watu wenye ulemavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 INEC: Watu wenye Ulemavu hawatapanga foleni siku ya Uchaguzi, Oktoba 29, 2025

    MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika Mkoa wa Iringa, Bi. Nuru Sovella, amesema kuwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeweka mazingira rafiki na wezeshi kwa watu wenye ulemavu ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga kura Oktoba 29, 2025. Akizungumza na...
  2. GE2025 Ridhiwani: Zaidi ya watu 1,200 wenye ulemavu wameajiriwa Serikalini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete, amesema serikali ya awamu ya Sita imefanikiwa kufungua milango ya ajira kwa watu wenye ulemavu ambapo zaidi ya watu 1,213 wameajiriwa katika taasisi mbalimbali za umma Amesema ajira hizo...
  3. GE2025 ZEC: Watu wenye Ulemavu 8,021 watashiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar Oktoba 29, 2025

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema jumla ya watu wenye ulemavu wapatao 8,021 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 visiwani Zanzibar. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa ZEC, idadi hiyo imetokana na takwimu rasmi zilizokusanywa kupitia mchakato wa uandikishaji wa...
  4. GE2025 Geita DC yatoa mkopo wa bilioni 1.15 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mikopo ya Shilingi Bilioni 1 na Milioni 156 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Mikopo hiyo imetolewa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Serikali la kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuwawezesha wananchi...
  5. Watu wenye Ulemavu na Uongozi

    https://www.instagram.com/p/DL6qc3yIgPx/?igsh=MXM2c2ZvZnBuYnR4dg==
  6. GE2025 Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine mnaoshiriki Uchaguzi, mmesikia kauli ya Rais Samia?

    Wakuu Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia? Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Juni 27, 2025 alihimiza Vyama vyote vya Siasa nchini kutoa fursa...
  7. JINSI TEKNOLOJIA INAVYOSAIDIA WATU WENYE ULEMAVU.

    Jinsi Teknolojia Inavyoboresha Maisha ya Watu Wenye Ulemavu Katika dunia ya leo ya kidijitali, teknolojia si tu nyenzo ya maendeleo bali pia mkombozi mkubwa kwa watu wenye ulemavu. Iwe ni ulemavu wa kuona, kusikia, kutembea au kujifunza, kuna suluhisho nyingi zinazorahisisha maisha na kuongeza...
  8. Msaada wa kisaikolojia umetolewa kwa watu wenye ulemavu

    MSAADA WA KISAIKOLOJIA UMETOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU Watu wenye Ulemavu 821,763 (wanaume 411,321 na wanawake 410,442) walipatiwa huduma za msaada wa kisaikolojia. Kati ya hao, watu wenye Ualbino 67,502 walipatiwa msaada wa kisaikolojia wakati wa uendeshaji wa kliniki za uchunguzi wa...
  9. PreGE2025 Mchengerwa: Bilioni 82.84/- zimekopeshwa kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu

    Wakuu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema katika mwaka wa fedha 2024/25, serikali imetoa mikoро yenye thamani ya Sh. bilioni 82.84 kwa vikundi 8,275 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kupitia mpango wa...
  10. W

    Wadau waisihi serikali kuridhia itifaki ya haki za watu wenye ulemavu

    Katika juhudi za kukabiliana na mila potofu, imani zisizo sahihi na ushirikina unaodhuru watu wenye ulemavu, wadau wametoa wito kwa serikali kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kuridhia Itifaki ya Haki za Watu Wenye Ulemavu Afrika kabla ya kuvunjwa kwa Bunge la 12, ili kulinda haki za kundi...
  11. W

    PreGE2025 Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM, Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu

    Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM Mhe. Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu zaidi ya 70 wanaoishi katika jimbo lake ili kusaidia katika mahitaji ya chakula katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Pondeza kupitia taasisi ya Pondeza Foundation...
  12. Naibu waziri Katambi apiga marufuku tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye ulemavu

    Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana ajira na wenye ulemavu Patrobas Katambi amekemea tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye mahitaji maalum wakati wanapohitaji huduma kwenye ofsi zao. Amekemea tabia hizo wakati wa maadhimisho ya siku ya maandishi ya nukta nundu kitaifa...
  13. PreGE2025 Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida yakabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imekabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Asia Messos,akizungumza jana wakati wa hafla ya kutoa mikopo hiyo alisema baada ya dirisha kufunguliwa jumla ya...
  14. PreGE2025 Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya shilingi milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu. Mkopo huo unalenga kuwawezesha wanufaika kukuza shughuli zao za kiuchumi na kujitegemea, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali...
  15. PreGE2025 Watu wenye ulemavu wamchangia Rais Samia milioni 1 ya fomu ya kugombea Urais 2025

    Wakuu, Kuna kituko cha kufungia mwaka huku :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Pia soma: LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Watu wenye uhitaji Maalumu leo wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa...
  16. Matangazo ya Mpira wa Miguu Tanzania: Uhitaji wa Tafsiri ya Lugha ya Ishara kwa Watu Wenye Ulemavu wa Kusikia

    Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inatangazwa kupitia AzamTV, ikiwahudumia mashabiki wengi wa mchezo huu. Mechi kubwa kama vile Simba dhidi ya Yanga pamoja na na michezo ya kimataifa huvutia sana umati mkubwa na kutoa burudani ya kipekee. Hata hivyo, watu wenye ulemavu wa kusikia wananyimwa...
  17. PreGE2025 Wenye ulemavu walia na mauaji nyakati za uchaguzi, hofu yaongezeka kuelekea 2025

    Wakuu, Watu wenye ulemavu kutoka mkoa wa Tabora wameeleza wasiwasi wao kuhusu mauaji yanayowakumba wenzao wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wakisema kwamba baadhi ya watu bado wanashikilia imani potofu kuwa viungo vya Albino vinaweza kufanikisha mambo yao, hasa wakati wa chaguzi. Hofu hii...
  18. PreGE2025 LGE2024 Misungwi: Watu wenye ulemavu waomba mazingira wezeshi kupiga kura

    Watu wenye ulemavu wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza wameiomba serikali kuwawekea mazingira wezeshi ya kupiga kura kwa kuwawekea karatasi zenye maandishi ya nukta nundu yatakayowawezesha kupiga kura bila kusaidiwa na mtu yeyote. Wamesema kutokana na zoezi la upigaji kura kuwa la siri kwa mtu...
  19. Halmashauri ya Mji Kibaha kutoa mikopo ya Tsh. Bilioni 1.6 kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Mji Kibaha inatarajia kutoa mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu yenye thamani ya Shilingi 1,169,428,549 ili kuwawezesha kupambana na adui umasikini Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa ametangaza uwepo wa fedha hiyo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…