wauawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JaxenDL

    Watoto 208 wauawa Iran kwa mashambulizi ya Marekani na Israel

    (CHANZO CHA PICHA, REUTERS) Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208. Katika taarifa ya video iliyochapishwa na mtangazaji wa kituo kinachomilikiwa na serikali IRIB, Jafar Miadfar alisema kwamba kati ya watoto 208...
  2. MK254

    Kikao cha watu 88 waliokutana kujadili mrithi wa Ayatollah wauawa wote kwa bomu

    Walikutana kujadili mrithi wa Ayatollah, jengo likashushiwa kitu kizito..... The IDF targeted a building in which Tehran's 88-member Assembly of Experts was meeting to choose Iran's next supreme leader, Israeli sources told The Jerusalem Post on Tuesday...
  3. P

    UAE, Kuwait zasema 4 wauawa, 90 wajeruhiwa katika mashambulizi ya Iran

    Falme za Kiarabu (UAE) na Kuwait zimesema kuwa watu wanne wameuawa na wengine 90 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran, kufuatia shambulio la Marekani na Israeli dhidi ya Iran. Wizara ya Ulinzi ya UAE imesema katika taarifa yake kuwa mifumo...
  4. M

    Kondoo 17 wauawa, watano wajeruhiwa na fisi wanne Itilima

    Hofu imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Gambasingu wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu baada ya fisi wanne kuvamia zizi la kondoo na kuua mifugo 17 huku wengine watano wakijeruhiwa katika shambulio la usiku wa manane, leo Agosti 20, 2025. Shambulio hilo lilitokea majira ya saa sita usiku katika...
  5. JanguKamaJangu

    Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

    Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
  6. The Zanzibar Echo

    Urusi:Watatu wauawa katika shambulio la ndege za kivita za Ukraine

    Watu watatu wameuawa na 35 kupelekwa hospitali kufuatia shambulio la Ukraine kwenye kiwanda kimoja katika mji wa Izhevsk - zaidi ya kilomita 1,000 kutoka mpakani, mamlaka ya Urusi inasema. Kati ya wale waliojeruhiwa kumi wamepata majeraha mabaya, gavana wa Udmurtia Aleksandr Brechalov alisema...
  7. Sun Zu

    Wanajeshi wa Morocco wauawa kwa Makombora Huko Haifa

    K Katika mfululizo wa mashambulizi ya Makombora ya Iran huko Israel duru zinaeleza kuuawa kwa maofisa wawili wakubwa wa kijeshi Wa Jeshi la Morocco waliokuwa katika mafunzo ya pamoja na IDF huko Haifa. Aidha mwanajeshi mmoja alinusurika kwa majeraha na yupo anatibiwa. My take: Hawa waisrael...
  8. MK254

    Mwanasayansi , Mabrigadia na makanali kadhaa wa Iran, wauawa kinu cha nyuklia pia chalipuliwa

    Katika muendelezo wa kuikomboa Israel kutokana na tishio la kufutwa kwenye ramani ya dunia, inaendelea kuhakikisha watakaobaki Iran hawatawahi kuwa na wazo kama hilo, hii itakua funzo pia kwa mataifa mengine yote ya waislamu, wakubali kuishi na watu kwa amani, acheni chokochoko dhidi ya dunia...
  9. W

    Mkuu wa intelejensia wa Iran na naibu wake wauawa baada ya Israel kulipua chumba chao cha siri katika jengo la wizara ya intelejensia

    Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum, Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...
  10. MK254

    Tetesi: Mkuu wa majeshi ya Iran na wanasayansi wa nyuklia wauawa kwenye shambulizi la Israel

    Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists were killed in the opening strike of Israel's Operation Rising Lion, early Friday morning. Dozens...
  11. Setfree

    Vijana takriban 40 wauawa baada ya 'kumzodoa' Mtumishi wa Mungu!

    Habari hii ni ya kweli kabisa. Sio chai wala udaku. Taharuki imetanda katika mji mmoja baada ya tukio la kutisha lililowahusisha vijana zaidi ya 40 walioshambuliwa na wanyama wakali wa porini. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwepo karibu na eneo la tukio, kundi la vijana zaidi ya 40 lilijikuta...
  12. B

    Canada: Watu 11 wauawa katika sherehe za Lapu Lapu

    27 Aprili 2025 Vancouer, Canada https://m.youtube.com/watch?v=KzeegXPn-OU Watu waliokuwa katika sherehe za siku ya Lapu Lapu tarehe 26 Aprili 2025 katika mtaa moja wa mji wa Vancouver Canada waliuawa kwa kugongwa na gari la SUV kwa makusudi. Police wa Vancouver wamesema mshukiwa wa shambulio...
  13. Bhikalamba

    Imevuja: Mamia ya askari wa Rwanda wauawa huko DRC

    Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma. Taarifa za ndani zinasema askari waliouwawa walirudishwa nyumbani Rwanda na kuzikwa katika makaburi ya Kanombe, na wale walioshindwa...
  14. Ndagullachrles

    Mwekezaji Shamba la VASSO afukuzwa shambani, farasi wake wawili wauawa

    MWEKEZAJI kwenye Shamba la VASSO lililopo kijiji cha Dakau wilaya ya Moshi vijijini, Fons Nijenhuis(73) raia wa Uholanzi, amedai kufukuzwa kwenye shamba hilo na watu wasiojulikana huku kundi kubwa la watu likivamia makazi yake na kufanya uharibifu mkubwa wa mali pamoja na kufanya uporaji wa mali...
  15. 5523

    BBC: Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katka vita vya Ukraine

    Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema. Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya...
  16. Minjingu Jingu

    Askari wauawa Dodoma wakati wakienda kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu.

    Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma. Tupate habari kamili.
  17. and 998 others

    Kimenuka tayari Mozambique, watu 18 wauawa

    Vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji zimeibuka. Tayari watu 18 wameuawa. Tuchukue tahadhari kwenye mipaka (Mtambaswala) yetu na hawa jamaa. Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani anasikilizia. NB: internet imezimwa kama Tungekinya 2020
  18. econonist

    Wapalestina 106 wauawa huko Gaza baada ya shambulio la IDF

    Shambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa. --- Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la ghorofa tano walikokuwa wakijihifadhi Wapalestina wasiokuwa na makaazi,kaskazini mwa Ukanda wa...
  19. econonist

    Polisi 10 wauawa Iran baada ya shambulio huko Sistan, Iran.

    Washambuliaji wenye silaha waliwavamia na kubadilishana risasi na vikosi viwili vya doria ya polisi katika jimbo la Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran, siku ya Jumamosi, na kuua maafisa wa polisi wasiopungua 10. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran, Eskandar Momeni, ameagiza uchunguzi...
  20. JanguKamaJangu

    Viongozi wawili wa upinzani wauawa kwa risasi Msumbiji

    Taarifa ya Chama cha Podemos imeeleza kabla ya mauaji hayo, wauaji walifuatilia gari la Dias na Guambe kwa muda kisha kuwashambulia wahusika kwa risasi katika Mji wa Maputo MSUMBIJI: Watu wenye silaha wamesababisha vifo vya Wanasiasa wawili wa Chama cha Upinzani ambao ni Wakili Elvino Dias...
Back
Top Bottom