watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simbachawene aelekeza kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kusimamia Watumishi kutekeleza zoezi la PEPMIS

    #HABARI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Juma Mkomi kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kuwasimamia watumishi wao kujisajili na kujaza mipango kazi yao katika Mfumo...
  2. Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
  3. B

    Ridhiwani Kikwete: Mifumo mitatu mipya ya utumishi itakavyosaidia kupima utendaji wa watumishi na kusaidia wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  4. Watumishi wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali. Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
  5. Baraza la Madiwani lasimamisha Watumishi watatu Geita

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani Geita, limewafuta kazi watumishi 3 wa Halmashauri hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Kiutumishi . Akitoa Taarifa hiyo katika kikao Maalumu kilichoketi mara baada ya kukamilika kwa Baraza la Madiwani, Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni...
  6. TAMISEMI na tabia ya kukwamisha uhamisho wa Watumishi

    Jamani mkwe wa samia emu fanya makeke kama uliyofanya kule utumishi,tamisemi wanazingua sana,imagine maombi ya uhamisho tena wa kubadilishana wamepokea toka juni sasa wanachakata nini mda wote huo? Mmekaa ofisini mnazungusha matako hamjui shida zetu sio?
  7. Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi "Naomba kutoa pole kwa watanzania wakiwemo wananchi wenzangu wa Mkoa wa Arusha hususani Jimbo la Monduli kwa kuondokewa na mpendwa wetu Waziri Mkuu...
  8. Festo Sanga awalilia Watumishi Nchini, riba za Mabenki zinawaumiza

    Mbunge wa Makete Mh:Festo Sanga amepaza leo tar 14:02:2024 akichangia hoja ya Kamati ya Bajeti amepaza kilio chake kwa serikali namna mabenki nchini yanavyoumiza watumishi kwenye riba za mikopo. Sanga amesema " Uhai wa benki zetu nchini zinabebwa na Watumishi,lakini kiwango cha riba...
  9. Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Unaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake. Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote...
  10. Ziara za Makonda, malalamiko ya wananchi kutotendewa haki na watumishi, ni kuanzia mwaka 2021 hii maana yake nini?

    Wasalaam Tanzania. Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM. Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao...
  11. B

    Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu. Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo. Malalamiko ya...
  12. Halmashauri au manispaa hiyo miradi ya serikali ni yenu nyie watumishi

    katika watu wakuangiliwa wenye njaa na wenye uchu ni hawa watumishi wa sehemu hizi mbili halimashauri au manispaa. chochote kitakacho anzishwa kuwe na mradi mfano masoko,stendi,maeneo ya viwanja na n.k cha kwanza wanajimilikisha wao watumishi ndani ya mradi. usije shangaa masoko mengi makubwa ni...
  13. F

    Waalimu mnapaswa kuandamana kudai pensheni kamili, kikokotoo kwenye pensheni ni udhalim. Ni aibu kwa serikali kuwekeza kwenye vifo vya watumishi wake!

    Waalimu wa siku hizi hadi muambiwe kuwa hali za maisha yenu sio nzuri!? Juzi tu hapo serikali imekuja na kikokotoo cha pensheni za watumishi mkiwemo nyie waalimu. Watu mnakatwa pensheni yenu na mpo kimya tu?! Pensheni ni mali yenu na sio msaada kutoka serikalini, mnapaswa kuelewa kuwa...
  14. M

    Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

    Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno.
  15. Kuna watumishi wa Serikali wasio na viwango kabisa

    Kuna changamoto kwenye sekta hii ya utumishi wa umma. Kubwa sana ni kukosa viwango (standards) na muendelezo (continuity). Hii continuity watu wa filamu wanaijua sana, la sivyo kazi zao zingekuwa vioja. Sasa vioja hivyo wanafanya hawa watumishi wa serikali. Tukianza na standards nikiangazia...
  16. Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
  17. PreGE2025 Makonda: Kuna watu hawapendi navyowashughulikia (Watumishi wazembe), lakini Mimi nitafanya!

    Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe. Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
  18. Kesi ya Watumishi waliochepusha Mapato ya Halmashauri ya Mbeya imefikia wapi?

    Tuliambiwa humu na kwingineko kwamba Watumishi wale watafikishwa Mahakamani, tena tuliambiwa katika lugha iliyojaa Mikwara hasa, tukajua hakika wezi wale watakiona cha moto! Sasa baada ya Kimya kizito kutanda, sisi wananchi tumerudi tena kuulizia ilipofikia kesi hiyo kabambe. Naomba kuwasilisha.
  19. PENDEKEZO: Taasisi za umma ziache kukopesha watumishi wake, ziwadhamini wakakope benki

    Kuna mtindo mchafu umeingia kwenye taasisi nyingi za umma wa kuwakopesha pesa watumishi wake kwa kutumia pesa za ndani za uendeshaji wa mashirika hayo kiasi ambacho kimepelekea kukwamisha ufanisi wa uendeshaji wake. Mfano halisi ni mfuko wa Bima ya afya ya taifa (NHIF). Upo ushahidi wa wazi kuwa...
  20. Kwa hii serikali kuna kufanikiwa kweli kwa watumishi wa umma bila kuiba?

    INTRODUCTION: Hapa sizungumzii wizi wa fedha au mali za Umma pekee ila nazungumzia wizi wote wa MUDA na FEDHA. Nimekuwa nikiona na kusikia watu wengi sanaa wakiponda juu ya wizi fedha za uma kwa watumishi. Nimekuwa nikiona na kusikia raia wengi sanaa wanalalamika kwamba wakienda ofisi fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…