wazima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Filamu 50 bora za watu wazima

    BEST 50 MOVIES FOR MATURED AUDIENCES ๐Ÿ”žโ€ผ๏ธ๐Ÿ˜ฑ Bookmark & Enjoyโ€ฆโ€ฆ.10/10๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ”ž 1. Gone Girl ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ 2. Fight Club ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ 3. Se7en ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ 4. The Prestige ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง 5. Shutter Island ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ 6. Inception ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง 7. The Matrix ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ 8. Parasite ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท 9. The Handmaiden ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท 10. Mulholland Drive ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ 11. Perfect Blue ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต 12. Timecrimes ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 13...
  2. M

    Madubwi mashine za kamari zinazomeza pesa yapigwe marufuku yabaki Casino tu, Watu wazima wanalizwa na sasa watoto wanaiba hela wakacheze

    Hizi machine zipo mpaka vijiji ambavyo hujawai kudhania Mashine zinameza sana coin, ni chipu ya computer imesetiwa kumeza karibia asilimia 70 ya pesa zinazoingizwa na kutema asilimia 30 tu. ukiziona Klugger zina mchina basi kuna asilimia kubwa yupo safarini kuchukua coin zilizomezwa,
  3. D9 sio wazee, sio watu wazima, sio vijana, sio watoto kuna mungu kasema

    Kuna dalili zimeshaanza kuonekana huyu mfungeni kamba kama msipo fanya hivyo mnaenda kujifunga wenyewe. Utekaji umekuwa mkubwa sana yani leo hata ambaye sio mpinzani anatekwa. Ili kundi kuna siku tukija kushtuka familia za wao nazo zitatekwa. D9 ndio itakuwa machinjio ya kujuana kila aina ya...
  4. Wazee wazima mnaenda kuaibishwa namna hio au mmelipwa??

    "Unaporudi leo mzee na kulia kijana wako kaumizwa mguu kijana wako alikufa ulishindwa nini kumzuia asitoke, ulishindwa nini kumuambia maneno ya hekima asiende" Rais Dkt Samia Suluh Hassani akizungumza na wazee wa Dar. Hajui kwamba juna watu wamepigwa risasi wakiwa majumbani mwao, wapita njia nao...
  5. M

    GE2025 Nchi yangu inafuka moshi, wazima moshi msitumie moto kuuzima moshi, Embu tumieni Meza ya mazungumzo!

    Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
  6. A

    KERO Wahitimu wa Desemba 2024 Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) hatujapewa Vyeti wala AVN Number

    Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
  7. Majaliwa: Elimu ya Watu Wazima ni zana ya maendeleo endelevu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki wa kiraia. ameongeza kuwa uzoefu duniani unaonesha kwamba elimu ya watu wazima ni chombo muhimu...
  8. Ni sahihi wanamuzuki watu wazima kuimba wakiwa wamevaa mavazi ya wanafunzi wa shule?

    Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
  9. Singo maza acheni kuingiza watoto kwenye vita za watu wazima

    Yaan kunyimwa hela kidogo tu baada ya uombaomba kuzidi, tayari umeshamuweka mtoto wasapu sitatasi na ujumbe " furaha yangu ya kweli, wengine wote bagia tu nawanywea na chai" Sawaa Mimi bagia unaninywea chai, ila nawew kitumbua ninakinywea uji ..shwain kabisaa!!
  10. Barua ya wazima kwa waziri wa fedha Mh Mwigulu

    Mh Waziri. Wasaidizi wako au wewe mwenyewe umewaingiza watumishi wa umma katika mtego na adha na usumbufu aidha bila kujua. Baada ya kuweka utaratibu wa mifumo kutumika kumkopesha mtumishi benki zinafanyia uharamia wa kupita kiwango. Mtumishi akikopa anatozwa gharama 100% zinazoonesha...
  11. Hawa watoto ni hatari sana, wana Hisia kali zaidi ya watu wazima

    Sijui kama wanaigiza au wako Real lakini inagusa sana unaposikiliza ndani yako unaiona nia njema ya hawa watoto. Watoto hawa si tu waimbaji, bali ni vyombo vya Mungu vinavyoleta uzima kwa sauti zao. Walipoimba, kila neno lilijaa upendo, kila sauti iligusa moyo. Waliimba kama malaika...
  12. W

    Watu wazima mliofika 45+, ni rika gani kwa uzoefu wenu uwezo wa sex na ku enjoy huwa kwenye peak ?

    Ni rika lipi Sexual perfomance huwa juu zaidi 18 - 24 25 - 29 30 - 34 35 - 39 40 - 44 45 - 49
  13. Nimengudua watu wazima ni wakawaida tu, hakuna maajabu

    Ukiwa mdogo unadhan mkubwa wako anamajibu ya kila jambo, anajua sana, anNguvu n.k, ila kadri unavyokua unakuja kujua " Being adult means you are adults, and nothing else", ni mtu mzima ni mtoro aliekua tu
  14. Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

    Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa.. Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye...
  15. Tatizo la vijana wadogo kuwalea watu wazima limeanza kukithiri Dar

    Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana! Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye miraba minne nyumbufu linampa nini huyu binti? Same applied to Boys wa miaka kama 20, unakuta ana...
  16. T

    Nimeshindwa kujizuia kwa wamama watu wazima

    Wadau habari za muda Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu. Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama...
  17. Zaidi ya Nusu ya Watu Wazima Duniani Kote Watakuwa na Uzito Mkubwa ifikapo 2050

    Zaidi ya nusu ya watu wazima na theluthi moja ya watoto na vijana duniani kote watakuwa na uzito mkubwa ifikapo mwaka 2050 hivyo kuongeza tishio la vifo vya mapema kwa mjibu wa utafiti ulichapishwa leo ource: Global Burden of Disease study 2021 unaonyesha kuwa kuna watu wazima bilioni 2.11...
  18. A

    PreGE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna โ€˜Electoral fraudโ€™?

    Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu. Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi. Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri. Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile. Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri...
  19. Z

    Mwanaume anapooa ni lazima ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielemu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  20. Hizi kesi za Mwanamke anataka mtoto asome shule ya gharama ilihali mwanaume hana uwezo, Je na nyie watu wazima wenzangu huwa zinawafikia?

    Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums, Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ