watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ualimu ndo kada ambayo wakikosa mshahara kwa miezi 2 tu watumishi wake watakuwa ombaomba

    Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija. Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
  2. JamiiForums Tanzania Kubalisha vituo vya kazi kwa watumishi wa Umma

    Mtumishi wa Umma Anayetaka kuhamia mkoa wa pwani kutoka mikoa yote Tanzania kasoro kigoma, katavi na shinyanga ila hususani Tanga, fani ni mechanical engineer karibu tubadilishane
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO DED wa Rorya tusaidie Watumishi wa Elimu Msingi tulipwe malipo yetu ya likizo

    Mimi ni mdau wa JamiiForums.com nina kero ambayo naomba ujumbe ufike kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya pamoja na ofisini yake kwa jumla. Sisi Watumishi katika ngazi Elimu Msingi hatujalipwa fedha yetu ya likizo tangu Desemba 2024, licha ya kuwa tulijaza fomu ya malipo...
  4. JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA waliogombea nafasi za ubunge CCM, waunga mkono NRNE

    Nina marafik zangu ambao ni watumishi wa Umma kama wanne walichukua fomu CCM kugombea Ubunge 2025 katika majimbo na viti maalumu, ila kura hazikotosha na wengine Kamati Kuu haikuwateua Sasa serikali imewaweka benchi mpaka Leo hawajapewa kibali cha kurudi kwenye utumishi, zaidi ya mishahara...
  5. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NACTVET katibu mtendaji hafanyi kazi, watumishi pia hawafanyi kazi kazi kupiga stori na kuombana rushwa Waziri mwenye dhamana shughulikia hili

    Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake. Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za wanaohusika, kazi ni kuombana posho mnashindwa kumsaidia raisi katika kuwatumikia wananchi. Kazi...
  6. JamiiForums Tanzania TBA Kuwaondoa kwenye nyumba watumishi wenye madeni

    Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umepanga kuwaondoa watumishi wa umma na wapangaji wote wanaodaiwa na wakala huo, iwapo hawatalipa madeni yao ifikapo Septemba 30, 2025. Mtendaji Mkuu wa TBA, Arch. Daud Kondoro, amesema kuwa zoezi la kuwaondoa wadaiwa hao litazingatia mikataba iliyowekwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi Mtwara wakamata Viongozi AMCOS na Watumishi wa Umma kwa wizi wa Pembejeo za Korosho zaidi ya Milioni 15

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa huo SACP Issa Sulemani amesema mnamo Agosti 29, 2025 polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Umma wenye mahitaji maalum tunapangiwa sehemu zisizo rafiki, tukiomba uhamisho hatupati

    Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea tunafuatilia uhamisho barua zinapokelewa Kama ushahidi TU hazifanyiwi kazi. Mara nyingi tunapofuatilia...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Fountain Gate tuna hali mbaya kiuchumi, Serikali itusaidie tupate stahiki zetu

    Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa kutusaidia. Siwezi kuharibu taasisi yangu wakati najua ndio sehemu ambayo Napata ugali wangu na familia...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100

    Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini. Dkt. Samia amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

    INTRODUCTION:- Yaani nina ""fazaaa"" na mawazo hata kusalimia naona NAPOTEZA MUDA tuu...!!! Hebu twende hoja.. Watumishi wa umma ambao ni matajiri hebu njooni hapa ndugu zangu..!! Kabla ya yote si unajua humu hatujuani, WE FUNGUKA TU UNIPE ABC NDUGU YENU. Hivi mtumishi wa umma anakuaje na...
  12. JamiiForums Tanzania Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu August umetoka?

    Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu umetoka?
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba Asisitiza Uwajibikaji kwa Watumishi wa Ofisi za Hazina Ndogo Kigoma

    DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Watumishi acheni kuvujisha siri za Serikali, ni sawa na kujipiga risasi ya kwenye moyo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Ninawasiwasi kuna watumishi wameoa majini yanayowapa utajiri au wao ndio majini yenyewe

    Hivi karibuni wamejitokeza watumishi waliojaa kiburi mithili ya shetani mwenyewe. Mtumishi anathubutu kusema ukiniwekea pesa hapa na mbingu nachagua pesa. Kwamba amestuka mbinguni hakuna issue anaona itakuwa ni usumbufu tu hakuna kuoa,ni kuimba na kusifu tu!
  19. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu msiendekeze siasa mtaendelea kuumbuka pale unabii wenu wa kichawi na kilozi unapokwama nyie wapuliza mitungi ya gesi

    Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid! Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa. Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal). Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo. Na gharama zingine kama bima ni kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…