The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo?
1. Sugu?
2. Gwajima?
3.Mbowe?
4.Yeriko Nyerere?
5. Wenje?
6. Wale Covid 19? mmoja wao?
Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
MHE. MCHENGERWA AWAFUNDA WALIMU AWATAKA WAWE WAZALENDO, KUZINGATIA MAADILI
Na John Mapepele
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi.
Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo...
Katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu, amewaasa wana ACT kufurahia na kitendo cha dola kula njama za kutaka kuiangamiza CHADEMA, akasema kuwa Dola ikishamalizana na CHADEMA wanaofuata kushughulikiwa ni wao.
Pia Ndugu Ado Shaibu akasema kuwa wana ACT wajizatiti ipasavyo...
Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima.
Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika...
Nina swali kwake. Hivi hawaoni wakiungana na Chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka mabadilko ya kweli yawepo ndio njia bora ya kushiniiza mabadiliko? Ni akil gani ya kuamini utashinda wakati unakiri kura zinaibiwa, wagombea wanaenguliwa kwa sababu zisizo za kikatiba.
Haoni kushiriki uchaguzi ni...
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu, unyanyasaji wa kijinsia, na ukiukwaji wa mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaodaiwa kufanywa na mamlaka za Serikali ya Tanzania.
Matukio hayo ni pampoja na kuzuiliwa na hatimaye kurejeshwa nchini Kenya kwa...
Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali.
Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa.
Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi.
Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
TUNAZIJUA MBINU ZA CCM, TUTAWAKABILI WATAKAVYOKUJA
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 umetokana na uzoefu wa kutosha walio nao kuhusu mbinu, ujanja na...
Ingawa nilianza kupiga kura mwaka 2000, lakini sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Ingawa sina Chama, nilikuwa ninafurahia ninapoona ushindani wa kisera kati ya CCM na CHADEMA! Kwa bahati mbaya, mpaka sasa hakuna uhakika wa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa mwaka huu.
Vyama...
Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi.
Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki.
Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
Hivi karibuni kuna fichua fichua ya ufisadi imeonekana cha ajabu, nikamsikia samia badala ya kulaani ufisadi huo na uovu huo anaanza kulaumu mtumishi wa umma aliye fichua ufisadi huo heti "jitu sio mzalendo" hii ni ya wapi ?
inasikitisha sana hapana tunataka mabadiliko ya raisi, tunataka...
Nikitafakari hili swali ndiyo napata uhakika kwamba CHAUMMA ni CHAMA CHA UDALALI NA MAPANDIKIZI YA MAMA.
Mtu angeweza kupata kanafasi hata ka uwakilishi kule viunga vya Kizimkazi kupitia ACT ila unaona kwa kuwa ni mkataba lazima utekelezwe.
Kazi kwenu madalali wa MAMA.
Wana chadema tuliamini CCM B ni ACT Wazalendo Sasa Leo baada ya CHAUMA ya Hashim Rungwe Mzee wa Ubwabwa kupokwa waasi wa chadema na kuwapa madaraka, hii inatuchanganya
Awali upinzani wa ACT Wazalendo ulitiliwa shaka yaani ulikuwa upinzani wa zuga tu, binafsi naona hii kasi ya CHAUMA Kuna nguvu...
Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu.
Amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa chama hicho jimbo la Maswa...
Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo.
Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
Wadau hamjamboni nyote?
"Ahsante sana Wakili Msomi Peter Madelek kwa mchango wako wa kufanikisha Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo mkutano ambao ni hatua muhimu sana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025"