waziri kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Viet Nam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya miaka 50 ya Muungano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam kama mgeni maalumu kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo, Bui Thanh Son...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Viettel

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel, ambayo ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Mawasiliano ya Haotel Tanzania Kanali Dao Xuan Vu, katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Hanoi, Vietnam...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili nchini Vietnam kwa ziara ya kikazi

    WAZIRI KOMBO AWASILI NCHINI VIETNAM KWA ZIARA YA KIKAZI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Hanoi, Vietnam kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Aprili 27 hadi 30, 2025. Akiwasili nchini humo Aprili 27, 2025...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ampokea Makamu wa Rais Dkt. Mpango Jijini Roma

    WAZIRI KOMBO AMPOKEA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO JIJINI ROMA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Makama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango jijini Roma, Italia ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asaini Kitabu cha Maombelezo Ubalozi wa Vatican Nchini

    Waziri Kombo asaini Kitabu cha Maombelezo Ubalozi wa Vatican Nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesaini kitabu cha maombelezo katika Ofisi za Ubalozi wa Vatican nchini zilizopo Oysterbay jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Kiongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahimiza ushirikiano wa kiuchumi na umoja wa Ulaya

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameendelea na juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU), katika ziara yake ya kikazi inayoendelea mjini Brussels, Ubelgiji. Akifanya mazungumzo kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na katibu mkuu wa shirika la forodha duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, alifanya mazungumzo ya kina na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO), Dkt. Kunio Mikuriya, katika makao makuu ya WCO yaliyopo Brussels, Ubelgiji. Mazungumzo hayo yalijikita katika...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini Uturuki

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Uturuki. Katika ziara hiyo ameshiriki Mkutano wa 4 wa Diplomasia wa Antalya (Antalya Diplomacy Forum - ADF2025) na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu Serikalini...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Hatma ya maendeleo Afrika inategemea zaidi umoja wetu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameeleza kuwa hatma ya maendeleo ya kiuchumi Barani Afrika inategemea umoja ulio imara wa bara hilo. Waziri Kombo ameeleza hayo alipochangia mjadala kuhusu “Kukua kwa Nafasi ya Afrika katika Siasa za...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili ANTALYA kwa ziara ya kikazi

    WAZIRI KOMBO AWASILI ANTALYA KWA ZIARA YA KIKAZI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasili jijini Antalya, Uturiki kwa ziara ya kikazi anayotarajia kuifanya nchini humo kuanzia Aprili 11 hadi 13, 2025. Akiwa katika ziara hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Angola kujadili maandalizi ya ziara rasmi ya Kitaifa ya Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha taarifa ya Wizara katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU)

    WAZIRI KOMBO AWASILISHA TAARIFA YA WIZARA KATIKA KAMATI YA NUU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Menejimenti ya Wizara katika kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), kilichofanyika...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea nakala ya Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uturuki nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA YA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA UTURUKI NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. H.E...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa

    Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. Dkt. Emerson Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe
  15. JamiiForums Tanzania Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

    Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania. Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akiwa pamoja na wanaDiaspora waTanzania wanaoishi Luanda, Angola

    Waziri Kombo akiwa pamoja na WanaDiaspora WaTanzania wanaoishi Luanda, Angola leo Jumapili 16 Machi 2025 alipokutana na WanaDiaspora wanaoishi nchini Angola baada ya kumaliza dhamana za kazi mchana wa leo Jumapili. Kwenye picha anaonekana Ndg. Alamin na Mkewe Ramla na Mtoto wao Mdogo...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025

    Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola

    Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apongeza mabaoresho Kituo cha Mikutano cha AICC

    Waziri Kombo apongeza mabaoresho Kituo cha Mikutano cha AICC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amepongeza maboresho makubwa yanayofanywa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Balozi Kombo ametoa pongezi hizo...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aagana na rais wa bunge la Cuba Esteban Hernandez

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Thabit Kombo (Mb.) ameagana na Rais wa Bunge la Cuba Mhe. Esteban Hernandez baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini. Akiwa nchini kwa ziara ya kikazi Mhe. Hernandezi alikutana na kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…