wawekezaji

  1. Hatuoni tatizo kwa miradi ya Serikali kutokana na mawazo ya wawekezaji wa kigeni?

    Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
  2. Kituo cha Uwekezaji chakamilisha ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji (TeIW) awamu ya kwanza

    Katika Mwaka 2023/24, Kituo cha Uwekezaji kimekamilisha ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji (Tanzania Electronic Investment Window - TeIW) kwa awamu ya kwanza ambao ulizinduliwa Septemba, 2023 Mfumo huo umeunganishwa na mifumo ya Taasisi saba (7) ambazo ni Mamlaka ya...
  3. Ongezeko La Mifuko Ya Pamoja Ya Uwekezaji Na Manufaa Yake Kwetu Wawekezaji

    Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa uhakika. Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni KILA MTU ANAWEZA KUWA...
  4. K

    Dotto Magari: Mabilionea na Wawekezaji waliokimbia Nchi, wote wamerudi na wanawekeza Tanzania

    Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi. Msikilize kwenye ‘clip’ hapa, namnukuu “Mabilionea na Wawekezaji wote waliokimbia, wote wamerudishwa...
  5. W

    RC Tanga: Wawekezaji wasiolipa fidia wanyang’anywe ardhi

    Mkuu wa Mkoa amesema ana taarifa za baadhi ya wilaya kuwa na wawekezaji waliotakiwa kulipa fidia Sh400 milioni kwa wananchi takribani, lakini wameshindwa kulipa huku wakiendelea kushika ardhi ya wananchi. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Buriani amewaagiza wakuu wa wilaya kuhakikisha...
  6. Wawekezaji wengi hawaji na fedha kutoka kwao bali wanakopa kwenye haya haya mabenk yetu

    Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki. Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
  7. A

    Napataje wawekezaji kwenye kampuni yangu?

    Nipo kwenye tasnia ya waste material nina mkataba wa miaka 4 mikoa tofauti nakutana na malighafi mbalimbali ikiwemo vyuma chakavu, Paper waste, plastic waste n.k nimeanza hatua ya kwanza kufatilia uanzishwaji wa small recycling industry pamoja na production kwa baadhi ya bidhaa,.Nahitaji mdau...
  8. Katibu Mkuu Abdulla: Tuko tayari kushirikiana na Wawekezaji wa Sekta ya Mawasiliano

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Beijing China. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amesema Wizara hiyo ipo tayari kushirikiana na wawekezaji mbalimbali wa katika ya Mawasiliano walioonesha nia ya kuwekeza nchini. Amesema hayo tarehe 06...
  9. Wawekezaji, je tutegemee sarafu ya EURO kuporomoka?

    Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD). Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa? Nini maoni yenu? Karibuni
  10. Waziri Mavunde: Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania Kuwavuta Wawekezaji Duniani Kote

    MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini 📍Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
  11. Rais Samia amewahakikishia wawekezaji uwepo wa umeme wa uhakika Wilayani Kilombero, Malinyi na Ulanga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wawekezaji uwepo wa umeme wa uhakika katika Wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga na hivyo amewaalika kwenda kuwekeza katika maeneo hayo. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo Agosti 05, 2024 wakati akihitimisha ziara...
  12. Mwekezaji Max Maxwell raia wa Kigeni amenunua Ekari 300 za ardhi nchini Tanzania

    Nimekutana na hii taarifa ya Mfanyabiashara na Mwekezaji Max Maxwell ambaye ni raia wa nchi lakini kilichonishangaza zaidi ni kusema amenunua ardhi nchini Tanzania kwaajili ya kufanya uwekezaji. Max ameandika; "Leo ni ndoto ya kutimia ambayo ilianza mwaka wa 2010 na maono kwenye bodi yangu...
  13. Huyu ni mmoja tu; hebu fikiria Watanzania 10 wangefanya hivi ni wawekezaji au wafanyabishara wangapi tungewavuta kuja hapa nchini?

    Habari zenu wanajamii forum. Huku niliko, mimi ni mzima wa afya, na natumaini huko mlipo ni wazima pia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Leo, katika pita pita mtandaoni, nikakutana na post ya bwana James ambayo kwa namna moja imenivutia sana na kunifanya nije hapa kuianzishia uzi, pengine tukapata...
  14. Serikali yetu naona haijitambui kwa kitendo cha kupeleka wasanii Korea badala ya wasomi na wawekezaji

    Leo nimeulizwa na mzungu mmoja ambaye nafanya kazi naye shirika moja hapa Tanzania, hivi serikali yenu huwa akili wanazo kweli?. Kutumia gharama kupeleka wasanii sababu ni nini? Hapa Tanzania tuna wasomi ambao wangepelekwa wangekuja na mtazamo mpya kwa walichokiona kama teknolojia, afya...
  15. Waziri Bashungwa Awakaribisha Wawekezaji Karagwe, Miundombinu Yaendelea Kuboreshwa

    BASHUNGWA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KARAGWE, MIUNDOMBINU YAENDELEA KUBORESHWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inyoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombunu ya barabara katika Wilaya ya Karagwe hivyo amewataka...
  16. S

    Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

    Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni. Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa...
  17. WAFANYA BIASHARA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA KUTOKA KENYA, KUTIMKIA TANZANIA KUKWEPA ATHARI ZA MAANDAMADO YASIYOKOMA KENYA.

    wanajipanga na kukusudia kuhamishia mitaji yao nchi jirani Africa Mashariki zenye amani ikiwa ni pamoja na Tanzania, kukwepa uharibifu wa uwekezaji woa huko kenya ambao baadhi yao kwa kiasi tayari wameathirika, kutokana na kukosekana usalama wa kutosha... Je, hii ni fursa muafaka ya kiuchumi na...
  18. SoC04 Tutengeneze mazingira rafiki kwa wawekezaji kupunguza ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa changamoto sugu ulimwenguni kama taifa yatupaswa kuwa na mikakati mipya na endelevu kupunguza ukosefu wa ajira nchini. Bendera ya Tanzania. Kila mwaka mamia ya wahitimu wanatunukiwa vyeti vya kuhitimu katika kozi mbalimbali kutoka vyuo vya ndani na nje ya nchi...
  19. Serikali kukutana na Mabalozi wa nchi 9 kujadili malalamiko ya Wawekezaji kuhusu masuala ya Kodi

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekubali ombi la Mabalozi wa nchi mbalimbali walioomba kikao cha kujadili masuala ya kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa lengo la kujadili malalamiko yalitolewa na baadhi ya wawekezaji kutoka...
  20. N

    TRA yadaiwa kuanza kuvamia wawekezaji wa kigeni na kudai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15 nyuma. Je, Serikali ina uhaba wa fedha?

    Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…