Wakuu,
Kila mwezi FIFA hutoa viwango vya ubora wa timu za taifa kutegemea na matokeo.
Matokeo hayo husababishwa na wachezaji raia wa nchi husika, lakini sio makocha.
Huenda ilikua ni wazo zuri la kuruhusu wachezaji kuchagua timu zao za taifa endapo mchezaji ana uraia wa zaidi ya timu moja...