watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC01 Suala la machinga Serikali iache kujifungia na kuwaamini tu Watumishi/Wataalamu wake, iwashirikishe Wataalamu wenye elimu ya mtaani

    Nadhani inafahamika namna ambavyo kipaumbele cha kuajiri serikalini huwa ni vyeti bila kujali uwezo wa Watu hao kiutendaji. Labda ndio maana mpaka sasa bado imebaki ni mtihani mkubwa kwa Watendaji wetu hawa kuja na ufumbuzi wa nini wafanye kuhusu suala hili la Wamachinga zaidi ya kutamani tu...
  2. M

    Afisa mtendaji kata Lulembela awafikisha mahakamani baadhi ya watumishi kwa kutolipa mchango aliouanzisha

    Afisa mtendaji kata ya Lulembela wilaya ya Mbogwe mkoani Geita leo tarehe 6 September 2021 amewafikisha mahakamani baadhi ya watumishi (Walimu na wataalamu wa afya) kujibu shauri alilolifungua (KUPINGA MAENDELEO) katika mahakama ya mwanzo Lulembela. Katika shauri hilo walilosomewa watumishi hao...
  3. M

    Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Afisa Mtendaji kata ya Lulembela, wilaya ya Mbogwe, mkoa wa Geita amekuwa Mungu mtu kwa kutisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango wa maendeleo bila staha na kuzingatia utu wa mtu. Anamtumia balozi wa nyumba kumi anayeitwa Benard Gwanguru ambaye amekuwa akiambatana na mgambo...
  4. Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
  5. WATUMISHI WA UMMA angalieni filamu

    Binti Christina ni afisa wa Benki bibi Ganush nyumba yake inatakiwa kuuzwa ameshindwa kulipa mkopo na ameshaongezwa muda mara mbili, Chritine ana uwezo wa kumuongeza muda bibi lakini hii ni nafasi yake ya kuonesha kwamba ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu ili aweze kupanda cheo. Hivyo anaamua...
  6. Watumishi 4,380 walioondolewa kimakosa warejeshwa kazini

    Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amesema Watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti vya Elimu na Watumishi hewa wamerejeshwa kazini. Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Mikumi, Dennis Lazaro Londo aliyeuliza...
  7. Guinea: Watumishi wa Umma watakiwa kuwa cheti cha kupata chanjo ya COVID-19

    Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa...
  8. B

    Kenya: Chanjo ya Covid lazima kwa watumishi wa Umma

    Kuwa na dhamana ya maisha ya watu ni pamoja na kuwajibika zaidi hata dhidi ya ujinga wao. Babu wa Loliondo angekuwa hai Kenya lakini si Tanzania. Heko rais Kenyatta kwa maana heri lawama kuliko fedheha. Kenya kwa mtumishi wa umma, chanjo ni lazima. Pole pole tutafika tu. Kwanza Janssen...
  9. Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

    Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo...
  10. Waziri Jenister Mhagama kumbuka ahadi yako kuhusu pensheni ya PSSSF kwa watumishi siku ya Sabasaba

    Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu. Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
  11. Waziri agiza watumishi watatu Redio Sengerema kuwekwa ndani kwa ubadhirifu wa Milioni 28

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mathew Kundo ameagiza watumishi watatu wa Redio Sengerema ya wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza kuwekwa ndani kwa muda usiojulikana kutokana na ubadhirifu wa Sh28 milioni Wafanyakazi hao ni ofisa habari Halmashauri ya Sengerema, Silvanus...
  12. Waziri Simbachawene, Watumishi wako hawajalipwa pensheni kama mlivyoahidi

    Mhe. Waziri, Watumishi wako wana miezi 3 hawajalipwa nauli za kwenda majumbani kwao baada ya kustaafu. Watumishi wako wana miezi 4 toka wastaafu hawajalipwa Pensheni na mliahidi na Jenister Mhagama kuwa mtarahisisha malipo ya pensheni kuchukua muda mchache sana, pamoja na kujaza fomu zote na...
  13. M

    SoC01 Namna bora ya Waajiri kuwakomboa Watumishi wao na kadhia ya madeni katika Taasisi za Kifedha

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za mikopo wanayoomba kwenye taasis hizo. Mabenki na taasisi hizo humvutia mkopaji kwa kumuwekea...
  14. Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma anaetaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT)- DSM

    Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma wanaotaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT) Dar es salaam Kwa Mtumishi wa Umma anaehitaji kuhamia chuo cha Taifa cha Utalii kwa nafasi ya Mhasibu au Mkaguzi wa Ndani pls aje inbox 📨
  15. B

    Wateule wa Rais katika idara na Wizara wanatuhumiwa kutumia siku 14 kila mwezi kuzunguka mikoani

    Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji. Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye...
  16. Benki ya Posta mna mambo ya kizamani. Mnataka viambata vingi kutoka kwa Watumishi ili muwakopeshe. Ambao hatutaki usumbufu tutaendelea kuwakimbia

    Wiki iliyopita nilienda Benki ya Posta kuomba mkopo ili nifanye miradi yangu. Dhamana kuu ni mshahara wangu. Sasa cha ajabu naambiwa nilete Picha zangu Barua yangu ya mkono Nakala ya kitambulisho cha NIDA NAKALA YA KITAMBULISHO CHA KAZI. Barua ya mwajiri Barua ya kuajiriwa Barua ya...
  17. Watumishi wa Umma kuna la kujifunza hapa!

    Ni kwamba katika utawala wa Magufuli mwaka 2018/2019 baadhi ya Watumishi kwenye Taasisi ambazo zina majina walifanyiwa uchunguzi wa kimya kimya kwenye Akounti zao za mabenki. Nasikia kuna mzee moja alikuwa anafanya kazi MSD, wakamkuta bank na fedha kiasi cha shilingi Bilioni 2 za Kitanzania...
  18. B

    Mishahara ya wafanyakazi na watumishi iendane na kiwango cha elimu, ugumu wa kazi au kiwango cha kazi anachofanya mhusika

    Elimu ni uwekezaji kama aina nyingine za uwekezaji hivyo muwekezaji anategemea kupata faidia baadae, ila kuta baadhi ya taasisi au mashirika, mtu ana shahada ila analipwa mshahara wa astashahada. Au unakuta sehemu mtu ana elimu ya dalasa la saba ila analipwa mshahara zaidi ya mtu mwenye...
  19. L

    Posho za watumishi zilizofutwa na Serikali ni zipi?

    Jana tarehe 19/7/2021 katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Waziri Mwigulu akihojiwa na Farhia Midley: Swali: Mnataka wananchi wafunge mikanda lakini nyinyi viongozi hamuonekani kufunga mkanda" Jibu: "Kutokana na serikali kuwa serious na swala la kubana matumizi imefuta posho zote...
  20. Watumishi tunaosubiri madaraja mwezi huu

    Ndugu zangu na washikaji zangu ambao upepo wa kupanda daraja ulituacha mwezi uliopita japo tulistahili, tusipopanda mwezi huu tufanyaje? Tulioanza nao kazi na tuliowapita sasa wana mishahara mikubwa zaidi yetu japo elimu ni moja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…