wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  2. JamiiForums Tanzania Waajiri acheni utapeli wa kutoa matangazo ya ajira Kwa Vijana bila kuweka wazi kiwango cha mshahara

    Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema! Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka michache ya utawala JPM ni wazi sheria mbovu na maovu mengi ni ruhusa yake.Je tungekuwa naye mpaka leo.

    Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote. Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe. Hii ya kushinda asilimia zote kila ngazi ni nyie mlianza kwa JPM. bunge kuwa FM academia limianza kwa JPM...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "SISEMI! MAKUBALIANO YETU NA DANGOTE YATABAKI SIRI” - Rais Ruto Akataa Kuweka Wazi Kilichoko Ndani.

    Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba. Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
  5. JamiiForums Tanzania Mmuya: Wakurugenzi lindeni maeneo ya wazi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha maeneo ya wazi yanalindwa kwa kuwekewa alama za kudumu na mabango yanayoonyesha mipaka akisisitiza kuwa maeneo hayo hayapaswi kubadilishiwa matumizi. Mhe. Mmuya...
  6. JamiiForums Tanzania Chuki za Balile na CHADEMA ni za wazi mno, je CHADEMA ikichukua nchi ataweka wapi sura na familia yake?

    Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala. Balile aliulizwa kuna waandishi wa habari na wahariri wapo news room lakini wakati wa uchaguzi walionekana live kuvalia nguo za...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Hataki Maeneo Yote ya Wazi ya Moshi Manispaa Kupatiwa Hati za Umiliki?

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
  8. JamiiForums Tanzania Mikopo ya Magari Showroom (Kausha Damu): Serikali Iingilie Kati, Hii Siyo Fursa Ni Unyonyaji wa Wazi

    Amani kwenu wakuu, Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo. Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaunga mkono kujumlishwa kwa matokeo ya Urais Kitaifa. Hii ina maana gani kwa mpiga kura?

    Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo. Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya; msanii aliyechagua kupigana vita vigumu kwa njia ya wazi

    Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii wanafahamu namna Dudu Baya alivyoamua kupambana na ushoga na tabia za kishoga hadharani Wapo wanaosema kwamba huenda ni namna alivyochagua kuendelea kujadiliwa kwenye media (ku trend) kwasababu uhai wa msanii hutegemea pia kusemwa semwa Hata hivyo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilazimishe viongozi wake kujaza fomu za wazi za mali na madeni kuepusha shutuma za ufisadi

    Tunamlaumu Nasaoro Katuga kwa ku expose mali za kiongozi wa CHADEMA. Wakili wa serikali yuko kwenye minyukano mahakamani tunategemea aje kusema Heche ni malaika wa Bwana ??? Anapiga kwenye mishono anapoona pana madhaifu. CHADEMA tujenge utamaduni wa uwazi kwenye masuala ya fedha na mali...
  12. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi na ya Kiunabii kwa Nabii David Richard: Kuhusu Mifumo ya Sadaka za Ulinzi (Covering) na Ustawi wa Maskini Kanisani.

    Ninaiweka barua hii hapa nikiamini itamfikia mlengwa, Nabii David Richard anayehudumu hapa Dar es Salaam katika huduma ya The Angels of God Ministry au itawafikia wasaidizi wake wa karibu. Ninaandika haya si kwa nia ya kushambulia huduma yake, chuki, wala dharau. Ama kumshambulia yeye mwenyewe...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Marekani haioni Mlango Wala Dirisha Wazi la Kutokea

    https://youtu.be/0nyVlmNq4qc?si=NVQUZVWeEMJOV9z1
  15. JamiiForums Tanzania Hivi zile chopa za CHADEMA zilipoteleaga wapi kama waliuza na kugawana hela waweke wazi watu wajue huu ukimya ni Rushwa.

    Viongozi wa chadema semeni chopa zipo wapi mbona hazipo ufipa Wala unyaturuni🤣🤣 Na zile gari zipo wapi naskia zilibadilishwa rangi na usajiri haya wazee wa ufipa karibu kwa mjadala
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kozi ya 'Community Development for Water Supply and Sanitation' kwanini fursa zake za ajira haziwekwi wazi?

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu kozi ya Community Development for Water Supply and Sanitation (CDWSS) inayotolewa na Chuo cha Maji (Water Institute) chini wa Wizara ya Maji. Kozi hii ni specific kwenye sekta ya Maji na usafi wa mazingira lakini cha kusikitisha, hakuna utaratibu wa wazi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mshangao: Mpaka Leo kosa la Nchimbi haliko wazi sasa machawa wanapongeza nini??

    Machawa wameanza kupongenza kufukuzwa kwa Nchimbi bila hata kujua sababu!!! semeni kwa Watanzania kosa la Nchimbi ni lipi????
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Imeweka Wazi Uwezo wa Mawakili wa Serikali Ulivyo. Ndio Sababu Kesi Zote za Mikataba Nje Tunashindwa kwa Aibu Sana

    Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu. Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa kiongozi mtaafu

    Habari za uzee wako: Nakuandikia ujumbe huu nikikusihi ufanye kila linalowezekana ukishawishi chama chako,umshawishi aliye kitini kufanya kila linalowezekana kutengeneza kijitabu ambacho kitawaongoza wananchi wadanganyika kwa kipindi kingine cha miaka 50 ijayo. Kwa sasa hali ni mbaya ingawa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Miaka nane hesabu za Simba hazijawekwa wazi

    Sio maneno yangu, ni kauli iliyotolewa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Simba, mwenyekiti wa Simba na katibu mkuu wa TFF wakati huo ikiitwa FAT Ismail Aden Rage akihojiwa na wasafi Redio. Anasema akiwa high table kwenye mkutano wa Simba alimwomba mweka hazina nakala ya ripoti ya Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…