watu wenye ulemavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr George Francis

    Mazingira ya kazi kwa watu wenye ulemavu

    Ni jukumu la kila mwajiri kuboresha mazingira ya kazi kwa wafanyakazi wake. Mazingira ya kazi ni lazima yawe mazuri na salama kwaajili ya kufanikisha utendaji mzuri wa kazi. Hii itasaidia kuondoa hatari ya watu kuumia au kupata ulemavu wakiwa kazini au kusaidia watu wenye ulemavu kufanya kazi...
  2. Mr George Francis

    Wajibu wa kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu

    Ni takwa la kisheria kwamba kila mwajiri katika sekta binafsi au sekta za umma kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu pale ambapo mtu huyo mwenye ulemavu ameomba nafasi hiyo na ana vigezo vinavyohitajika katika kazi husika sawa na watu wengine wasio na ulemavu. Kila Mwajiri mwenye uwezo wa kuajiri...
  3. Mr George Francis

    Wajibu wa serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili...
  4. Mr George Francis

    Wajibu wa ndugu kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu

    Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu. Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii kwa mtu huyo mwenye ulemavu. Mfano: makazi, chakula, elimu, afya, maji au mavazi nk. kama miongoni mwa...
  5. Mr George Francis

    Haki ya usawa na kutobaguliwa kwa watu wenye ulemavu

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko. Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na kadhia hii kwa kiwango kikubwa, hali inayopelekea kukosa kupata baadhi ya huduma za muhimu katika...
  6. H

    SoC02 Kama ningekuwa mimi ningefanya haya kuhusu mikopo ya vijana, akina mama na watu wenye ulemavu

    KAMA NINGEKUWA MIMI. Leo nazungumzia vijana na ajira kupitia Mikopo inayotolewa na serikali kwa vikundi vya vijana, akina mama na watu wenye Ulemavu. Utaratibu wa sasa ili kupata mkopo watu husika lazima wawe na kikundi kilichosajiliwa, baada ya hapo mchakato wa maombi ya mkopo tajwa huanza...
  7. Da'Vinci

    Ambao mlishawahi kudate na watu wenye ulemavu tupeni uzoefu

    Katika circle yangu Sijawahi kuona watu wakiwa na mahusiano na watu wenye ulemavu wa aina yoyote. Si albino wala vilema ila hua nakutana nao wenye watoto. Karibuni mtupe mrejesho mliowahi ilikuaje na mlidumu muda upi
  8. Mr George Francis

    Wajibu wa Serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili linatekelezwa na...
  9. The Sheriff

    Ni Muhimu Sana Kuwajumuisha Watu Wenye Ulemavu Katika Fursa za Ajira

    Watu bilioni moja (takribani asilimia 15 ya idadi ya watu duniani) wana ulemavu na takribani milioni 785 kati yao wana umri wa kufanya kazi. Kote duniani, watu wenye ulemavu wanakumbana na viwango vya juu vya ukosefu wa ajira kuliko watu wasio na ulemavu. Wanapoajiriwa, pia wana uwezekano...
Back
Top Bottom