wauzaji

  1. M

    Kununua gari kwa mbongo ni mtihani, wauzaji wengi wanaficha matatizo yaliyowashinda, mnunuzi anaachiwa apambane nalo.

    Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote. Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae Gari kunywa sana mafuta Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili Gari...
  2. Jumanne Mwita

    Mpango wa Bakery 2026 na Ombi la Mawasiliano ya Wauzaji wa Mashine za Kukanda Unga

    Ndugu na mdau wa jukwaa hili ninatumia nafasi hii kuwasilisha wazo langu la biashara kwa mwaka huu wa 2026, nikiwa na matumaini ya kupata mrejesho, ushauri wa moja kwa moja, na hasa mawasiliano ya wadau wanaohusika na uuzaji wa mashine za kuoka na kukanda unga. Nina mpango wa kuanzisha biashara...
  3. S

    For sale: Kwa mafundi simu na wauzaji wa vifaa vya simu

    Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu, nitumeni , niko tayari kufanya delivery.Nitawauzia mzigo kwa Bei ya China , Bei ya Soko la Huangshangbei Electronic Market pale Shenzhen,China. Mzigo tulionao ni kama ifuatavyo; Vioo vya iPhone OLED (Original Display) iPhone Battery Model zote -iPhone Backlass...
  4. A

    KERO Arusha kumekuwa na tabia ya wauzaji wa Vitu sana sana Viatu na nguo kuwauzia wateja vitu feki

    Hii imenikuta mimi nikiwa Arusha kuuziwa Viatu feki. Niwaombe mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Arusha wafanye uchunguzi kwa wauzaji wa viatu maeneo ya kariakoo ya Arusha. Wauzaji tukiwaambie watupatie risiti hawafanyi hivyo badala yake wanatuzungusha na kuwa hawatoi. Ukijaribu kufuatilia...
  5. Mkongwe03

    Natafuta wauzaji wa jezi za timu mbalimbali

    Habari.? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu natafuta wauzaji wajumla wa jezi za timu mbalimbali hasa jezi za msimu huu, yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata namomba anisaidie..
  6. V

    Wauzaji wa balo za mtumba

    KARIBUNI SANA VUNJABEIMTUMBAGRADE1 WAUZAJI WA BALO ZA MTUMBA GRADE 1 KUTOKA CHINA UK CANADA'S DUBAI WHATAPP GROUP LETU UJIFUNZE ZAIDI VUNJABEI 🔥BALO ZA MTUMBAGRADE 1 Mawasiliano 0657710078 TUNAPATIKANA ILALA DAR ES SALAAM MIKOANI TUNAFANYA DELIVERY
  7. Acehood

    Wauzaji wa jezi

    Samahani wakuu yeyote mwenye jezi hizi za Manchester united au mojawapo naomba nijue nizipate.
  8. cacutee

    Wauzaji wa geosynthetics Tanzania

    Habari zenu wapendwa katika ujenzi wa nchi? Ninaomba kwa wale wataalamu wa Mambo ya ujenzi wanisaidie ni wapi hizi material za geosynthetics zinapatikana kwa dar (yani maduka ya na you za hizi material) Asanteni
  9. V

    Wauzaji balo za mtumba grade 1 quality

    WHATAPP GROUP LA MITUMBA Vunjabei balo za mtumba grade1 group 3 Karibuni sana jaman mjipatie balo za mtumba grade1 kutoka china uk Canada Dubai Korea Tuna balo za nguo aina mbalimbali na Kila balo Lina nguo yake na bei yake mfano balo la shati ni shati tu t-shirt ni t-shirt tu Jean's...
  10. Mike Moe

    Wauzaji suruali aina ya boss kariakoo

    Habari wana jamii kama kichwa cha uzi kinavyojieleza kama kuna wafanyabiashara wa kariakoo mnaouza suruali za vitambaa aina ya boss naomba tufahamiane kwa lengo la kufanya biashara pm yangu iko wazi wakuu muda wowote
  11. M

    Soko la ushindani kikabila,wateja wajumla wanaenda kununua kwa wauzaji wa jumla wakabila zao

    Habar wakuu msaada wenu kimawazo ,mim nimefanya biashara wa jumla vyakula na vinywaji Sasa Niko katika changamoto ya ushindani,hapa tupo masupply wa jumla kama wanne wa vyakula na vinywaji,Sasa kati yetu Kuna wawili kabila moja,Sasa wateja wooote wengi wale wanaokuja kununua jumla wakauze ktk...
  12. Mike Moe

    Wauzaji wa suruali za vitambaa(boss na kampuni zingine)

    Niaje wakuu kwa wauzaji wa suruali za vitambaa kampuni ya boss na kampuni zingine tuonane pm kwa mawasiliano zaidi nashida na suruali hizo
  13. D

    Wapi naweza pata wauzaji wa Gas Grills za majumbani hapa Dar

    Wakuu poleni na majukumu. Nahitaji gas grill kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wengine wanaziita tabletop gas grills. Nishaulizia sana madukani ila naonyeshwa vitu sio. Ni jiko maalum la kuchomea nyama na vyakula vingine lakini linatumia gas badala ya mkaa au umeme. Naombeni mwongozo...
  14. Knock life

    Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
  15. V

    Wauzaji balo za mtumba grade 1

    KARIBUNI SANA balo safi za mtumba wauzaji balo za mtumba grade 1 kutoka China uk Canada uingeleza Dubai na korea Tuna balo za nguo aina zote Viatu mabegi shuka pazia Mawasiliano 0657710078 Tunapatikana ilala dar es salaam mikoani tunafanya delivery
  16. J

    Tume ya madini kuendelea kuwasaidia wasambazaji na wauzaji baruti

    TUME YA MADINI KUENDELEA KUWASAIDIA WASAMBAZAJI NA WAUZAJI BARUTI. Tume ya Madini imesema itaendelea kutoa ushirikiano na kuwasaidia wasambazaji na wauzaji wa baruti nchini ili wafanye shughuli zao kwa mujibu wa Sheria na kanuni za baruti zilizopo. Mkaguzi Mkuu wa Migodi Mhandisi Hamisi...
  17. Kizibo

    Natafuta wauzaji wa rizla mkoa wa Mwanza kwa bei ya jumla

    Habari wakuu. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, natafuta wauzaji wa rizla mkoa wa mwanza kwa bei ya jumla. Pm iko wazi. Njoo tufanye biashara. N.B uwe mwaminifu kama wauza nafaka walivyo waaminifu
  18. stabilityman

    Nahitaji wauzaji Terrazo floor materials

    Habari naomba nipate wauzaji wa material ya terrazzo floor
  19. Wauzaji wa Aluminium

    Mafundi pamoja na wauzaji wa Aluminium wa rejareja karibu ujipatie Aluminium pamoja na accesories kwa bei ya kiwandani.

    Karibu ofisini kwetu ujipatie Accessories na Aluminium Kwa bei ya kiwandani. Bei zetu ni rafiki sana , Kwa DSM ukinunua mzigo utapata free delivery na Kwa mikoani ukinunua mzigo tutaupeleka hadi kwa transporter wako. Kuhusu bei huwa zinapanda na kushuka hivyo ukitupigia tutakupa bei ambazo...
  20. Mike Moe

    Wauzaji Wavijora kwa bei ya jumla

    Habari za asubuhi wanajamii Kwa waleo wauzaji wa vijora kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei zikoje niko mkoa mnaweza tuma pia sample za picha kama mko nazo
Back
Top Bottom