wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na CHADEMA kukutana kujadili hali ya Siasa nchini

    Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ameandika kupitia X (Twitter) "|Nimezungumza kwa simu na @jjmnyika, Katibu Mkuu wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

    Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi. Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dorothy Semu katika Kikao cha Halmashauri Kuu Taifa ya ACT Wazalendo, Agosti 25, 2024

    Taifa la wote, Maslahi kwa wote! Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja Mamlaka kamili. Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasihii adhimu ya kukutana nanyi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya kwanza tangu chama chetu kipateuongozi mpya baada ya Uchaguzi Mkuu Machi mwaka2024. Kwa heshima...
  4. JamiiForums Tanzania Mafanikio makubwa yaliyochochewa na serikali ya awamu ya sita yawa kero kwa wapinzani wa maendeleo nchini

    Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania.. Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
  5. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia

    ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na Wilaya wanapokea amri kutoka wanaojifanya ni Wanasiasa, kutoka kwa Wakuu Wa Mikoa. Tunajuwa kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
  7. B

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Baadhi ya Mikoa

    24 July 2024 ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Mkoa wa Simiyu https://m.youtube.com/watch?v=gfWTg6cmpUc Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameyasema haya akiwa Jimbo la Busega Mkoani Simiyu Julai 23, 2024. Akiwa katika ziara ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni siku ya pili tangu...
  8. JamiiForums Tanzania Shangwe Ayo: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara

    ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO) TAARIFA KWA UMMA VIONGOZI WAKUU WA ACT WAZALENDO KUFANYA ZIARA KWENYE MIKOA 22 TANZANIA BARA Kuanzia tarehe 22 Julai 2024, Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara kwa ajili ya kujiandaa...
  9. JamiiForums Tanzania Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  10. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia yetu ya wazalendo

    Pichani ni Nduna Songea Mbano Luwafu. Alipigwa picha hii muda mfupi kabla ya kunyongwa na wajerumani Machi mwaka 1906. Kifo chake kilitanguliwa na mauaji ya Mashujaa wengine 66 wa Majimaji walionyongwa Februari 27, mwaka 1906. Songea Mbano alinyongwa pekee yake siku tatu baada ya wenzake hao...
  11. JamiiForums Tanzania Mume na Mke Wazalendo Waliopigania Uhuru: Mr na Mrs Jotam Mwakalinga Mwakajila

    WAZALENDO MKE NA MUME WALIOPIGANIA UHURU: MR NA MRS JOTAM MWAKALINGA MWAKAJILA Nimepokea picha hiyo pamoja na ujumbe uliopo hapo chini: "Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya, babangu na mamangu walihusika sana kupigania uhuru. Baba akiwa kwenye Rungwe Cooperative na wakati ndio nguvu ya nchi pamoja...
  12. JamiiForums Tanzania KWA MAZINGIRA HAYA KISIASA, NAJIULIZA TU MH. LUHAGA MPINA KUTIMKIA ACT WAZALENDO?

    ni kwa zaidi ya wiki sasa, anao ambatana na kuandamana nao kwa karibu sana kwa sasa, kila mahali aendako hivi sasa ni watu miongoni mwa waandamizi na wenye vinasaba na chama cha act wazalendo. vyama vingine pia wamo na ukaribu nae kwa kiasi fulani na muungwana huyo kwa mfano chadema na...
  13. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo

    Sisi pia ni binadamu, msikatishe ndoto zetu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ndiye mbunge mojawapo kati ya wazalendo anayeweza kushinda bila kufanya compaign 2025.

    Salaam, Shalom!! Lissu, Lema,Heche, Mpina,Mbowe, Mnyika, Ole Sendeka, Mwabukusi, Dr Slaa, ni baadhi ya watu ambao wanaweza kugombea na wasipige compaign na wakashinda Nchi hii Jimbo lolote. Ndugu Mpina haihitaji hata kujitambulisha Kwa wananchi, na anaweza kugombea Jimbo lolote, Kwa chama...
  15. JamiiForums Tanzania Jumu la Picha za Wazalendo Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    JUMU LA PICHA ZA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WENGI WAO MCHANGO WAO HAUFAHAMIKI Picha hizo ni za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika wengine kwa mali walizojaaliwa na wengine kwa kukosa mali walipigania uhuru kwa hali zao. Wengi wao hawatambuliki wala hawafahamiki. Huu ni msiba usio na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania DEMOKRASIA Kwa wajinga, wasiostaarabika, Wasiokuwa wazalendo yafaa nini?

    Salaam, Shalom!! Nauliza tu, Hawa waliotuletea DEMOKRASIA mataifa ambayo Bado tunajitafuta yalilenga nini? Mbona wao walipokuwa wanajenga Uchumi wao, miaka mingi iliyopita mbona waliotumia mijeredi? Yaani mtoto asiyetaka shule, mzazi ampe mtoto huyo DEMOKRASIA na uhuru Ili iweje? DEMOKRASIA...
  17. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wammiminia sifa Rais Samia, wasema ni Rais muungwana na hakuna anayetekwa kwa sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa watu mbalimbali wenye akili Timamu na wanaojitambua, pamoja na vyama mbalimbali vya kisiasa bila kujalisha itikadi zao za...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni yenye wananchi na viongozi wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu

    UTANGULIZI Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati. MATARAJIO YANGU - Wananchi na viongozi wajitolee kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wathamini maslahi ya taifa kuliko maslahi binafsi. Uzalendo...
  19. JamiiForums Tanzania ACT kumfukuza Uanachama Zitto?/ Kumpigia Kampeni Samia 2025/Dorothy Semu

    https://www.youtube.com/watch?v=JXhfs3y4FiY Chanzo: Dar24
  20. JamiiForums Tanzania Kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo, je kuna mpasuko Bara na Zanzibar?

    Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini. Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…