana. Mh. Rais ananifahamu vizuri mimi ni mwanaye nikisema kitu hakina longolongo, Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais mimi mwanaye namuomba kwamba ikimpendeza Njalu jina lipite bila kupingwa" Mbunge wa viti maalumu Esta Midimu Soma pia...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania lazima ijiimarishe Kiuchumi ili kuepuka utegemezi kutoka mataifa mengine duniani

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea kiuchumi. Majaliwa ametoa kauli hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo February 06,2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbozi...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ni lazima awe Mtanganyika?

    Tangu mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni Salim Ahmed Salim tu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Zaidi ya Salim Ahmed Salim hakuna mzanzibari mwingine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Je, cheo cha uwaziri Mkuu ni cha Muungano au ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika? Kama...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumaa Aweso inadaiwa ndio anayepigiwa Chapuo kuwa Waziri Mkuu 2025-2030 kama CCM itashinda

    Rais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda. Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa wala hana Biashara katika Soko la Kariakoo. Hivyo hawezi kuhujumu Uchumi kwa cheo chake Hivyo inadaiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu wa sasa ndie Waziri Mkuu ajae wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu, Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel Nchimbi atakua Makamu wa Rais, Ndg. Dotto Biteko atakua waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu – mwanaume na mwanamke. Alitoa tangazo hili kupitia kipindi cha "Saturday Dialogues" cha mtangazaji STVR. "Niliibuka na wazo la kujumuisha kipengele katika katiba...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Innocent Bashungwa anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

    Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Naona bado kuna namna Mheshimiwa Bashungwa anaandaliwa kwa nafasi ya uwaziri mkuu. Nikiangalia ni kama anapitishwa hizi wizara mbalimbali ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…